Trump: New Mexico should immediately change its name to New America

Huwezi kufika kila sehemu duniani, lakini kwenye maeneo yenye freedom of and after speech, dunia inakuwa kama kijiji. Thanks to Elon Musk kwa kuinunua Twitter, ambayo ilishaanza kufanana na Instagram kwa madai ya kuwepo kwa shinikizo la kufungia akaunti za baadhi ya wapinzani wa Democrats, akiwemo Trump. Ndiyo maana wengi wanaiona X ya leo kama jukwaa lenye nafasi kubwa zaidi ya uhuru wa kujieleza.

Biden alikuwa hawezi kabisa kuongoza nchi, alikuwa na matatizo ya akili, alimwita dada yake mke wake, alikuwa anasahau jiji alililofikia, alikuwa anasahau milango, alikuwa muoga wa press, n.k.

Cartels zilimfurahia sana Biden kwasababu alilegeza au kushirikiana nao, hakuna kichwa kilikuwa kinavuka bure Mexico nchi inayoendeshwa na magenge

View attachment 3693982
Kumbe MAGA wapo mpaka Tanzania?
 
Wewe ni Democrat na hicho ulichoandika ni Povu la Democrats ambao hadi sosa hawaja recover na ushindi mnono wa Trump

Chini ya Biden, mfumuko wa bei ulikuwa mkubwa sana hadi kufikia 9.1%, kiwango cha mfumuko wa bei kipindi hiki cha Trump kimepungua sana

Trump ameweka msisitizo mkubwa katika kuimarisha ulinzi wa mpaka wa Marekani, Takwimu za kukamatwa kwa watu wanaovuka mpaka wa kusini wa Marekani zimepungua sana tofauti na kipindi cha Biden aliporuusu wahamiaji zaidi ya Milioni 10 kuvuka na yeye wala hakuona shida, si jambo la ajabu alikuwa ana pewa mgao wake kwa kila kichwa kinachovuka

Uhalifu umepungua sana kipindi hiki cha Trump ikiwemo maeneo maarufu kama Washington

Sheria ya kodi iliyotiwa saini na Trump imeondoa makato ya kodi kwa mapato ya tips na sehemu fulani ya malipo ya overtime

Trump amekuwa akishinikiza hoja ya kulinda ushindani wa haki na usalama wa wanamichezo wa kike kwa kutojumuisha wanaume wanaobadili jinsia

Anashughulikia ufisadi hasa unaonendelea Minnesota kwa mbunge Mdemokrati Ilhan Omar ambae jimbo lake limekuwa na ufisadi kwenye day cares, matibabu, n.k Kwa sasa huyo Ilhan anashughulikwa na vyombo vya dola kwa huo ufisadi kwa orders za majaji wakiwemo wa Demcrat

Ajira zimeanza kurudi kwa Wamarekani, waliokuwa wana abuse h1b visas wamekalia kuti kavu
Fox News bullshit! Change the channel fool!
 
Siasa za Marekani huzijui, unabumbabumba kwa kuziangalia mtandaoni.

Sisi raia wa Marekani tunaopiga kura huku na kuziishi hizi siasa kila siku tunajua Trump anazuga watu kwa huu ujinga kwa kujua anaenda kuangukia pua mid term elections.

Do you even know what that is?

Hujui maumivu ya watu kuhusu the cost of living, kuhusu the price of gas. Hujui maumivu ya watu waliomchagua asiingize US kwenye vita, halafu akaenda kuii giza vitani Iran.

Huishi huku, unabumbabumba kurukia mambo ya siasa za watu mitandaoni tu.
Sasa mkuu kama Amerca maisha mafumu si urudi kwenye motherland yako? Ya nini upate tabu nchi za watu wakati maisha mapesi yapo Africa?
 
Wapi nimesema maisha magumu kwangu?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Na kwa nini unajisikia una uwezo wa kunishauri mimi wapi pa kukaa?

Unanijua? Unajua sababu zangu za kuja Marekani?

Maisha mepesi yaliyo Africa ni yapi? Na unajuaje mimi nayataka hayo?

Kama Africa maisha mepesi, mbona kila siku watu wanatuomba pesa na kutulilia njaa?

Na kwa nini unafikiri mtu anatakiwa kuchagua sehemu ya kuishi kwa sababu ya ugumu wa maisha tu?

Ugumu wa naisha kwako wewe kwa nini unaona ni lazima uwe ugumu kwangu pia? Unanijua?

Mbona kama unajipa umuhimu ambao huna katika maisha yangu kunishauri wakati sijakuomba ushauri, kwenye mambo usiyoyajua, kwangu mimi mtu usiyenifahamu?

