Tsh. 13,000,000 i need a car with that budget

Tsh. 13,000,000 i need a car with that budget

Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2008
Posts
1,100
Reaction score
83
Ninahitaji TOYOTA RAV4 L ya kuanzia mwaka 2004 na kuendelea na isiwe imetembea zaidi ya kilometer 100,000.

Kama unayo naomba tuwasiliane.

MJ
 
nigawie mimi nikajengee nyumba maana nimechoka kupanga,utapata matatizo kwa kupenda magari tembea kwa mguu mkuu ili usizeeke mapema au hujui uzee hauna tiba?
 
Ya kuanzia mwaka gani? au hata za mwaka 1990 poa tu?
 
nigawie mimi nikajengee nyumba maana nimechoka kupanga,utapata matatizo kwa kupenda magari tembea kwa mguu mkuu ili usizeeke mapema au hujui uzee hauna tiba?

Asante kwa mchango wako.
 
Vipi mkuu mbona unaanza na bei? Procurement process ya kawaida huwa inalenga kupata bidhaa au service for the most favorable price (yaani inaanza na specs).
 
Mimi ninazo ila sema ni aina gani ya 4wd..sipo nyingi sana:
1.Jina la gari
2.Engine capacity(cc)
3.MT and AT
 
Vipi mkuu mbona unaanza na bei? Procurement process ya kawaida huwa inalenga kupata bidhaa au service for the most favorable price (yaani inaanza na specs).

Mkuu hii Procurement Process ni maarufu sana ndani ya Israel, hakuna longo longo unaweka bei muuzaji anaangalia kama ina maslahi mnafanya business.
 
Mimi ninazo ila sema ni aina gani ya 4wd..sipo nyingi sana:
1.Jina la gari
2.Engine capacity(cc)
3.MT and AT

Heshima mbele mkuu.
4WD
Toyota au Suzuki Mkuu, isizidi km 90-100
Hata kama una Rav4 L bomba.
 
Back
Top Bottom