KERO Responded TTCL Fiber kuweni 'serious' na huduma zenu; kama mnaelemewa leteni wawekezaji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
427
Reaction score
666
Kwa kweli huduma ya TTCL Fiber imekuwa changamoto kubwa katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam. Wananchi tunafuata taratibu zote za kuomba huduma, tunajaza fomu na kusubiri, lakini kuna Watu zaidi ya miezi sita hawajafungiwa wala kupewa maelezo yanayoeleweka.
Screenshot_20250831-233252_1.jpg
Mimi binafsi nimekamilisha taratibu zote, lakini mwaka unaelekea kuisha bado wako kimya. Kama inavyosomeka hapo pichani (uliomba huduma leo tunakufungia leo) hilo halina ukweli halisi, sijui labda kwa watu maalumu.

Wengine wanalipia huduma kila mwezi, lakini internet inaweza kukatika zaidi ya wiki nzima bila suluhu. Kila wakipiga simu kwa customer care, majibu yanayotolewa hayaeleweki na hayasaidii kabisa. Mara wanasema kuna changamoto za vifaa sasa mtu anauliza, mnaingiaje sokoni bila kujipanga vizuri kimfumo na kimiundombinu?

TTCL ni shirika la umma linalotegemewa na wananchi, lakini huduma ya customer care ni dhaifu mno, hasa kwenye kitengo cha Fiber. Tunahitaji uwazi, uwajibikaji, na huduma bora zinazolingana na gharama tunazolipa. Tafadhali boresheni huduma zenu kwa wateja.

Kama mnaelemewa na mahitaji ya Huduma ya TTCL Fiber, basi karibisheni wawekezaji kutoka sekta binafsi ili kuongeza ufanisi na kufanikisha utatuzi wa changamoto zilizopo pamoja na kufikia soko kubwa.

Mwisho, nitoe wito kwa TTCL kujitafakari juu ya utendaji wao katika huduma hii. Ni muhimu wafanye ufuatiliaji wa karibu ili kubaini changamoto zinazowakumba wateja wao na kutafuta namna rafiki na shirikishi ya kuzitatua.

Vilevile, Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ifuatilie kwa ukaribu changamoto hii, kwa sababu wananchi wengi tunakumbana na usumbufu badala ya kufurahia huduma.

Pia soma ~ Mnaotumia TTCL fiber mlifanyaje kuunganishiwa?

Malalamiko ya Wananchi wengine kwenye page ya Instagram ya TTCL kuhusu huduma ya Fiber:
 
YAS FIBER UNLIMITED INTERNET🛠📡🛜

Kama uko DAR ES SALAAM,
Na unapatikana katika Mitaa ifuatayo tu!
📍Mbweni,
📍Boko,
📍Bunju,
📍Kijitonyama,
📍Urafiki,
📍Mradi Soko Jipya EACL - UBUNGO,
📍Sinza na Mwenge

🔥 YAS FIBER tunakufikia hadi mlangoni
🛠 Installation ni Bure kabisa ✔️
🛵📦 Delivery ni Bure kabisa ✔️
⏰️ Usisubiri tena miezi 3 au 6 ❌️
(Utahudumiwa ndani ya saa 48 tu!)

💬 Tuma ujumbe/Piga simu Leo
☎️ +255717245161
📍 DODOMA & DAR ES SALAAM

(GHARAMA ZA VIFURUSHI SOMA HAPA👇)
FB_IMG_1757062680516.jpg

KWANI WAWEKEZAJI SI NDO HAWA AKINA HEATERI,YASI VODA AU FAIBA GANI TENA?
 
Nawaomba sana TTCL kabla hamjatoka Temboni hapo muwashe line ya kuanzia Kimara B kuja Mwembeni na maeneo ya Mother Emilie Dorman Pre and Primary school.
Mmetufungia tayari router ndani ya nyumba na tumilipa bundle ila bado hakuna network. Taa ya LOS bado inawaka nyekundu
 
YAS FIBER UNLIMITED INTERNET🛠📡🛜

Kama uko DAR ES SALAAM,
Na unapatikana katika Mitaa ifuatayo tu!

📍Mbweni,
📍Boko,
📍Bunju,
📍Kijitonyama,
📍Urafiki,
📍Mradi Soko Jipya EACL - UBUNGO,
📍Sinza na Mwenge

🔥 YAS FIBER tunakufikia hadi mlangoni
🛠 Installation ni Bure kabisa ✔️
🛵📦 Delivery ni Bure kabisa ✔️
⏰️ Usisubiri tena miezi 3 au 6 ❌️
(Utahudumiwa ndani ya saa 48 tu!)

💬 Tuma ujumbe/Piga simu Leo
☎️ +255717245161
📍 DODOMA & DAR ES SALAAM

(GHARAMA ZA VIFURUSHI SOMA HAPA👇)
View attachment 3465540
Segerea mtafika lini?
 
Back
Top Bottom