Trump revealed highly classified info to Russians!

Trump revealed highly classified info to Russians!

Imagine the reaction of Americans if you change the heading of this article to Barack Obama.

Angekuwa Obama wangemchoma hata moto...

“It is all kind of shocking,” said a former senior U.S. official who is close to current administration officials. “Trump seems to be very reckless and doesn’t grasp the gravity of the things he’s dealing with, especially when it comes to intelligence and national security. And it’s all clouded because of this problem he has with Russia.”

In his meeting with Lavrov, Trump seemed to be boasting about his inside knowledge of the looming threat. “I get great intel. I have people brief me on great intel every day,” the president said, according to an official with knowledge of the exchange.

Trump went on to discuss aspects of the threat that the United States learned only through the espionage capabilities of a key partner. He did not reveal the specific intelligence-gathering method, but he described how the Islamic State was pursuing elements of a specific plot and how much harm such an attack could cause under varying circumstances. Most alarmingly, officials said, Trump revealed the city in the Islamic State’s territory where the U.S. intelligence partner detected the threat. (source New York Times)

Kwa Obama hata kutuhumiwa tu kungetosha kumuondoa madarakani lakini hebu tusubiri tuone safari hii wapenzi wa Trump watasemaje.

bibi yenu alishaamua kutulia kulea babu yenu mzee bill na kumuacha Rais Trump afanye kazi. nyie wapiga porojo wake naona bado mko kazin na porojo zenu, ila kwa Trump mmeingia cha kike, hiyo ndo dawa yenu wapiga porojo, walipuzi na wazee wa fake news
 
Kwa mujibu wa waUS wenyewe mimi nimewaelewa wanasema kipindi Obama 8yrs US imekuwa weak kijeshi kias kwamba ndo huo muda Putin amekuwa The powerful man jn the world, na huo muda NK ikapata kiburi hadi kuipiga US mikwara hivi sasa...na ndo huo muda Moscow akaongeza few percent ya ushawishi middle east ...Hadi Durtete anamkalipia Obama ...ukweli jamaa aliifanya US ya kishoga sana na sio powerful....Kwa kua US wengine wanapenda habri za ushoga na ushetani basi walimpenda Obama ...if angepewa 8yrs again US 2024 ingekuwa kama Zimbabwe... Sasa Trump ni mtu yuko sirias kidogo na hataki utani Wengi wa waUS wanampenda hizo media BBC na CCN etc ni pro Liberals(Democtrats) by the way Trump anangome maarafufu Mwanasheria mkuu Jeff session ambaye ndo alimwambia Trump kuwa Comey hafai kuiendesha FBI sasa sijuw impeachment itaanzia wapi kama mzee wa kuunda impeachment Session ni His best friend. Wenyew wanasema 8yrs za Obama imezidiwa 100days za Trump sababu ni ukweli hivi karibuni US katikisa sana that means MAGA inakubalika...Still anaongoza kwa sana upande wa Social, economy, democracy , millitary etc but kadhalauluka sababu ya mwafrika mjaluo...Ila aki mtoa Assad na Kim basi heshima yake inarudi na ndio target ya US...sio US wajinga wale ....States 32 kwa 18 za Clinton...hii inaonesha hillary asinefanya jipya zaidi ya kuendeleza ushoga wa Obama...

Wewe umeongea kinyume kabisa. Kuropoka na kujisifia kwa Trump hakuisaidii US bali kunaididimiza. Dunia ya leo nchi hazitegemei kutumia nguvu na vitisho tu, iwe kwenye nyanja za uchumi au siasa. Sasa Trump hajui hayo, yeye akilala akiamka ana tweet tu. Russia walimsoma wakajua huyu jamaa hana akili ya kuongoza nchi. Sasa watamtumia yeye kuidhoofisha Marekani. Obama was very intelligent, na alikuwa akifanya mambo yake kwa umakini mkubwa. Si huyu Trump wa makelele tu.
 
Wewe umeongea kinyume kabisa. Kuropoka na kujisifia kwa Trump hakuisaidii US bali kunaididimiza. Dunia ya leo nchi hazitegemei kutumia nguvu na vitisho tu, iwe kwenye nyanja za uchumi au siasa. Sasa Trump hajui hayo, yeye akilala akiamka ana tweet tu. Russia walimsoma wakajua huyu jamaa hana akili ya kuongoza nchi. Sasa watamtumia yeye kuidhoofisha Marekani. Obama was very intelligent, na alikuwa akifanya mambo yake kwa umakini mkubwa. Si huyu Trump wa makelele tu.
By the way percents shows that Trump could be the first US president interms of service wewe unazan CIA,FBI na NSA ni Wajinga mpaka wa mchague Trump? Alaf kitu kingne ambacho hujui Mkuu ni kuwa Russia alihack blackberry ya Democrat Hillary tu sio US naona wengi mumemezeshwa tofauti jua hvyo....Besides kutweet na kuropoka Trump ana akili hata mara kumi ya Obama kwa msim wake huu subir US kuhit 20tr $ ...ubaya media zenu hizo CNN, ABC, BBC zinamchafua kwa kutaft madhaif yake madogo...angalia rallys kipind yuko Penn state during his 100days in offfice ni zaid ya campaign sasa sijuw Kati ya wewe na Democrats au Republ na US nani hampend Trump....Juzi tu Demons wenyewe wamekubali na kufuta Obamacare hii inaonesha jinsi gani mjaluo aliwaingiza chaka!
 
