Trump says the UN is just a club for people to have good time

mensaah

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
985
1,000
Kweli UN ni genge la kupigia soga za kijinga na wala sio kusolve matatizo ya dunia. TRUMP AMELIGUNDUA HILO NA AMEAHIDI KULISHUGHULIKIA kumbuka zaidi ya 50% ya bajeti ya UN inachangiwa na Marekani, NATAMANI AONDOE HIYO BAJETI HUKO ili dunia nayo iisome namba.
Mkuu TRUMP yuko sahihi 100% pale U.N wawakilishi wa mataifa wamekalia majungu, fitina, ubaguz na kupoteza muda tu hawafanyi lolote la maana matokeo yake matatizo mbalimbali yanaendelea dunian ya kijamii, kisiasa ,kiusalam na kiutamadun huku hao wakijifanya ni watatuz
 
Jics

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
235
500
anachokiongea ni kwelitupu(ukweli mtupu) iinakuwaje matatizo kama iraq(kuuwawa kwa sadam),libya kuuwawa kwa gadafi ambopo kote huko kumechangia kuongezeka kwa ugaidi maana silaha huwa zinabaki kwa raia baada ya mapambano na bado walitaka tena na syria

nb:kwa mtazamo wangu un ifutwe kuwe na umoja wenye nguvu sawa kwa nchi zote bila veto
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,473
2,000
Kweli UN ni genge la kupigia soga za kijinga na wala sio kusolve matatizo ya dunia. TRUMP AMELIGUNDUA HILO NA AMEAHIDI KULISHUGHULIKIA kumbuka zaidi ya 50% ya bajeti ya UN inachangiwa na Marekani, NATAMANI AONDOE HIYO BAJETI HUKO ili dunia nayo iisome namba.
Of course ni genge tuu sound nyingi .Trump kawapa ukweli
 
gpluse

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
532
1,000
Mkuu TRUMP yuko sahihi 100% pale U.N wawakilishi wa mataifa wamekalia majungu, fitina, ubaguz na kupoteza muda tu hawafanyi lolote la maana matokeo yake matatizo mbalimbali yanaendelea dunian ya kijamii, kisiasa ,kiusalam na kiutamadun huku hao wakijifanya ni watatuz.

Hata mimi nakubaliana naye. Fikiria migogoro na majanga makubwa kama Syria, mauaji ya kimbari, Darfur, Sudan Kusini na maeneo mengine watu mamilion wamekufa, UN imefanya nini zaidi ya kutoka na vimatamko vya kulaani tu na maazimio yasiyo na maana wala utekelezaji. Trump yuko sawa kabisa sema watu hawapendi ukweli tu
 
Chemtrail

JF-Expert Member
Aug 15, 2016
827
500
Mengine hatusemi kwa kuwa tukisema tutaambiwa ni conspiracy theory.Kwa kuwa kasema insider,kwa sehemu naona picha inasomeka.Mimi naongeza hivi,ni kweli ni genge la watu kwa ajili ya kupata good time,lakini ukweli pia ni kwamba ni genge la kusimamia unang'anyi dunia nzima.The world will be a better place without the United Nations.
Kweli UN ni genge la kupigia soga za kijinga na wala sio kusolve matatizo ya dunia. TRUMP AMELIGUNDUA HILO NA AMEAHIDI KULISHUGHULIKIA kumbuka zaidi ya 50% ya bajeti ya UN inachangiwa na Marekani, NATAMANI AONDOE HIYO BAJETI HUKO ili dunia nayo iisome namba.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom