Trump: New Mexico should immediately change its name to New America

Trump: New Mexico should immediately change its name to New America

Una tabia ya kulazimisha mambo na kuyaunganisha kwa logical non sequitur fallacy. All over.

Tabia ya mtu mshenzimshenzi ambaye hawezi kujadili hoja anajadili watu kwa ad hominem fallacy.

Tabia ya mtu asiyeweza kujadili hoja kwa kuiangalia hoja in the abstract anafanya identity politics.

Ndiyo maana unaanza mashambulizi ya identity politics za "wewe ni Democrat aliyechukia Trump alipobana mambo ya watoto kubadilishwa jinsia...".

Nikikuambia unipe bandiko langu moja ku support uzushi huu, huwezi. Unazusha tu.

Trump kakuchota kwa identity politics.

Huna qualifications za kuongelea siasa za Marekani na mimi.

Mimi ni raia wa Marekani, mpiga kura wa Marekani, mlipa kodi wa Marekani, mmiliki nyumba na biashara Marekani, nazielewa siasa za Marekani.

Wewe hata kupata visa ya Marekani huwezi, hata Kiingereza hujui, mwisho wako wa kuongelea siasa za Marekani ni na sisi Wamarekani wenye asili ya Tanzania tunaoongea Kiswahili hapa JF.

Huna impact kwenye siasa za Marekani. Ukiondoa sisi Wamarekani Waswahili Marekani hakuna anayekujua. Huzielewi figisu za Marekani. Huelewi hata the basics. Huna decorum. Huelewi identity politics ni nini, huelewi "What's The Matter With Kansas" ni nini, si ajabu hujui hata Kansas ni nini.

Unaparatia tu siasa za nchi za watu.

Sina muda wa kupoteza kujadiliana nawe siasa za Marekani, kwa sababu hujafikisha viwango vya kuijadili.

Mimi nimeshalipa kodi, nimepiga kura, naishi Marekani, ninaijua siasa ya Marekani kwa uhalisia wake, si kwa kuisoma mitandaoni.

Sitaki kujidogosha kubishana siasa za Marekani na mtu ambaye hawezi hata kupata visa ya kuingia Marekani.

Kama nataka kubishana na mjinga, angalau basi awe mjinga aliyefikisha viwango vya kubishana.

Wewe ni mjinga ambaye hata viwango vya kubishana na mimi kuhusu siasa za Marekani hujafikisha.

You are a pest.

Nakupeleka ignore list usinisumbue, kuanzia hapa sitaona unachoandika.

Swali ,marekani walikosea kumchagua trump ? Au Bora yule mwana mama ( Camala harris . Nijibuni alafu niulize swali la msingi
 
Swali ,marekani walikosea kumchagua trump ? Au Bora yule mwana mama ( Camala harris . Nijibuni alafu niulize swali la msingi
Kwanza kukosea mana yake nini?

Mtu kutumia haki yake ya kikatiba na kibinadamu kuchagua uongozi anaoutaka, kama kachagua kweli, unaposema kakosea, unamaanisha nini?

Yani mtu anapoamua kuvuta sigara, hata kama sigara ina madhara kwake, unasemaje kakosea, kama kaamua mwenyewe kuvuta sigara?

Pengine wewe unaona kakosea kwa sababu unajali afya, unataka uishi maisha marefu, mwenzako hajali afya, anajali kufurahia maisha hata kama ataishi mafupi, anaona maisha marefu ya kukatazwa asifanye anachotaka hata urefu wake hauna maana.

Sasa hapo utasema mtu aliyeamua kuvuta sigara kakosea, kwa sababu sigara ina madhara kwa afya, kwa sababubwewe unathamininsana afya? Kakosea kwa kipimo cha nani?

Na Wamarekani si wamoja, Trump hajapata kura zote, sasa unasemaje Wamarekani hibi au bile kwa sababu ya kumchagua Trump, wakati wengi tu hawajamchagua, na siasa zao hata mtu hahitaji kuchaguliwa na wengi ili kuwa rais. Kuna Electoral College.Mara ya kwanza Trump kuchaguliwa hakushinda popular vote. Alishinda Electoral College. Unajua tofauti?

Sasa hapo unapouliza "Marekani walikosea" una maana gani?

Na chaguzi za kisiasa si chaguzi kweli, ni vhaguzi za uongo.

Watu hawawapigii kura wagombea wanaowataka, wanawapigia kura wagombea wanaopewa na byama vya siasa.

Sasa unakoseaje au kupatia kuchagua wakati uchaguzi wenyewe ushapangiwa cha kuchagua?