Wewe una qualifications gani za kuweza kunishauri mimi kuhusu maisha yangu na wapi niishi?
 
Why would you assume naangalia hiyo network? I don't. Nina multiple sources which do not include the network unayoitaja. Jibu hoja siyo kufanya unfounded assumptions.
Mashabiki wake wengi wa hapa Bongo ni watu ambao wanajikita katika jambo moja tu hata kama halina msingi au hoja ya nguvu. Kwa mfano, mtu anashikilia juu ya "ujinga wa kubadili jinsia". Nimetoka Marekani hivi karibuni, wala sijapata kusikia watu kweli wakigomba au kuhangaika na jambo hili. Ni suala la kuwatia mihemuko watu wasiofikiri sana. Watu wa namna hii hawafikirii tena matatizo ya bima ya afya, vita vinavyoleta maafa makubwa duniani na kupandisha gharama za maisha, hawafikirii matatizo yanayotokea mashambani huko Marekani, hawafikirii ubinafsishaji wa huduma za uma kama elimu, nk nk.
Kwa wote wanaomwona raisi yule kuwa mwokozi, wanajifanya kusahau kwamba yeye ndiyo mtuhumiwa nambo moja kuhusiana na mafaili ya Epstein. Wengi tulijua toka zamani kwamba amehusika katika mambo ya kutisha.
Lakini kwa kuwa ni muumini wa MAGA .......
Mkuu unajadiliana na huyo jamaa!? Huyo ni mtu ambaye hakubali mawazo ya watu wengine hata upunje. Anachokijua yeye ndio anaamini kuwa sahihi. Achaneni naye atawapotezea muda.
 
Logical non sequitur fallacy, falsw dichotony.

Kwako wewe mtu akimpinga Trump tu ni Democrat.

Hujui kuna Republicans na Independents wanampinga Trump.

Unatolea povu siasa za nchi ambayo hata hujafika, si raia wa nchi hiyo, si mpiga kura, siasa zake huziishi, huzijui.

Figisu zake huzijui, manipulation yake huijui.

Huyo mtu unayemtetea mbaguzi tu anakuona wewe nyani tu unatoka shithole country.

Trumo kaahidi kuimaliza hiyo inflation unayoisema ya Biden, lqkini kaifumua upya, tena kwa makusudi bika sababu ya muhimu kinyume na ahadi zake kwamba hataanzisha vita, kwa kuanzisha vita na Iran.

Mpaka wapiga kura wake waliompigia kura kwa kuwa atamaliza vita wanamshangaa.

Wewe huelewi kwa sababu hufuatikii kwa karibu unafuatikia kwa echo chambwrs za mitandaoni.

Subiri uchaguzi wa midterm uone, kama hata unaelewa midterm ni nini.

Kwa nini usifuatilie siasa za nchi yako unafuatilia siasa za nchi za watu, tena kwa ujuaji ambao huna?

Wewe unakubali unatoka shithole country?
Kwani ni uongo Africa sio shithole ?
 
Dah!!!
Inaitwa wilful ignorance. Ungejaribu kupata habari kwa upana zaidi badala ya kung'ang'ania hadithi za kipuuzi za kubadilisha jinsia. Hebu fikiria kama msomi, ni kweli tatizo la nchi nzima yenye watu zaidi ya milioni 300 wana tatizo kubwa la ubadilishaji wa jinsia mpaka wakahitaji mkombozi!!
Tuache hilo. Historia ya ubaguzi wa Trump (jiridhisha kwa ku-google, ni rahisi sana) na unafikiri mtu akionekana na Tyson au Kanye West, maana yake sio mbaguzi. Tapeli lile linajua kwamba kwa kuonekana na watu kama hao, watu wasiotumia akili watadhani kuwa ni rafiki wa watu weusi.
-1973 Donald na baba yake walishtakiwa kwa kuwabagua watu weusi wakiwazuia wasipange kwanye apartment zao. Waliishia kwa kulipa
-1989 Donald alifanya kampeni dhidi ya Central Park 5, vijana weusi wanne na mmoja Mlatino. Alitaka wauawe. Miaka baadae, wakutwa hawana hatia baada ya DNA na mhusika kukiri. Donald ameendelea kushikilia walitakuwa kunyongwa.
-2011 alianzisha kampeni ya kudai Obama alizaliwa Kenya ni kwa nia ya kumwonesha hastahili kuwa raisi. Hii iliwalenga wabaguzi wenzie. Hakuna raisi yeyote mwingine ambaye amewahi kudaiwa atoe cheti chake cha kuzaliwa isipokuwa Obama. Na hata baada ya kutoa cheti chake, Trump alishikilia palepale.
-Alipoanza kampeni yake 2015 aliwaita Wamexico wahalifu na wabakaji.
-Tafuta pia mzozo kuhusu Casino na vita vyake dhidi ya watu wa asili wa Marekani 1993.
-Sijui kama umefuatilia serikali yake hasa ya sasa hivi, Watu weusi na wanawake wenye sifa wameondolea kwenye nafasi mbali mbali.
-Umemsikia kila siku akiwataja watu weusi kuwa ni low IQ na anawaambia 'go back to where you came from"
-1991 alituhumiwa kuzuia watu weusi katika casino zake kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa na mkuu wa casino O'Donnell
Kwa taarifu tu, ukiangalia news kwa uangalifu utaona ubaguzi wake si wa kujificha. Na watu wake wanafahamu vizuri hilo. Ndiyo maana utaona hata Januari 6 ilikuwa ni weupe ndiyo waliopanda na kuvamia congress. Unakumbuka ugumvi wakati wa uchaguzi wa 2020 aliitaja miji kadha kama Philadelphia, Atlanta, na Detroit. Alitaka kufuta matokeo ya miji hiyo. Miji hiyo ina wapiga kura wengi weusi.

