Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #261
Ukitaka nikusamehe nitafutie kwanza kakako mpaka umpate, vinginevyo sikusamehi!..
Hivi unajua nilisahau kukujibu sazile kuwa Amy kaenda kazini mimi niko JF....Nikujibu?itakuwa ndo wanafundishana usiku hilo somo la udaku express
Na kama amepata ujue ni ugali kwa kabichi!
Kwa sasa nimekuelewa wifi!
Ila itabidi tusameheane kwa kuwa mwanaume kuwa mdaku ni aibu sana kwa jamii lol ntahama mji eti
Hata mimi nashangaa sijui ni huu udaku duh hata sielewi jamani ila tunapendana sana na hapa nimemmiss aje....
Hahahaaa maumivu moyoni....pole aisee
Mi huwa namsindikiza mnywaji yeye
nilipoelekezwa nitamfuma uporoto mbona hayupo?au kuna mtu kamuwahi kuwa naenda aaaargghh
wee cheka wakati mimi nalia muda si mrefu itakuwa vice-versa
we mbona utasutwa kwa majungu yako mi sisemiwala huezi badilika hata ukisamehewa ndo hulka yako hiyo
Hahahaaa si wote wajanja...wanaoendana ni Ousofia na Jane000mnapendana kwa kuwa mnaendana,kitu na box
Humjui eeeh uliza uambiwe...unabaki kunywa banana tu hata adui zako huwajui na mashemeji huwajuiUporoto ndio nani?
Hahahahaaaaa mi sizimagi wewe.....alizima mpenzi wa SweetLadywakati juzi ulizima?au unadhani story zako sina? Vya bei rahisi vina gharama kweli
Uporoto ndio nani?
Kwa nini ulie my sister?
Humjui eeeh uliza uambiwe...unabaki kunywa banana tu hata adui zako huwajui na mashemeji huwajui
Hahahahaaaaa mi sizimagi wewe.....alizima mpenzi wa SweetLady
hehehe kaka umerudi ulikua wapi?wee niambie tu ukweli ntakusaidia kwa SL
maliza kwanza ya kwako maana na wewe utalia muda si mrefu