Yani huo uchaguzi wenyewe ushachaguliwa cha kuchagua, si uchaguzi kihiivyo kama unavyotaka kutuaminisha.

Kwa hiyo swali libadilike kuwa, je, katika chaguzi za siasa za kupangiwa wagombea na vyama vya siasa, kuna uchaguzi wa kweli au ni maigizo tu ya uchaguzi?
 
Wewe ni Demo uliechukia Trump alipobana mambo ya watoto kubadilishwa jinsia, unapenda wanaume waliobadili jinsia kucheza michezo ya watoto wa kike, labda hata wewe ulikuwa na mpango uingie masumbwi ya wanawake upige pesa 😂

Trump kaanza kuonekana mbaguzi alipohamia Repbulicans, Media za Democrats zikaanza kuweka picha hio vichwani mwenu, Trump alishakuwa besti wa Mablaki akiwemo Michael Tyson na alimtetea kipindi anafugwa jela na hata hapo juzi Tyson alikuwa anapiga naye doria basi Democrts iliwauma sana mkaanza kumuita Tyson ni SELLOUT kama kawida yenu.

Trump ndio dawa yenu mnaopenda pesa kitonga za kubadili jinsia na kushiriki michezo ya kike
Dah!!!
Inaitwa wilful ignorance. Ungejaribu kupata habari kwa upana zaidi badala ya kung'ang'ania hadithi za kipuuzi za kubadilisha jinsia. Hebu fikiria kama msomi, ni kweli tatizo la nchi nzima yenye watu zaidi ya milioni 300 wana tatizo kubwa la ubadilishaji wa jinsia mpaka wakahitaji mkombozi!!
Tuache hilo. Historia ya ubaguzi wa Trump (jiridhisha kwa ku-google, ni rahisi sana) na unafikiri mtu akionekana na Tyson au Kanye West, maana yake sio mbaguzi. Tapeli lile linajua kwamba kwa kuonekana na watu kama hao, watu wasiotumia akili watadhani kuwa ni rafiki wa watu weusi.
-1973 Donald na baba yake walishtakiwa kwa kuwabagua watu weusi wakiwazuia wasipange kwanye apartment zao. Waliishia kwa kulipa
-1989 Donald alifanya kampeni dhidi ya Central Park 5, vijana weusi wanne na mmoja Mlatino. Alitaka wauawe. Miaka baadae, wakutwa hawana hatia baada ya DNA na mhusika kukiri. Donald ameendelea kushikilia walitakuwa kunyongwa.
-2011 alianzisha kampeni ya kudai Obama alizaliwa Kenya ni kwa nia ya kumwonesha hastahili kuwa raisi. Hii iliwalenga wabaguzi wenzie. Hakuna raisi yeyote mwingine ambaye amewahi kudaiwa atoe cheti chake cha kuzaliwa isipokuwa Obama. Na hata baada ya kutoa cheti chake, Trump alishikilia palepale.
-Alipoanza kampeni yake 2015 aliwaita Wamexico wahalifu na wabakaji.
-Tafuta pia mzozo kuhusu Casino na vita vyake dhidi ya watu wa asili wa Marekani 1993.
-Sijui kama umefuatilia serikali yake hasa ya sasa hivi, Watu weusi na wanawake wenye sifa wameondolea kwenye nafasi mbali mbali.
-Umemsikia kila siku akiwataja watu weusi kuwa ni low IQ na anawaambia 'go back to where you came from"
-1991 alituhumiwa kuzuia watu weusi katika casino zake kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa na mkuu wa casino O'Donnell
Kwa taarifu tu, ukiangalia news kwa uangalifu utaona ubaguzi wake si wa kujificha. Na watu wake wanafahamu vizuri hilo. Ndiyo maana utaona hata Januari 6 ilikuwa ni weupe ndiyo waliopanda na kuvamia congress. Unakumbuka ugumvi wakati wa uchaguzi wa 2020 aliitaja miji kadha kama Philadelphia, Atlanta, na Detroit. Alitaka kufuta matokeo ya miji hiyo. Miji hiyo ina wapiga kura wengi weusi.

.
 
Kwanza kukosea mana yake nini?

Mtu kutumia haki yake ya kikatiba na kibinadamu kuchagua uongozi anaoutaka, kama kachagua kweli, unaposema kakosea, unamaanisha nini?

Yani mtu anapoamua kuvuta sigara, hata kama sigara ina madhara kwake, unasemaje kakosea, kama kaamua mwenyewe kuvuta sigara?

