for life
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 3,396
- 4,447
TTCL nimeshangaa nimefika mkoani Simiyu hamna coverage, hivi kweli mpo makini na biashara au kwa vile shirika ni la umma ndo hamjali huo mkongo mlo chimbia nchi kwa coverage hii ni aibu.
Ukiwa mkoa kama Mwanza mjini kati poa ukitoka tu mawaa haiwezekani mkoa mkubwa kama Simiyu wenye watu wengi hakuna connection, mnaendeshaje shirika kizembe yani halotel wanawazidi mpo mpo mnaendesha kampuni kizee mno. Hii si miaka ile sidhani hata kama huwa mna target katika utendaji kazi wenu.