But I didn't choose whether truth or dare, ila twende tu....
Nimeolewa nina mapacha wa nje wawili na wote naishi nao, napendelea wali maharage/ njegere na kachumbari. Mara ya mwisho kula makande ni mwaka 2019 mwishoni mwishoni kwenye November/ December... Kuanza kuvaa kiatu na mguu wa kulia nahisi ni mazoea tu ya asili ni kama ilivyo kwenye kutembea tunaanza kunyanyua mguu wa kulia.
Sijawahi kupigana nikiwa darasa la kwanza.