Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,577
Wakati muafaka wamarekani msikosee mpeni huyu Trump urais ajeshughulikia viongozi wapuuzi wa Afrika wanaocheza na haki za binadamu.
Huyu Gen wamemkimbiza wanamfunga akatoka kwa dhamana bado wakalazimisha ni mwanajeshi mahakama kuu ikaona aibu sasa wameamua kumshtaki kama raia na ameachiwa kwa sh million kumi....dhamana.....
Museveni should change now