Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,638
Duuu nyie mpo nchi gani.. Dewji ana utajiri wa dola Bilioni ngapi?Tajiri wa Kwanza Tanzania hajafikia hata Dola bil 2
Trump pekee ana usd 8 bil na kitu hivi
yaani ni sawa na GDP ya nchi nzima ya Burundi...yaani Trump pekee amezidi pato la taifa la nchi nzima ya Burundi ambayo ni USD 7.985 bil
Sasa nataka kujua ni ukoo gani hapa Tanzania ambao unaweza kuilisha nchi nzima kama burundi....
Tuacheni utani na Ubishi wa Kipuuzi ...
Mambo mengine yako wazi wala hakuna ubishi
