kauga JR
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 3,562
- 2,179
Trump hawezi ivamia ndg, NK wapo vzr sna, achaana na CNNNaam huyo ndiye mwanaume; akinena dunia nzima kuanzia kwa magaidi ya kiarabu, Iran hadi kwa Warusi huko inasemezana "kasema nini"! Kim akijifanya kichwa ngumu atafanyiwa kitu cha aibu hataamini.