Kuna watoto walikuwa hawapendi wageni wafike home kwao, Kwa trump Ile tabia imekua ikazeeka, maybe, ndio alikuwa wa kishua ila si unajua Tena sometimes Kuna aibu zinatokea home halafu hutaki Wana wajue,Anajisahau kuwa Wamarekani 99.98% ni wahamiaji. Trump anafukuza wahamiaji wenzake. Dhambi hii itamtafuna yeye na Marekani yote kama taifa kama ikiachwa iote mizizi.
umeshahama kwenye wahamiaji mara hii ha haTrump ni msanii, anasikitika watu kufa Ukraine na Urusi lakini hasikitiki watu wa Gaza na Yemen kufa wakati wote ni watu na wote wana damu nyekundu zinazomwagika.
Huku nimeonja tyuu, lakini Kuna association pia na kauli zake kuwa anataka kumaliza mauaji Ukraine kwasabu wanakufa watoto wadogo wenye baba, mama, uncles, sisters and brothers bila sababu. Je, wale watoto wa Gaza hawana wazazi na ndugu wanaoumia? Yaani nataka kusema Trump ana agenda zake tofauti na uhamiaji na wahamiaji. Kuna vitu anatafuta huko Venezuela, Ukraine, Urusi, China, EU na kwingineko.umeshahama kwenye wahamiaji mara hii ha ha
hayo ni mawazo yako tuHuku nimeonja tyuu, lakini Kuna association pia na kauli zake kuwa anataka kumaliza mauaji Ukraine kwasabu wanakufa watoto wadogo wenye baba, mama, uncles, sisters and brothers bila sababu. Je, wale watoto wa Gaza hawana wazazi na ndugu wanaoumia? Yaani nataka kusema Trump ana agenda zake tofauti na uhamiaji na wahamiaji. Kuna vitu anatafuta huko Venezuela, Ukraine, Urusi, China, EU na kwingineko.