Naamini kwamba kuuangalia uraisi wa mtu kwa mtazamo kuwa uliberali ni ushoga tu au kutoa mimba ni kasoro kubwa kwa watu wengi sana ambayo hata huko Marekani kwenyewe inawapelekea kuchagua watu ambao hawapiganii maslahi yao.
Kwa upande mmoja, uliberali unatafsiriwa kama imani na kutaka mabadiliko ya kijamii na kisiasa yalete maendeleo. Kwa hivyo basi upenzi huo wa mageuzi unakinzana na uconservative. Kwa upande mwingine, waliberali wanakubali kiwango kikubwa zaidi cha ujinga (Kabudiii! au napendelea zaidi kwamba wanaweka akiba ya ujinga) kwamba kuna uwezekano kwamba huyajui mambo vizuri na ukajifunza kutoka kwa wengine. Kwa hivyo basi, kama msahafu wa dini X utasema jambo hili ni dhambi au liko hivi, halafu msahafu wa dini Y hausemi hivyo, mliberali atakubali ujinga wake na si kudai msahafu wake tu ndiyo sahihi. Mliberali yuko tayari zaidi kupokea ushahidi wa kisayansi kuhusu masuala mbalimbali. Conservative anaweza hata akadai kwamba jambo linalosemwa na mwanasayansi kwa ushahidi dhahiri linapingana na Mungu. Kwa sababu hiyo utaona kwamba Evangelicals wengi wa Marekani wanashikilia vipengele fulani vya msahafu na kudai ndiyo amri muhimu zaidi ya Mungu, hata kama sehemu nyingine za msahafu zinaclarify mambo. Wao hawatakubali. Wakishaamua kwamba namna yao ya Ukristo ndiyo sahihi, basi, ukisema wewe Mkatoliki, watasema si Mkristo (nimewahi kulisikia hilo nilipokuwa huko wakati fulani), achia mbali Mormons. Na hivyo dini kama Uislamu au dini nyingine ni rahisi kuwekwa katika kundi moja lisilotakiwa. Kwa hivyo, ni kweli Obama ni mliberali, kadhalika Clinton. Wanaukubali uhuru wa watu kuabudi kwa namna wanavyoona wao.
Je, mnamkumbuka GW? Alichaguliwa kwa kampeni za ku-highlight mambo ambayo si ya msingi kama hayo. Conservatives wakafanya naye lovefest, sihitaji kuzungumzia matokeo yake yalivyokuwa mabaya.
Mimi namwangalia Obama kwa lensi tofauti na ushoga. Machache:
Alipochukua uraisi, unemployment Marekani ilifikia 9.3, wakati anaondoka aliishusha mpaka 4.8
Alipochukua uraisi, makampuni makubwa ya magari GM na Chrysler yalikuwa mbioni kuingia mufilisi, akayaokoa kwa kuyapa mikopo ambayo waliirudisha baadae. Jambo hili lilisaidia kurudisha ajira na kuiunua uchumi wa nchi.
Alipomaliza kipindi chake alikuwa ameweza kuwapa bima ya afya watu takriban milioni 30 ambao walikuwa hawana, na kurekebisha utaratibu wa bima za afya. Kama umefuatilia townhall meetings za wiki mbili zilizopita, republican lawmakers wamekuwa wakigongwa maswali kwa jitihada zao za kufuta Obamacare.
Ni kweli ubabe wa Marekani umepungua kiasi fulani kidogo. Obama aliichukua nchi baada ya kuwa imeharibika kiuchumi na kidplomasia kwa sababu ya vita. Sidhani kama ingekuwa busara kufanya vita zaidi. na makosa aliyoyafanya mahali kama Libya yalimfanya aogope zaidi masuala ya kivita. Kwa maoni yangu huo si udhaifu. Tizama jinsi alivyokubalika kidiplomasia katika masuala ya kupambana na mabadiliko ya tabianchi, au alivyoanzisha tena uhusiano na Cuba, nk.
Binafsi naamini kwamba mapatano yaliyohusu nguvu za nuclear na Iran ni mafanikio makubwa ya kuepusha shari duniani.
Pia kupambana na ugaidi na uharamia. Nafikiri alichukua hatua za kufaa kabisa.
Ninaweza kuendelea, lakini niseme tu kwamba yote hayo aliyafanya huku viongozi wa senate na congress wakiwa wametangaza toka siku ya kwanza anaingia madarakani kwamba agenda yao namba moja ni kuhakikisha hachaguliwi tena kwa kipindi cha pili. Just think about it. si maendeleo ya watu kwa sababu kazi zimepotea, bali kumwondoa Obama ikulu.
Mwisho niseme tu kwamba Hillary alipita nomination ya Democratic party kwa njama za vigogo wa chama. Naamini Sanders angemshinda Trump vizuri zaidi. Na Sanders ni mliberali zaidi ya Obama na Clinton.
Lakini project ya Trump ni kufuta chochote ambacho kinaonekana kwamba Obama alifanikiwa, na si maslahi ya wananchi. Ni kwamba mtu mweusi amefanya mambo hayo, na kuna watu wengi hawapendi. Kumbuka jinsi jina la "Obamacare" lilivyokuwa ni trick iliyofanikiwa sana. Isitoshe, Clinton angehakikisha hiyo legacy ya Obama inabaki. Tena yeye ni mwanamke. Hapo watu wengine wanaingiwa na kichaa kabisa. Si unajua hata congress ya Marekani wanawake ni kama 18% tu. Na umeshuhudia wale wanaopanga mambo ya afya ktk senate, hakuna mwanamke hata mmoja.
Naamini ukiondoa lensi hiyo ya ushoga au madai ya kutoa mimba, utaona mambo mengi zaidi mazuri. Hela zinazotolewa nje kama msaada ni kidogo sana. Misaada ya "kutoa mimba" (ambayo kwanza ni uzushi) hata haifikii kisehemu kidogo sana cha misaada wanayopewa Wayahudi na Wamisri kijeshi na namna nyingine.
Sio kweli , Putin kalipiza kwa Democrats eps kwa Clinton alivyo muhujumu na middle east crisis enzi za uwaziri wake ...sasa Putin akaona isiwe shida akamdukua ...Hii ikiwapa US wachache tension yakuto mpa kula na FBI walikuwa hawamtaki mama so wakakazia humohumo...If Clinton angewin basi US angepotea kabsa kwani Sera za Obama ndo za clinton ndo za ma Liberals wote...Tangu Obama aingie madarakani nasikiaga utajiru wa US unakaribia 20tr $ but haujawah fika wakati china everyday anakua mpaka sasa ana zaid ya 11$ tr sasa Obama alijikita kugawa hela kwenye organisation za kutoa mimba duniani na His govern. Rushwa nyingi... US wakampa busness man Trump for the interest of their country...How can you call Trump mropokaji wakati anakuwa Billionea everyday basi wakasema bora tumchague huyuhuyu mropikaji na mdhalilishaji wa wanawake anaweza kuiinua US kuliko mtu mwenye heshima Obama alaf nchi iko palepale...
 