.
Hayo yote Africa viongozi wanawafanyia waafrica wenzao
 
Wapi nimesema maisha magumu kwangu?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Na kwa nini unajisikia una uwezo wa kunishauri mimi wapi pa kukaa?

Unanijua? Unajua sababu zangu za kuja Marekani?

Maisha mepesi yaliyo Africa ni yapi? Na unajuaje mimi nayataka hayo?

Kama Africa maisha mepesi, mbona kila siku watu wanatuomba pesa na kutulilia njaa?

Na kwa nini unafikiri mtu anatakiwa kuchagua sehemu ya kuishi kwa sababu ya ugumu wa maisha tu?

Ugumu wa naisha kwako wewe kwa nini unaona ni lazima uwe ugumu kwangu pia? Unanijua?

Mbona kama unajipa umuhimu ambao huna katika maisha yangu kunishauri wakati sijakuomba ushauri, kwenye mambo usiyoyajua, kwangu mimi mtu usiyenifahamu?

Wewe una qualifications gani za kuweza kunishauri mimi kuhusu maisha yangu na wapi niishi?
Japo siwezi kukushauri chochote ila naweza kusema tu Trump ni miongoni mwa marais bora kuwahi kutokea Amerca na yupo kwa maslahi ya wamarekani kuliko kingine chochote.
 
Kwanza kabisa, hakuna nchi inaitwa Amerca.

Mpaka hapo sina imani nawe.
 
Mimi naona Kiranga yupo sawa jirani huwezi kuzijua siri zote za familia hata dirisha lake ligandane na nyumba yenu. Yanayo andikwa mtandaoni tofauti na uhalisia unao endele.

Mimi uono wangu vyama na Serikali ya Marekani imeongeza ubepari kwa raia wake. Kwanini nikasema hivyo.

1) Mwaka 2000 petrol ilikuwa $1.09 leo hii over $4.10
2) Apartments 2beds rent $300 sasa $1000+
3) Mkopo 2% sasa over 12.28% na mortgage loan kutoka 2.5% hadi 7.5%.
Hata huko America kwenyewe dilema hiyo ipo, unaweza ukawepo usielewe wenyewe wanakwendaje ukamezwa na taarifa uchwara za mtandaoni, na matukio ya hapa na pale.

Trump anapendwa na wengi, japo wapo wachache wanaoburuzwa na propaganda za mitandao, issue ya muhimu kujua geopolitics kwa kina inaweza kukusaidia kupata hints za misimamo ya viongozi, bond zao na wananchi, trends za dunia kwa ujumla. Tukiolengelea takwimu na numbers, Donald Trump huyu kwa Mfano wa "Kuasi" Mfumo, Mwaka 2016, aliingia kwenye siasa kama mtu wa nje (outsider) ambaye hakutakiwa na viongozi wakuu wa chama cha Republican (Establishment). Hata hivyo, kura za wananchi wa kawaida kwenye primaries ziliwalazimisha viongozi wa chama kumkubali. Ushindi wake wa mwaka 2016, na hata ushindi wake katika uchaguzi wa Novemba 2024 (ambapo alipata kura 312 za Electoral College dhidi ya 226 za Harris, na pia kushinda Popular Vote kwa takribani 49.8%) unaonyesha kuwa wananchi bado wana uwezo wa kupindua matamanio ya mifumo ya vyama, almost mara tatu, maana hata ya pili walimuibia kura.

