TTCL, freelancers wenu wanalalamika hamuwajali

Kizinga mpemba

JF-Expert Member
Sep 23, 2018
218
194
Halafu wanawaonea wale mawakala wao wa kusajili laini (freelancer) mpaka leo pesa za mwezi wa pili hawajawalipa mitandao wote wamelipa mfano Tigo, kufunga tarehe 30 au 31 na wanalipa tarehe 3.

Halotel wanafunga faili tarehe 30 au 3 wanalipa tarehe 2.

Airtel wanafunga faili tarehe 30 au 31 wanalipa tarehe sita au saba.

Zantel wanafunga tarehe 25 wanalipa tarehe 29,

Vodacom wanafunga faili tarehe 20 wanalipa tarehe 1.

TTCL wanafunga tarehe 25 ila hana tarehe maalum, maana mpaka leo hawajalipwa, tatizo.
 
Back
Top Bottom