.Juzi tu Demons wenyewe wamekubali na kufuta Obamacare hii inaonesha jinsi gani mjaluo aliwaingiza chaka![/QUOTE]
Sijui unapata habari zako wapi. Lakini kura zilizopigwa katika Congress mwanzoni mwa mwezi huu
Kura 217 zilisema wanataka kufuta Obamacare. Wote walikuwa republicans. Hapakuwa na democrat HATA MMOJA.
Kura 213 zilisema wasifute Obamacare. Katika hao 20 walikuwa republicans.
Mimi nadhani wewe sasa ndiyo umemezeshwa mambo fulani vile. Narudia ukitoa tu hiyo miwani ya giza, utaona kwamba Drumpf ni bozo asiyejua mambo wala hana umakini wowote. Na Warusi wamempatia kweli. Tunaona juzi alikuwa anabwabwaja siri zote kwa hao Warusi. Nahisi wanamdai kitu fulani.
 
How can you call Trump mropokaji wakati anakuwa Billionea everyday basi wakasema bora tumchague huyuhuyu mropikaji na mdhalilishaji wa wanawake anaweza kuiinua US kuliko mtu mwenye heshima Obama alaf nchi iko palepale...[/QUOTE]
Historia inatufundisha kwamba watu wengi tu huchaguliwa ambao hawafai kabisa. Wengine wanachaguliwa katika kila ambacho mimi huona kuwa ni: kata pua uunge wajihi. Watu wanachagua majambazi na madikteta hata kama kuna dalili zote za uovyo. Zuma alipochaguliwa alikuwa na makesi kibao. Sasa ndiyo wanahangaika wanataka wamtoe. Hitler alipendwa sana alipochaguliwa pamoja na kwamba alionesha dalili zote za ufashisti.
Kuchaguliwa si ushahidi kwamba wewe ndiyo mtu bora. Hata demokrasia inafanya makosa kwa sababu ni binadamu.
 
