jovin607
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 469
- 312
Unafikiri vita ni sawa kama unaenda kumfumania mkeo gest unakurupuka tuHuyo namfananisha na MAJOKA ya huku Bujora makumbusho makubwa kweli yanatisha ila hayang'ati yanakula Unga tu na Maziwa ni sawa na huyu Mwendawazimu Trump maneno mengi tambo nyingi ila kuyafanyia kazi maneno yake anashindwa kwa sababu anajua fika KIM JONG UN anatumwa na wakubwa kumchokoza