Usikubali kuendeshwa na mifumo ya vyama yenye mass media kubwa na propaganda zilizoegemea mlengo mmoja, ambao mara nyingi humulika petty issues na kufukia golden achievements zisije kuonekana..
 
Mkuu mimi sio mwanasiasa wala sina imani na siasa nilicho muunga mkono Kiranga ni uhalisia wa mtu anae ishi America anachopitia(matumizi na siasa za ndani) ni tofauti na media wanavyo ripoti.

Sijasema Trump wala nani kafanya maisha kuwa hivi au vile nimesema mfumo wa ubepari wa Marekani una umiza wananchi. Sijali Trump au Kamala kushinda lakini mfumo wa ubepari ndio unao waumiza watu huku.
 
Siasa za Marekani huzijui, unabumbabumba kwa kuziangalia mtandaoni.

Sisi raia wa Marekani tunaopiga kura huku na kuziishi hizi siasa kila siku tunajua Trump anazuga watu kwa huu ujinga kwa kujua anaenda kuangukia pua mid term elections.

Do you even know what that is?

Hujui maumivu ya watu kuhusu the cost of living, kuhusu the price of gas. Hujui maumivu ya watu waliomchagua asiingize US kwenye vita, halafu akaenda kuii giza vitani Iran.

Huishi huku, unabumbabumba kurukia mambo ya siasa za watu mitandaoni tu.
Ni kama wewe mmarekani unavyorukia siasa za Tanzania, uje uishi.
 
Tanzania nimezaliwa, kitovu changu kimezikwa huko, nina makazi, nina biashara, nina connection kubwa sana ya kifamilia, nasomesha watu huko, nalipa kodi huko, nimeanza kutembea corridor za Ikulu yake tangu nikiwa tumboni mwa mama yangu.

You are comparing apples to oranges.

Huyu hata harufu ya Marekani haijui.

Logical non sequitur fallacy.
 
Dah!!!
Inaitwa wilful ignorance. Ungejaribu kupata habari kwa upana zaidi badala ya kung'ang'ania hadithi za kipuuzi za kubadilisha jinsia. Hebu fikiria kama msomi, ni kweli tatizo la nchi nzima yenye watu zaidi ya milioni 300 wana tatizo kubwa la ubadilishaji wa jinsia mpaka wakahitaji mkombozi!!
Tuache hilo. Historia ya ubaguzi wa Trump (jiridhisha kwa ku-google, ni rahisi sana) na unafikiri mtu akionekana na Tyson au Kanye West, maana yake sio mbaguzi. Tapeli lile linajua kwamba kwa kuonekana na watu kama hao, watu wasiotumia akili watadhani kuwa ni rafiki wa watu weusi.
-1973 Donald na baba yake walishtakiwa kwa kuwabagua watu weusi wakiwazuia wasipange kwanye apartment zao. Waliishia kwa kulipa
-1989 Donald alifanya kampeni dhidi ya Central Park 5, vijana weusi wanne na mmoja Mlatino. Alitaka wauawe. Miaka baadae, wakutwa hawana hatia baada ya DNA na mhusika kukiri. Donald ameendelea kushikilia walitakuwa kunyongwa.
-2011 alianzisha kampeni ya kudai Obama alizaliwa Kenya ni kwa nia ya kumwonesha hastahili kuwa raisi. Hii iliwalenga wabaguzi wenzie. Hakuna raisi yeyote mwingine ambaye amewahi kudaiwa atoe cheti chake cha kuzaliwa isipokuwa Obama. Na hata baada ya kutoa cheti chake, Trump alishikilia palepale.
-Alipoanza kampeni yake 2015 aliwaita Wamexico wahalifu na wabakaji.
-Tafuta pia mzozo kuhusu Casino na vita vyake dhidi ya watu wa asili wa Marekani 1993.
-Sijui kama umefuatilia serikali yake hasa ya sasa hivi, Watu weusi na wanawake wenye sifa wameondolea kwenye nafasi mbali mbali.
-Umemsikia kila siku akiwataja watu weusi kuwa ni low IQ na anawaambia 'go back to where you came from"
-1991 alituhumiwa kuzuia watu weusi katika casino zake kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa na mkuu wa casino O'Donnell
Kwa taarifu tu, ukiangalia news kwa uangalifu utaona ubaguzi wake si wa kujificha. Na watu wake wanafahamu vizuri hilo. Ndiyo maana utaona hata Januari 6 ilikuwa ni weupe ndiyo waliopanda na kuvamia congress. Unakumbuka ugumvi wakati wa uchaguzi wa 2020 aliitaja miji kadha kama Philadelphia, Atlanta, na Detroit. Alitaka kufuta matokeo ya miji hiyo. Miji hiyo ina wapiga kura wengi weusi.

