Habari wadau.
Nauza mashine yangu ya kuprint tshirt mpya kabisa kwenye box lake..
Nilinunua mwanzoni mwa mwaka huu kwa ajili ya biashara ya kuprint tshirt...
Sababu ya kuuza nimeshindwa kufanya biashara nilipopanga kuifanya...baada ya nyumba yetu mbezi luis kupigwa x kwa ajili ya bomoa bomoa.. Na fremu niliyopanga kuitumia ni ya pale home mbezi.. Bomoa bomoa imeniharibia mipango yangu...
Heat press nauza laki 8 na nusu tu ( 850,000) ina warranty 1 year na manufacture anaitwa stahls . Ni zile kubwa kabisa a-3
Ukihitaji kuiona piga namba ya simu 0712521615
Picha najaribu ku upload zinasumbua...
Inatumika kwa kuprint tshirt, hand kerchiefs na mito na pia kuweka majina kwenye jezi za michezo