Ukifika njia nne pale unakula hii inayoenda kimara ukivuka tuta la pili upande wa pili kuna petrol station inajengwa sasa upande wa pili utaona kuna fremu tatu moja wapo ni saluni, utaalamu ndo upo hapo