Inaonekana hata haelewi ya kwamba kabla ya mwaka 1492, hakukuwepo na Taifa linaloitwa Marekani! Ana ubinafsi wa kijinga sana.Anajisahau kuwa Wamarekani 99.98% ni wahamiaji. Trump anafukuza wahamiaji wenzake. Dhambi hii itamtafuna yeye na Marekani yote kama taifa kama ikiachwa iote mizizi.
Nachukulia jibu lako ulilolitoa ni hapana.Walikwenda kama watumwa na Bado tunaenda kama watumwa kwa mtindo wa cheaper labor. Waliijenga Marekani na Bado wanaijenga hadi Leo. Kodi wanayotozwa ni kubwa(%) kuliko weupe.
Kuna wamarekani ambao ni weusi, hao ni wamarekani ingawa tunafahamu kuwa wengi wao wako magerezani kutokana maisha, malezi na makuzi waliyopatiwa huko marekani. Hata hivyo wako weuzi wengine ambao wamekaa tako moja tu marekani kutokana na namna walivyoingia marekani.Nachukulia jibu lako ulilolitoa ni hapana.
Watu weusi sio wahamiaji ambao Trump anawafukuza huko. I'm sure that is a fair statement.
Trump kichaa
Trump admin DENIES re-entry to deported professor who attended terrorist's funeral. Ha maprofesa wanatolewa baru, mkuku.
View: https://youtube.com/shorts/1-8PDaWGnJI?si=vtnelCAMYKKXbKHi
sio wahamihaji legal bali illegal immigrants zingatia neno illegalAnajisahau kuwa Wamarekani 99.98% ni wahamiaji. Trump anafukuza wahamiaji wenzake. Dhambi hii itamtafuna yeye na Marekani yote kama taifa kama ikiachwa iote mizizi.
Trump ni msanii, anasikitika watu kufa Ukraine na Urusi lakini hasikitiki watu wa Gaza na Yemen kufa wakati wote ni watu na wote wana damu nyekundu zinazomwagika.sio wahamihaji legal bali illegal immigrants zingatia neno illegal