TTCL inakutakia kheri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

TTCL Customer Care

Official Account
Aug 18, 2016
279
317
Ndugu mteja asante sana kwa kutumia huduma za TTCL. Tarehe 4-8 Oktoba ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.
Katika kusherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja, TTCL tunapenda kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini.
Tunakuahidi kwa kukupatia huduma nzuri zaidi.

Karibu tukuhudumie

 

Kazi Iendeleee
 
Naomba bei za MB zenu nataka kurudi nyumbani mlisema kumenoga
 
Karibuni na kutoa offer kwa wateja wenu.
 
Hakuna mtandao wa kishenz kama TTCL narudi rasmi Vodacom nyambafuuu
 
TTCL Customer Care, hivi mnashindana na Nani kwa kutoa huduma mbovu zaidi? Hamtutetendi haki
 
Wakati huo kuna kampuni limepandisha bei na kupunguza package za vifurushi katika wiki ya huduma kwa wateja wake......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…