Siku N.Korea akirusha nuclear Japan au North Korea bhas huo ndo utakua mwisho wa taifa linaloitwa North Korea. US ndo atakua kashapata sababu ya kumchapa kwa nuclear, maana US alishasemaga siku north korea akishambulia mmoja wa washirika wake bhas italipiza na kujibu kwa kishindo kikubwa zaid. Trident, B61,B83 zote zitatua north Korea.Yeye watu wake hawatadhurika ila hawa vibaraka wake Japan na s. Korea wako tayari kuvurumishiwa hayo madude ya Pyongyang? Kwa sababu N korea jeuri yake siku akichokozwa hatakuwa na njia mbadala tofauti na kuwashambulia hawa vibaraka wa marekani je Japan yuko tayari kurudia historia ya Nagasaki na Hiroshima? Cha msingi hapa kila nchi iachwe ijitawale hata kama watachinjana yatakuwa ni makubaliano ya sheria zao
Nawashangaa wanaomshabikia huyu kichaa mnyoa panki, Siku North Korea ikiangamizwa, dunia italia Sana, Hamtaweza Ukiona China wala Russia ikimsaidia.Siku N.Korea akirusha nuclear Japan au North Korea bhas huo ndo utakua mwisho wa taifa linaloitwa North Korea. US ndo atakua kashapata sababu ya kumchapa kwa nuclear, maana US alishasemaga siku north korea akishambulia mmoja wa washirika wake bhas italipiza na kujibu kwa kishindo kikubwa zaid. Trident, B61,B83 zote zitatua north Korea.
Wamefanya nini cha kuitisha dunia?N K needs to be stopped immediately are most threaten of the world
Marekani hayupo tayari kuingia kwenye vita, Sana sana atabweka tu mwisho atapiga kimya,Nawashangaa wanaomshabikia huyu kichaa mnyoa panki, Siku North Korea ikiangamizwa, dunia italia Sana, Hamtaweza Ukiona China wala Russia ikimsaidia.
Wataishia kusema Marekani anaonea Sana wenzake, by the way, Japan kijeshi ipo vizuri mno, sijui ni wapi Huyu chizi atajiokoa, watu wanashabikia bila kuujua undani wa US na Japan.
Mambo yapo area 51 Nevada, hata Russia anajua tu, huwa Marekani wakichukia kabisa, hamtamwona Putin akiweka pua, waache mkuu waendelee na ushabiki ila ukweli hadi sasa hvi ni kuwa, US haina mpinzani.
Na NK akiishambulia marekani utakuwa ndio mwisho nani?Siku N.Korea akirusha nuclear Japan au North Korea bhas huo ndo utakua mwisho wa taifa linaloitwa North Korea. US ndo atakua kashapata sababu ya kumchapa kwa nuclear, maana US alishasemaga siku north korea akishambulia mmoja wa washirika wake bhas italipiza na kujibu kwa kishindo kikubwa zaid. Trident, B61,B83 zote zitatua north Korea.
Japan haina jeshi acha kudanganya Japan ulinzi wake unategemea MarekaniNawashangaa wanaomshabikia huyu kichaa mnyoa panki, Siku North Korea ikiangamizwa, dunia italia Sana, Hamtaweza Ukiona China wala Russia ikimsaidia.
Wataishia kusema Marekani anaonea Sana wenzake, by the way, Japan kijeshi ipo vizuri mno, sijui ni wapi Huyu chizi atajiokoa, watu wanashabikia bila kuujua undani wa US na Japan.
Mambo yapo area 51 Nevada, hata Russia anajua tu, huwa Marekani wakichukia kabisa, hamtamwona Putin akiweka pua, waache mkuu waendelee na ushabiki ila ukweli hadi sasa hvi ni kuwa, US haina mpinzani.
Nimeanza kunoa panga langu na kujaribisha mishale yangu ya sumu na mkuki pia maandalizi yanaendelea mkuuGentlemen prepare for WWIII
Hahahaha....daah..... kweli ww umeichoka duniaNimeanza kunoa panga langu na kujaribisha mishale yangu ya sumu na mkuki pia maandalizi yanaendelea mkuu
Mfano mzuri ni Bush alivyokuwa RaisiNawashangaa wanaomshabikia huyu kichaa mnyoa panki, Siku North Korea ikiangamizwa, dunia italia Sana, Hamtaweza Ukiona China wala Russia ikimsaidia.