ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
Msaada wa simu hata used ambayo upande wa internet na music ipo poa kwa bajeti hiyo,kama unapenda kunisaidia niambie tumalize biashara fedha ipo mkononi

Duh...... Mi nauza Jolla Os Saifish shilingi elfu 50 tu

nakufanyia utu, nitafute nina blackberry bold 9000 internal memory ni 4gb ina flash etc just google utaichek, my no.0769038065Msaada wa simu hata used ambayo upande wa internet na music ipo poa kwa bajeti hiyo,kama unapenda kunisaidia niambie tumalize biashara fedha ipo mkononi
Google mzeendio kitu gani iko..
Msaada wa simu hata used ambayo upande wa internet na music ipo poa kwa bajeti hiyo,kama unapenda kunisaidia niambie tumalize biashara fedha ipo mkononi
kwa hiyo bei, nenda mtaa wa makoroboi utajipatia sumsung galaxy!
Msaada wa simu hata used ambayo upande wa internet na music ipo poa kwa bajeti hiyo,kama unapenda kunisaidia niambie tumalize biashara fedha ipo mkononi
fanya tisin nakupa samsung galaxy y pro 5510
Google mzee