Tshirty zenye Maneno haya,KATUBU &MABWEPANDE wapi ntapata? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tshirty zenye Maneno haya,KATUBU &MABWEPANDE wapi ntapata?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Jul 16, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,931
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Wadau Nafta Tshity zenye Maneno hayo,upande wa mgongoni imeandika Mabwepande,kifuani Naenda Kutubu...
  Wapi ntazipata,
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,328
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Unazitaka kwa nini?, nini umuhimu ama uhusiano wa kutubu na mabwepande?, yale makazi ya waathrika wa mafuriko ndipo mahali pa kitubio?, ni kweli ulitaka kusema mabwepande au msitu wa pande?. You may need to read btn lines ili ueleweke vizuri.
   
 3. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 976
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  mtafute afande dhaifu bila shaka atakuwa nazo, ukikosa katubu na wewe kwa ngurumo ya upako
   
Loading...