Ukimjibu itakuwa kama vile umeamua kufukuzana na kichaa, kisa? Kaiba nguo zako wakati unaoga mtoni! 😀😀😀
Mimi ninayeongea reality na wewe unaye dream mchana kweupe,Nani kichaa?.
 
Wewe umeongea kinyume kabisa. Kuropoka na kujisifia kwa Trump hakuisaidii US bali kunaididimiza. Dunia ya leo nchi hazitegemei kutumia nguvu na vitisho tu, iwe kwenye nyanja za uchumi au siasa. Sasa Trump hajui hayo, yeye akilala akiamka ana tweet tu. Russia walimsoma wakajua huyu jamaa hana akili ya kuongoza nchi. Sasa watamtumia yeye kuidhoofisha Marekani. Obama was very intelligent, na alikuwa akifanya mambo yake kwa umakini mkubwa. Si huyu Trump wa makelele tu.
Umemezeshwa propaganda za ma liberals,Sasa wewe kutwa kuangalia CNN,uanfikiri utajua nini kuhusu trump?...Kwa taarifa yako tu 96% ya waliomchagua trump,wamesema watamchagua tena 2020.
 
Keep dreaming bro,.Utakufa na mjuku wako atakufa,hamtoweza kuona unachokifkiria.never.
Mkuu acha personal attack kama mada. Soma vizuri comment yangu nilikuwa Nanakamilisha quote ya Buyenze.
 
How can you call Trump mropokaji wakati anakuwa Billionea everyday basi wakasema bora tumchague huyuhuyu mropikaji na mdhalilishaji wa wanawake anaweza kuiinua US kuliko mtu mwenye heshima Obama alaf nchi iko palepale...
Historia inatufundisha kwamba watu wengi tu huchaguliwa ambao hawafai kabisa. Wengine wanachaguliwa katika kila ambacho mimi huona kuwa ni: kata pua uunge wajihi. Watu wanachagua majambazi na madikteta hata kama kuna dalili zote za uovyo. Zuma alipochaguliwa alikuwa na makesi kibao. Sasa ndiyo wanahangaika wanataka wamtoe. Hitler alipendwa sana alipochaguliwa pamoja na kwamba alionesha dalili zote za ufashisti.
Kuchaguliwa si ushahidi kwamba wewe ndiyo mtu bora. Hata demokrasia inafanya makosa kwa sababu ni binadamu.[/QUOTE]

Uwezo wa uongozi wa mtu haupimwi kwa kiasi cha pesa au utajiri alionao, maana hata wauza madawa ya kulevya au majambazi wanakuwa na hela nyingi lakini hawafai kuwa viongozi
 
Hujuma zao zilishashindwa japo hawajakata tamaa

Wala usiwasingizie hao. Hawana habari naye kabisa.Aliporopoka kwa Warusi, Bush na Obama walimtuma? Anapobwabwaja uwongo, Bush na Obama wanahusika vipi? Kwenye kampeni alisema Uislamu ndiyo adui yao. Juzi alikuwa Saudi kabadilisha habari, Bush na Obama wanahusikaje? Kwani alipoanzisha Trump University halafu akashtakiwa kwa utapeli kabla ya kuingia kwenye kampeni ilikuwa na sababu ya Bush na Obama?
Wamarekani lazima wakiri this time wamechagua bozo tapeli.
 
Historia inatufundisha kwamba watu wengi tu huchaguliwa ambao hawafai kabisa. Wengine wanachaguliwa katika kila ambacho mimi huona kuwa ni: kata pua uunge wajihi. Watu wanachagua majambazi na madikteta hata kama kuna dalili zote za uovyo. Zuma alipochaguliwa alikuwa na makesi kibao. Sasa ndiyo wanahangaika wanataka wamtoe. Hitler alipendwa sana alipochaguliwa pamoja na kwamba alionesha dalili zote za ufashisti.
Kuchaguliwa si ushahidi kwamba wewe ndiyo mtu bora. Hata demokrasia inafanya makosa kwa sababu ni binadamu.

Uwezo wa uongozi wa mtu haupimwi kwa kiasi cha pesa au utajiri alionao, maana hata wauza madawa ya kulevya au majambazi wanakuwa na hela nyingi lakini hawafai kuwa viongozi[/QUOTE]

Swadakta!
 
Back
Top Bottom