.
Usipoteze muda wako na mshamba huyo mlugaluga anaekaa mikoani huko
Hajawahi hata kufika Burundi achilia nchi za wazungu
anaokotaokota upupu mitandaoni aonekane anajua na hata kama mitandao inataarifa sahihi au za uogo, hana akili wala upeo wa kuchanganua
 
Hata huko America kwenyewe dilema hiyo ipo, unaweza ukawepo usielewe wenyewe wanakwendaje ukamezwa na taarifa uchwara za mtandaoni, na matukio ya hapa na pale.

Trump anapendwa na wengi, japo wapo wachache wanaoburuzwa na propaganda za mitandao, issue ya muhimu kujua geopolitics kwa kina inaweza kukusaidia kupata hints za misimamo ya viongozi, bond zao na wananchi, trends za dunia kwa ujumla. Tukiolengelea takwimu na numbers, Donald Trump huyu kwa Mfano wa "Kuasi" Mfumo, Mwaka 2016, aliingia kwenye siasa kama mtu wa nje (outsider) ambaye hakutakiwa na viongozi wakuu wa chama cha Republican (Establishment). Hata hivyo, kura za wananchi wa kawaida kwenye primaries ziliwalazimisha viongozi wa chama kumkubali. Ushindi wake wa mwaka 2016, na hata ushindi wake katika uchaguzi wa Novemba 2024 (ambapo alipata kura 312 za Electoral College dhidi ya 226 za Harris, na pia kushinda Popular Vote kwa takribani 49.8%) unaonyesha kuwa wananchi bado wana uwezo wa kupindua matamanio ya mifumo ya vyama, almost mara tatu, maana hata ya pili walimuibia kura.

Usikubali kuendeshwa na mifumo ya vyama yenye mass media kubwa na propaganda zilizoegemea mlengo mmoja, ambao mara nyingi humulika petty issues na kufukia golden achievements zisije kuonekana..
Tatizo hauishi US halafu unajadili siasa za US kama unaishi nao kwa kutegemea taarifa zinazoendeshwa na algorithm
Unapomuona mtangazaji wa BBC au Aljazeera anaongelea siasa za US, ni kwa maana ni mkazi wa huko na hatafuti taarifa mitandaoni bali anayaishi maisha ya US, ndio maana media kubwa zinapeleka wawakilishi wao kuishi huko.
Kuongelea taarifa za uchaguzi wa 2016, kwenye matokeo ya 2024 ni dhahiri hujui kinachoendelea kwenye siasa za US,
Tusubiri tarehe 3 November, ili ujue jinsi wamarekani walivyochafukwa na huyo mwehu
 
Hakuna sehemu nimesema Africa ni nchi

Nimesema kwani ni uongo Africa sio ahi

Hakuna sehemu nimesema Africa ni nchi

Nimesema kwani ni uongo Africa sio shithole ??

Angalia Kila nchi na yanayoendelea halafu tuamue kusema ni kweli Africa ni shit au sio shit
Africa is a diverse continent.

Your superfluous generalization is ignorant, simplistic, self hating and manipulated.
 
Kuna Waafrika wengi wanapenda udikteta.

Wanaoenda show za kibabe zosizo na mantiki wala tija. Yani ile show tu wao wanafurahi, bila kijaki matiki wala tija.

Ndiyo maana unaona viongizi wengi hata wa kiraia Afrika wanapenda kuvaa magwanda ya kijeshi, wakati wenzetu wanajua maana ya "civikian control of the military". Kionhozi wa kiraia anaogopa kuonekana kavaa kijeshi, italeta muonekano wa kuendesha nchi kijeshi, kitu kibaya.

Na Trump ni dikteta.

Kwa hivyo naelewa sana Waafrika wengi wanavyomshabikia Trump.

Ni sawa na walivyomshabikia Magufuli, wanavyomshabikia Ibrahim Traore.

Ni watu wanaopenda kupigwa mijeledi kijeshijeshi.

Kutukanwa tukanwa.

Ni watu fulani ambao wapo kama ng'ombeng'omne hivi, wengine wameshakubali kuwa hao madikteta ndio viongozi wanaowafaa, kwa sababu hawawezi kwenda bila mijeledi ya udikteta.

Kwa hiho, Waafrika wengine wakimshabikia Trump nawaelewa kabisa.

Sio wote sema Waafrika ambao hawana akili timamu
 
Back
Top Bottom