Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Hawawezi, DPRK sio nchi ya kitoto, wamewekeza kwenye silaha za nyuklia kitambo sana na ni washirika wazuri wa Russia na China. DPRK inachezea GPS za meli za South Korea unafanya mchezo nini.Siku N.Korea akirusha nuclear Japan au North Korea bhas huo ndo utakua mwisho wa taifa linaloitwa North Korea. US ndo atakua kashapata sababu ya kumchapa kwa nuclear, maana US alishasemaga siku north korea akishambulia mmoja wa washirika wake bhas italipiza na kujibu kwa kishindo kikubwa zaid. Trident, B61,B83 zote zitatua north Korea.
Hakuna vita ya tatu ya dunia,mtu anatandikwa anakaa kimya na hafanyi loloteGentlemen prepare for WWIII
Mr huu ni uongo ulio wa wazi kabisa kuhusu THAAD inavyofanya kazi.thaad haina uwezo wa kuzuia kombora lisiluke ila inachofanya pindi kombora likirushwa yenyewe inasense Yale mawimbi kabla ya kutua na baada ya hapo THAAD inaachia kombora Litakalo-intercept kombora la adui. Na si hivyo kama unavyodai ww.Vita ya vietnam ilikuwa tofauti... US hawakuwa prepared.. walivamia tu kichwa kichwa..
Sasa nataka nikwambie kitu...
Kuna technologia mpya inaitwa THAAD. Hii defence ni mpya kabisa.. inauwezo wa kuzuia makombora ya nuclear kabla hata hayajarushwa angani
Kuna "David's sling"Yeye watu wake hawatadhurika ila hawa vibaraka wake Japan na s. Korea wako tayari kuvurumishiwa hayo madude ya Pyongyang? Kwa sababu N korea jeuri yake siku akichokozwa hatakuwa na njia mbadala tofauti na kuwashambulia hawa vibaraka wa marekani je Japan yuko tayari kurudia historia ya Nagasaki na Hiroshima? Cha msingi hapa kila nchi iachwe ijitawale hata kama watachinjana yatakuwa ni makubaliano ya sheria zao
Labda kwa nchi km South Korea ila sio US. Unakumbuka walivyohack kampun ya Sony ili isionyeshe ile film ya Kim Mmarekan akawazimia internet. Kufananisha N.Korea na US ni sawa na ufananishe et Turkey na Russia kwamba wakipigana utegemee Turkey iipige Russia. Hzo ni ndoto za alinacha.Hawawezi, DPRK sio nchi ya kitoto, wamewekeza kwenye silaha za nyuklia kitambo sana na ni washirika wazuri wa Russia na China. DPRK inachezea GPS za meli za South Korea unafanya mchezo nini.
Nchi yoyote yenye Nyuklia si ya kuchezewa.Labda kwa nchi km South Korea ila sio US. Unakumbuka walivyohack kampun ya Sony ili isionyeshe ile film ya Kim Mmarekan akawazimia internet. Kufananisha N.Korea na US ni sawa na ufananishe et Turkey na Russia kwamba wakipigana utegemee Turkey iipige Russia. Hzo ni ndoto za alinacha.
Wewe unawafaham kiundan N.K?,acha pia ushabiki kNawashangaa wanaomshabikia huyu kichaa mnyoa panki, Siku North Korea ikiangamizwa, dunia italia Sana, Hamtaweza Ukiona China wala Russia ikimsaidia.
Wataishia kusema Marekani anaonea Sana wenzake, by the way, Japan kijeshi ipo vizuri mno, sijui ni wapi Huyu chizi atajiokoa, watu wanashabikia bila kuujua undani wa US na Japan.
Mambo yapo area 51 Nevada, hata Russia anajua tu, huwa Marekani wakichukia kabisa, hamtamwona Putin akiweka pua, waache mkuu waendelee na ushabiki ila ukweli hadi sasa hvi ni kuwa, US haina mpinzani.
Unadhan km Leo zikinyukwa kat ya US na N.Korea nan atachezea kichapo kitakatifu?!Nchi yoyote yenye Nyuklia si ya kuchezewa.
UsUnadhan km Leo zikinyukwa kat ya US na N.Korea nan atachezea kichapo kitakatifu?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bhas siendelei kubishana na ww. Siku njema.
Kwahyo wewe ulitaka aseme N.K?, hvi N.K mnadhan mjinga kiasi gan aanzishe chokochoko huku akijua fika haliwez?. Vita ni vita kushinda au kushindwa ni probably kwa wote walioko vitan.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bhas siendelei kubishana na ww. Siku njema.
Hahahaha, ulitaka uambiwe ni DPRK ili uendelee kubisha?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bhas siendelei kubishana na ww. Siku njema.
Wewe ni moja ya wale russian fun boys....Ndio mana nakwambiawewe hujui unapapasa papasa tu juujuu,izo system ziko kibao duniani,na mrusi ndio anazo zaidi,io thaad ni ya mmarekani, kila mtu anayo kwa jina lake,ila zote haziwezi kuzui kombora lifikia finalstage, nasema tena hakuna system inayozui kombora lilifikiafinal stage,zote zote zinazuia kombora likiwa bado likosafarini na siofinal stage walalikiwa halijarushwa, nenda kasome tena, na kwataatifa yako io thaad ni chamtoto ktk kombora la china, na lile lamrusi, satan, na satan2.
Hana vipaumbele yule kama huyu wa kwetu.. Yaan kila kitu anadakia tuhajamali hiki anahamia hikiAjenge kwanza ukuta wa mpakani na Mexico
Mtu akifuatilia comment zako inaonekana wewe sio mbishi ila MBISHANAJI yaani hata kiv cha kukataa tu wewe unabishana.Ndio mana nakwambiawewe hujui unapapasa papasa tu juujuu,izo system ziko kibao duniani,na mrusi ndio anazo zaidi,io thaad ni ya mmarekani, kila mtu anayo kwa jina lake,ila zote haziwezi kuzui kombora lifikia finalstage, nasema tena hakuna system inayozui kombora lilifikiafinal stage,zote zote zinazuia kombora likiwa bado likosafarini na siofinal stage walalikiwa halijarushwa, nenda kasome tena, na kwataatifa yako io thaad ni chamtoto ktk kombora la china, na lile lamrusi, satan, na satan2.
Haha unachanganya broMr huu ni uongo ulio wa wazi kabisa kuhusu THAAD inavyofanya kazi.thaad haina uwezo wa kuzuia kombora lisiluke ila inachofanya pindi kombora likirushwa yenyewe inasense Yale mawimbi kabla ya kutua na baada ya hapo THAAD inaachia kombora Litakalo-intercept kombora la adui. Na si hivyo kama unavyodai ww.