Truth?...Or a Joke!

Mmmmmmmmmhhhhh

Ni Make up gani za zaidi ya kilo mbili???????????

Sijui kama ni kweli
 
Inawezekana ikawa kweli maana awa wadada ni noma utakuta katupia nywele za bandia, bangili za gram 500 mikono miwili yote imejaa bado hereni za gram 200 kwa kila sikio
 
Haa! Labda handbag. . . . .lakini mh makeup gani hizo?!?
 
Uzushi mtuppu kwani makeup inauzito gani tuwe wakweli jamani
 
si kosa lao wana dada jamani wanavitu vingi sana wala msishangae makeup inaweza sababishwa na hivyo vitu wanavyo vaa na kujilinda na ........
 
kuna msemo nimewahi sikia unasema wakati mzuri kuchagua mke mrembo ni asubuhi kabla make up hazijamwagiwa mwilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…