Pengine wewe unaona kakosea kwa sababu unajali afya, unataka uishi maisha marefu, mwenzako hajali afya, anajali kufurahia maisha hata kama ataishi mafupi, anaona maisha marefu ya kukatazwa asifanye anachotaka hata urefu wake hauna maana.

Sasa hapo utasema mtu aliyeamua kuvuta sigara kakosea, kwa sababu sigara ina madhara kwa afya, kwa sababubwewe unathamininsana afya? Kakosea kwa kipimo cha nani?

Na Wamarekani si wamoja, Trump hajapata kura zote, sasa unasemaje Wamarekani hibi au bile kwa sababu ya kumchagua Trump, wakati wengi tu hawajamchagua, na siasa zao hata mtu hahitaji kuchaguliwa na wengi ili kuwa rais. Kuna Electoral College.Mara ya kwanza Trump kuchaguliwa hakushinda popular vote. Alishinda Electoral College. Unajua tofauti?

Sasa hapo unapouliza "Marekani walikosea" una maana gani?

Na chaguzi za kisiasa si chaguzi kweli, ni vhaguzi za uongo.

Watu hawawapigii kura wagombea wanaowataka, wanawapigia kura wagombea wanaopewa na byama vya siasa.

Sasa unakoseaje au kupatia kuchagua wakati uchaguzi wenyewe ushapangiwa cha kuchagua?

Yani huo uchaguzi wenyewe ushachaguliwa cha kuchagua, si uchaguzi kihiivyo kama unavyotaka kutuaminisha.

Kwa hiyo swali libadilike kuwa, je, katika chaguzi za siasa za kupangiwa wagombea na vyama vya siasa, kuna uchaguzi wa kweli au ni maigizo tu ya uchaguzi?
Kwanza kukosea mana yake nini?

Mtu kutumia haki yake ya kikatiba na kibinadamu kuchagua uongozi anaoutaka, kama kachagua kweli, unaposema kakosea, unamaanisha nini?

Yani mtu anapoamua kuvuta sigara, hata kama sigara ina madhara kwake, unasemaje kakosea, kama kaamua mwenyewe kuvuta sigara?

Pengine wewe unaona kakosea kwa sababu unajali afya, unataka uishi maisha marefu, mwenzako hajali afya, anajali kufurahia maisha hata kama ataishi mafupi, anaona maisha marefu ya kukatazwa asifanye anachotaka hata urefu wake hauna maana.

Sasa hapo utasema mtu aliyeamua kuvuta sigara kakosea, kwa sababu sigara ina madhara kwa afya, kwa sababubwewe unathamininsana afya? Kakosea kwa kipimo cha nani?

Na Wamarekani si wamoja, Trump hajapata kura zote, sasa unasemaje Wamarekani hibi au bile kwa sababu ya kumchagua Trump, wakati wengi tu hawajamchagua, na siasa zao hata mtu hahitaji kuchaguliwa na wengi ili kuwa rais. Kuna Electoral College.Mara ya kwanza Trump kuchaguliwa hakushinda popular vote. Alishinda Electoral College. Unajua tofauti?

Sasa hapo unapouliza "Marekani walikosea" una maana gani?

Na chaguzi za kisiasa si chaguzi kweli, ni vhaguzi za uongo.

Watu hawawapigii kura wagombea wanaowataka, wanawapigia kura wagombea wanaopewa na byama vya siasa.

Sasa unakoseaje au kupatia kuchagua wakati uchaguzi wenyewe ushapangiwa cha kuchagua?

Yani huo uchaguzi wenyewe ushachaguliwa cha kuchagua, si uchaguzi kihiivyo kama unavyotaka kutuaminisha.

Kwa hiyo swali libadilike kuwa, je, katika chaguzi za siasa za kupangiwa wagombea na vyama vya siasa, kuna uchaguzi wa kweli au ni maigizo tu ya uchaguzi?

Marekani ilipo sasa, na mizozo ya kidpromasia? kati ya kamala Harris na trump ni nani angekuwaa na unafuu katka dipromasia kimataifa na ndani ya nchi ??

Kuna kitu nataka nipate concept alafu niulize swali.
 
Kiranga, unaniangusha, mkuu. Mambo ya dunia ya leo kiganjani tu; sio lazima uwe tz ndio ujue Lisu yupo ndani. Sio lazima ufike Rwanda kujua Kagame anawashughulikia wapinzani hata walio uhamishoni. Sio lazima ufike au uishi Russia ndio ujue drones za Ukraine ni changamoto. sana sana unatupa fursa ya ku-assume kuwa pengine mwenzetu huko unabeba box au somehow how, you were benefiting from the human trafficking industry, sio bure. Kama ambavyo wamarekani wanaweza ziongelea siasa zetu, we also have all due rights to comment on what we think.
Mimi naona Kiranga yupo sawa jirani huwezi kuzijua siri zote za familia hata dirisha lake ligandane na nyumba yenu. Yanayo andikwa mtandaoni tofauti na uhalisia unao endele.

