Trump Ready to Tackle North Korea Alone.

Vita ya vietnam ilikuwa tofauti... US hawakuwa prepared.. walivamia tu kichwa kichwa..
Sasa nataka nikwambie kitu...
Kuna technologia mpya inaitwa THAAD. Hii defence ni mpya kabisa.. inauwezo wa kuzuia makombora ya nuclear kabla hata hayajarushwa angani
 
Si wakinukishe tangu miaka ya 90 wanapiga porojo tu mpaka leo
 
China hatompa msaada wowote Trump, China analinda maslai yake ya biashara na K.Kaskazini

Kwenye hii vita China atakuwa upande wa K.Kaskazini

hakuna unachokijua, hiv US na n.korea ni wapi kwenye maslahi makubwa ya kibiashara ya china?!! ebu ngoja nikutoe ukungu kidogo kwenye hiyo bongo yako, Biashara anayoifanya china na US ni biashara kubwa na profitable kuliko biashara anayofanya china na nchi yoyote ile duniani. kwa taarifa yako biashara anayopiga china US ni kubwa kuliko biashara anayopiga china na bara la Afrika.
 
Jamaa Nk wanajiamini kwa kombora Lao linaitwa DF 41 but surly kuna jamaa wanancheki achokoze wamtolee makombora mubashara
 
Hivi watu wanapoisikia US wanaionaje au wanaisikia juu juu tu ogopa nchi ambayo ndo wenye maamuzi ya uchumi wa nchi zote dunian na haijawah kuyumba kiuchumi
Usa hana maamuzi yoyote ya kiuchumi kinacho endelea kimbeba usa ni utumiaji wa hela yake kwenye international markt kitu ambacho miaka michache ijayo hakitakuwepo
Angalia real gdp ya china na usa,pia angalia nominal gdp zao utajua ninaongea kitu gani
 
Muongo wewe.
 
Anamaamuzi
Ndo maana US ikikuwekea vikwazo uchumi wako lazima uyumbe
Chukulia mfano cuba
 
Muongo sana wewe jamaa, mpaka sasa hapa duniani hakuna air defence yeyote ile inayo weza kuzui kombora laaina yeyote ile linapo fikia finalstage ya kutaka kulipuka,defence zote zina wezafanya kazi kama kombora liko ktk stage za mwanzo, alafu eti unasema io thaad inaweza fanya shambulizi eti kabla kombora halijarushwa.? Muongo nenda kasome vizuri wacha ushabiki wa kipuuzi.
 
Anamaamuzi
Ndo maana US ikikuwekea vikwazo uchumi wako lazima uyumbe
Chukulia mfano cuba
na mrusi nae anasubiri huruma ya trump katika kumuondolea vikwazo maana vinamtesa mpaka basi
 
Nilijua tuu hili Jamaa likiingia tu lazima lianzishe vita tuu
 
Marekani anapiga tu mayowe, analinda uchumi wake akiingia kwenye vita Urus atakuwa superpower
 
Wewe ndio hujisomei kaka.... hufuatiliii mambo. The reason why america walitengeneza hiyo system ni kwa ajili ya nuclear missile threats from russia and korea.
THAAD...
Google ujisomee....
 
Wewe ndio hujisomei kaka.... hufuatiliii mambo. The reason why america walitengeneza hiyo system ni kwa ajili ya nuclear missile threats from russia and korea.
THAAD...
Google ujisomee....
Ndio mana nakwambiawewe hujui unapapasa papasa tu juujuu,izo system ziko kibao duniani,na mrusi ndio anazo zaidi,io thaad ni ya mmarekani, kila mtu anayo kwa jina lake,ila zote haziwezi kuzui kombora lifikia finalstage, nasema tena hakuna system inayozui kombora lilifikiafinal stage,zote zote zinazuia kombora likiwa bado likosafarini na siofinal stage walalikiwa halijarushwa, nenda kasome tena, na kwataatifa yako io thaad ni chamtoto ktk kombora la china, na lile lamrusi, satan, na satan2.
 
Wewe ndio hujisomei kaka.... hufuatiliii mambo. The reason why america walitengeneza hiyo system ni kwa ajili ya nuclear missile threats from russia and korea.
THAAD...
Google ujisomee....
Mmarekani amekiri mwenyewe kuahawezizuia kombora la satan,tena alie kili ni general wa vita toka pentagon, na la mchina kasema ni ngumu mana lina speed sana linakwenda km8 kwa sec, thaad hainaio range na speed io,nenda kasometena,fungua you tube kuna video kibao zinazungumzia kuhusu io, na izosystem zote ni mobile,na ant missile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…