Trump Vs Snoop

Yamakagashi

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
8,614
17,620
Namuona Trump akipewa makavu na TI .

Kweli wenzetu wako mbali sana kwenye uhuru wa kuongea .

Hapa hata ukiita mtu bwege .........

34b57ea2c71da739431db2be3b37f63b.jpg
 
Hata siwashangai sana mana wao uhuru wamepata toka 1776,hapo katikati wamepitia mambo mengi sana mpaka kufika leo.
Ni ngumu sana kulingana nao
Ni kwel ndugu yangu ujue sisi tunakosea watu weng hupend kuchukulia mfano marekani wakat hawajui mafankio yao yametoka.mbali na washapita marais weng sana 45 sasa...wakat sisi tuna marais 5 tu....wamepitia pengi had watu wao kuwa ivo had democrasia kuwa ivo kwao...hatuwez lingana na marekani hata kdgo....hata wananchi wao wanavoitumia mitandao ya kijamii tafaut na sisi kabisa....
 
Na ndo mana nikasema we are far miles away from them,may be miaka mingi ijayo tutakua katika level yao
 
Yaah watanzania itafka wakat watajielewa na watakuwa wanaotetea maendeleo ya nchi ..watakuwa wanapendana....watakuwa wanafanya maendeleo kwa vitendo na sio kuyapinga kama ilvo sasa...tutakuwa na mawakili wazuri tu wenye tija kwa taifa....tutafka tu
 
Huku kwetu rais hakosolewi kwa sasa,ukijaribu yatakukuta ya Tundu Lisu
 
Ni kwel ndugu yangu ujue sisi tunakosea watu weng hupend kuchukulia mfano marekani wakat hawajui mafankio yao yametoka.mbali na washapita marais weng sana 45 sasa...wakat sisi tuna marais 5 tu....wamepitia pengi had watu wao kuwa ivo had democrasia kuwa ivo kwao...hatuwez lingana na marekani hata kdgo....hata wananchi wao wanavoitumia mitandao ya kijamii tafaut na sisi kabisa....
Kajiulize na utafute democracy level ya marekani ilikuaje baada ya kuwa na miaka 50 ya uhuru
 
Miaka 50 ya marekani ya uhuru haiwez kufanana na miaka 50 ya uhuru ya nchi yeyote ile barani afrika....bado inabak hatuwez jfanansha na watu wale....
 
Hivi karibuni mwanahiphop wa marekani snoop Dogg aliachia video ya nyimbo mpya,ndani ya hiyo video kunakipande inaonyesha snoop Dogg anamuonyeshea bastora sanamu ya raisi Wa USA Donald Trump,kitendo hicho kilipelekea mwanasheria mkuu Wa Donald Trump kumtaka snoop Dogg kuomba radhi,lakini pia raisi mwenyewe Donald Trump kupitia mtandao Wa twitter amemshambulia vibaya rapper huyo ,kitendo hiko cha Donald Trump kumshambulia snoop Dogg kilijibiwa vikali na wasanii kama bow wow na TI kwa maneno makali nakumuhusisha mke Wa raisi huyo Melisa kuwa nikahaba .....kwa tukio hili la USA raia Wa kawaida kutukanana na raisi Wa nchi tena kupitia mitandao najiuliza ndio kiwango kikubwa cha Uhuru Wa kujieleza marekani?? Demokrasia ya marekani ipo juu sana ...sasa najiuliza kwa hapa tanzania mtu tu kuwa chama cha upinzani tayali ni adui what if kujibizana na mkuu Wa nchi?? ..Nawaza tu ingekuwa hapa kwetu sijui ingekuaje....maana mkuu hajalibiwi
 
Angekuwa ashafanywa kama yule "kichaa wa Singida"
 
Huko Marekani rais ni raia wa kawaida, isipokuwa tu amepewa mamlaka ya kuwa mtumishi wa watu wote. Hapa kwetu, Rais ni kama mungu. Anapaswa kuogopwa, kuheshimiwa na kunyenyekewa kupita tunavyomuogopa Mungu mwenyewe. Rais anatumikiwa na watu, si yeye kutumikia watu. Unafikiri hizo ni demokrasia zinazofanana????
 
Yeah sure.. Africa hakuna demokrasia at all
 
Back
Top Bottom