Mimi uono wangu vyama na Serikali ya Marekani imeongeza ubepari kwa raia wake. Kwanini nikasema hivyo.

1) Mwaka 2000 petrol ilikuwa $1.09 leo hii over $4.10
2) Apartments 2beds rent $300 sasa $1000+
3) Mkopo 2% sasa over 12.28% na mortgage loan kutoka 2.5% hadi 7.5%.
 
Marekani ilipo sasa, na mizozo ya kidpromasia? kati ya kamala Harris na trump ni nani angekuwaa na unafuu katka dipromasia kimataifa na ndani ya nchi ??

Kuna kitu nataka nipate concept alafu niulize swali.
Marekani haiendeshwi kisiasa ina endeshwa kimfumo, kwangu mimi hata Kamala Harris ange kwenda kimfumo tu. Nimesema kimfumo maana yake Republican na Democratic ni vyama tofauti ila mfumo wa kibepari na kiutawala ni huo huo mmoja tu.
 
Marekani ilipo sasa, na mizozo ya kidpromasia? kati ya kamala Harris na trump ni nani angekuwaa na unafuu katka dipromasia kimataifa na ndani ya nchi ??

Kuna kitu nataka nipate concept alafu niulize swali.
Kwanza kwa nini uchaguzi uwe kati ya Kamala Harris na Trump tu?

Marekani ina mamilioni ya watu, kwa nini uchaguzi uwe kati ya hao wawili?

Kuna wengine wanaona hao wawili wote wana madhaifu mengi, na kuna wengine wengi ambao pengine wangeweza kufanya vizuri zaidi ya hao.

Sasa, kwa nini uchaguzi uwe kati ya hao wawili?
 
Mimi naona Kiranga yupo sawa jirani huwezi kuzijua siri zote za familia hata dirisha lake ligandane na nyumba yenu. Yanayo andikwa mtandaoni tofauti na uhalisia unao endele.

Mimi uono wangu vyama na Serikali ya Marekani imeongeza ubepari kwa raia wake. Kwanini nikasema hivyo.

1) Mwaka 2000 petrol ilikuwa $1.09 leo hii over $4.10
2) Apartments 2beds rent $300 sasa $1000+
3) Mkopo 2% sasa over 12.28% na mortgage loan kutoka 2.5% hadi 7.5%.

Naam.

Ujue kuna maongezi ya kimantiki ya aina mbili tunaweza kufanya hapa JF.

1. Applied philosophy, realpolitik, maongezi ya meat and butter issues.
2. Abstract issues, pure philosophy, ethics, what is right vs wrong, rule based international relations etc.

Mara nyingine yanaingiliana.

Yale ya kwanza kwa siasa za Marekani mtu asiyeishi Marekani, kwa siasa za Marekani, anaweza kuongelea lakini anahitaji kuwa smart sana, na mara nyingi hata mtu smart akiyaongelea si kama mtu anayeishi Marekani. Atayaongelea kwa kusoma articles na kuangalia documentary, tofauti na mtu anayeishi uhalisia wa nchi hiyo ambaye ana u face muda wote kila siku akienda kununua chakula anaona bei zinavyokwenda.

Haya ya pili mtu yeyote anaweza kuyaongelea vizuri bila kijali sana yuko wapi, provided ana uelewa mkubwa, hana an overly ideological agenda, hana blinding identity politics.

Tena wengine wanaweza kuyaongelea vizuri zaidi wakiwa nje. Lakini regardless, kuna akili fulani inahitajika kuweza kuchambua mambo kwa kina.

Sasa mtu ambaye Marekani haishi, siasa zake hazijui, akili ya kuchambua mambo kwa kina hana, anabumbabumba tu, hata huku kwenye abstract thinking hawezi, anashambulia watu kwa uzushi wa non sequitur fallacy na ad hominem za identity politics, huyo ni mtu ambaye hajafikisha basic qualifications za kufanya maongezi ya kimantiki.

Ataleta ushabiki.

I am not intersted in that.

Halafu kibaya zaidi, mimi sina matatizo na mtu mjinga, mjinga anaeleweshwa tu anaelewa.

Sina matatizo na mtu mbishi, inawezekana mtu akawa mbishi ana sababu nzuri za kuwa mbishi, ana uelewa mpana, wewe ndiye hujaelewa anachobisha, ukajifunza kwake.

