Trump Ready to Tackle North Korea Alone.

Haha unachanganya bro
Nathan kirefu cha THAAD hukijui
itabidi ueleze ww unaejua kirefu cha thaad, hii ni info kutoka wikipedia
Terminal High Altitude Area Defense (THAAD), formerly Theater High Altitude Area Defense, is a United States Army anti-ballistic missile system which is designed to shoot down short, medium, and intermediate range ballistic missiles in their terminal phase using a hit-to-kill approach.

Na hii muundo wa ufanyaji kazi wa thaad jinsi ilivyofafanuliwa na shirikisho la wanasayansi wa america


Na hii ndio thaad yenyewe kutoka kwenye mtandao wa Reuters


Narudia tena thaad haina uwezo wa kuzuia kombora lisiruke labda ww unielimishe jinsi ambavyo unavyoelewa thaad maana unadai sijui kirefu cha thaad na uniambie jinsi inavyofanya kazi.

sources:
Terminal High Altitude Area Defense - Wikipedia
Thaad: US begins deploying missile defence system in South Korea - BBC News
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bhas siendelei kubishana na ww. Siku njema.
Hakuna mwenye uhakika.
Usa wenyewe wanakiri ni vigumu kufahamu N korea kiundani pamoja na kuwa ngangari kwa upelelezi
 
Ukisoma haya maelezo yako utagundua kuwa inahit kombora at terminal phase ko litakuwa halija attain maximum cruise speed
Kitu ambacho ni ngum kwa ballistic missile kukiescape
 


It's unthinkable, to imagine they will agree to destroy or put their weapons down.
The best peaceful way out is diplomacy, to calm everybody down,
But if they will agree to it. Otherwise, it's ongoing battle.
 
Vijana ukisha kuwa na nuclear hakuna atakaekugusa hata kama anazo sababu ni kwamba nuclear haina mjanja yaan hata kama unazo ukiwahiwa huna pa kukimbilia ndo maana Russia pamoja na kuongoza kuwa na nuclear nyingi na hatari duniani wamewekeza kwenye protection yaan mabilion ya dollar yanateketea kwa ujenzi wa miji ya chini ya ardhi tena chini ya miamba migumu, hivyo tusidanganyane hapa kwamba kuna mtu atamvamia north Korea nawaambia hayupo as long as akiwa na uwezo wa kuirusha popote duniani hata USA hatothubutu pia mkumbuke n. Korea pia anamarafiki wenye nuclear za kutosha na ndio maana hata ALBERTY EINSTEIN Mzee wa nuclear fission and fussion alipoulizwa nini kitatokea endapo vita ya tatu ya dunia alisema vita ya nne watu watatumia fimbo na mawe na hii ilikuwa baada ya bomb la Hiroshima na Nagasaki akimaani mabomu ya nuclear yaliyopo duniani yakitumika basi dunia itarudi enzi za ujima kwa maana nuclear itatumika strategically ktk majiji yenye uchumi mkubwa hivyo itasambaratishwa na kufutwa ktk ramani ya dunia.
 
Mbabe USA.... The Beast....waga hakurupiti in 2min N. K ni hiroshima mpya
 
If you ever lived wondering how life would be in apocalypse I can imagine how you masturbate day and night on the idea of these guys nuclear-punch each other to the ground.

Just don't forget your lube.
 
Siyo rahisi kivile! Kwenye vita vya nyuklia hakuna mshindi! Wote ni washindwa pamoja na wale ambao hawahusiki kabisa!
 
It is too late to try to stop North Korea now!
It will back fire! They are having nukes already!
 
It is too late to try to stop North Korea now!
It will back fire! They are having nukes already!
A flurry of recent missile tests by North Korea has set nerves on edge and stirred fresh concern about whether U.S. defenses could protect Americans against a sneak attack. North Korea has detonated nuclear devices and is trying to develop long-range missiles capable of reaching the United States.

The Pentagon has spent more than $40 billion on the Ground-based Midcourse Defense system — GMD for short. It’s designed specifically to thwart a nuclear strike by North Korea or Iran. Yet there are grave doubts about whether it’s up to the task.

Here is a look at the system’s origins, how it’s supposed to work and the technical problems that have bedeviled it.

What exactly is GMD supposed to do?
It’s designed to defend the United States against a “limited” nuclear attack. That means a strike with a handful of missiles, as opposed to a massive assault of the kind that Russia or China could launch. The United States relies on deterrence — the threat of overwhelming retaliation — to prevent Russia or China from ever unleashing missiles against us. In the case of North Korea or Iran, we would rely on GMD to knock incoming warheads out of the sky.

How would GMD do that?
By intercepting incoming warheads in space, just as they’re about to begin their reentry into the atmosphere. That’s the approximate “midcourse” point in a warhead’s journey from launch pad to target.

What’s an interceptor, and how does it work?
The GMD interceptors are 60-foot-tall, three-stage rockets. Each has a five-foot, 150-pound “kill vehicle” at its tip. In the event of an attack, interceptors would be launched from their underground silos. Once in space, the kill vehicles would separate from their boost rockets and fly independently toward their targets, at speeds up to 4 miles per second.


A kill vehicle on display at Ft. Greely, Alaska, with its silver thrusters protruding. (Al Grillo / Associated Press)
How many interceptors are there, and where are they based?
There are 37 operational interceptors — four at Vandenberg Air Force Base in Santa Barbara County, Calif., and 33 at Ft. Greely, Alaska.


Map shows approximate locations of Ft. Greely, Alaska, and Vandenberg AFB in California. (Los Angeles Times)
How would the kill vehicle destroy an incoming warhead? By blowing it up?
The kill vehicles carry no explosives. They’re designed to destroy enemy warheads with kinetic energy, or energy of motion — in other words, by crashing into them.

How would the kill vehicle find the incoming warhead?
Satellites and powerful radars, stationed on land and at sea, track airborne objects. The GMD system receives data from these and other sources and would use it to guide the interceptors. The kill vehicle also has an on-board navigation system to help it zero in on its target.
 
Wakati Us inaivamia Afghanistan, Pakistan walikataa ndege na majeshi ya US yasipite nchini mwao, unajua Pakistan waliambiwaje?. " Uko upande wetu au uko upande wa adui?". Na wakati Pakistan wanaambiwa hivyo, dunia nzima inafahamu kuwa Pakistan inamiliki vichwa vya nuklia zaidi ya vitatu.. Sasa Trump anasema China asipoirekebisha N.Korea, US pekeyake itamchuklia hatua. Unapata picha gani hapo?.
 
Mie naona napata picha ya mikwara tuu hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…