Kumbuka: kuna watu humu baada ya kufundishwa namna ya kuingia JF, kwao mtandao wote ndiyo umeanzia na kuishia JF, websites zingine zote kwao ni miujiza tu.
Ila ni vema watumiaji wakakueleza zaidi maana sio kila kitu kiko kwenye website kuna vifurushi vingine huwa ni offer tu ya miezi kadhaa baada ya hapo vinapotea