Mimi nina tatizo na mtu mjinga ambaye pia ni mbishi. Mjinga mbishi sina muda wa kupoteza naye.

Kwa sababu ni mjinga, hana cha kunifundisha, halafu ni mbishi, hafundishiki.

So what is the point of engaging him?

There is no point.

Ndiyo maana nikampeleka ignore list.
 
Trumo kaahidi kuimaliza hiyo inflation unayoisema ya Biden, lqkini kaifumua upya, tena kwa makusudi bika sababu ya muhimu kinyume na ahadi zake kwamba hataanzisha vita, kwa kuanzisha vita na Iran.

Mpaka wapiga kura wake waliompigia kura kwa kuwa atamaliza vita wanamshangaa.
Hao MAGA walioasi kina Tucker Carlson hawana nguvu za kumfanya Trump ashindwe.
 
Huyu jamaa namkubali sana. Angetawala nchi yetu ingekuwa mbali kila nyanja.
Kuna Waafrika wengi wanapenda udikteta.

Wanaoenda show za kibabe zosizo na mantiki wala tija. Yani ile show tu wao wanafurahi, bila kijaki matiki wala tija.

Ndiyo maana unaona viongizi wengi hata wa kiraia Afrika wanapenda kuvaa magwanda ya kijeshi, wakati wenzetu wanajua maana ya "civikian control of the military". Kionhozi wa kiraia anaogopa kuonekana kavaa kijeshi, italeta muonekano wa kuendesha nchi kijeshi, kitu kibaya.

Na Trump ni dikteta.

Kwa hivyo naelewa sana Waafrika wengi wanavyomshabikia Trump.

Ni sawa na walivyomshabikia Magufuli, wanavyomshabikia Ibrahim Traore.

Ni watu wanaopenda kupigwa mijeledi kijeshijeshi.

Kutukanwa tukanwa.

Ni watu fulani ambao wapo kama ng'ombeng'omne hivi, wengine wameshakubali kuwa hao madikteta ndio viongozi wanaowafaa, kwa sababu hawawezi kwenda bila mijeledi ya udikteta.

Kwa hiho, Waafrika wengine wakimshabikia Trump nawaelewa kabisa.
 
You mean chuma hicho kinara wa wabakaji waliotajwa katika Epstein files?
You mean chuma hicho kilichowatoa Walatino wanaofanya kazi katika mashamba na katika sekta ya ujenzi ambako sasa hakuna wafanyakazi na kusababisha hasara kubwa huko?
You mean, chuma kilichoanza vita vya Iran kwa kushinikizwa na Netapanya?
You mean chuma hicho kilichoweka ushuru (tarrifs) kwa nchi zote mpaka hata visiwa ambayo vina penguins tu na kusababisha kila kitu kupanda bei?
You mean chuma hicho ambacho kilikuwa kinadai "sleeping Joe" na chenyewe sasa kinalala hovyo na huku kinajamba bila kujifahamu?
You mean chuma ambacho kinawakebehi vilema?
You mean chuma ambacho baraza lake la mawaziri ni vilaza wa kutupa wengine analazimika kuwafukuza baada ya kufanya kazi muda mfupi sana?
You mean chuma kilochoanzisha chuo kikuu feki akalazimika kulipa milioni 25 kuzima kesi?
You mean chuma ambacho bado kinang'ang'ania kwamba kilishinda uchaguzi wa 2020 baada ya kesi zaidi ya 60 zote zikitupiliwa mbali baada ya kukosa ushahidi?
Huwa nina mashaka sana na watu wanaomstaajabia huyu bwana.
Punguza kuangalia chuplichupli News Networks, Ever Since kabadili chama wanamuandama lakini kabla ya hapo hizo kelele hazikuwepo

Donald Trump, the most loved American President hata Maniga wengi wameanza kumkubali kuongoa ujinga wa democrats, ni ujinga kuruhusu wanaume kubadili jinsia na kushiriki michezo ya kike, ni ujinga kuruhusu wahamiaji wasio na vibali milioni 20 kuingia Marekani kutumia kodi wanazokatwa Marekani, Ni ujinga kuruhusu watoto kubadli jinsia hata bila ridhaa ya wazazi, Ni ujinga kuruhusu magenge ya kuvusha watu kuingiza wahamaji bila bivali huku wao wakiwatoza milioni 10 kila kichwa na wasio na pesa kuifidia kwenye uhalifu,

Sleepy Joe alikuwa anapenda sana kulala, alitoa msamaha kwa mtoto wake asiende kufungwa Jela,

Naam.

Ujue kuna maongezi ya kimantiki ya aina mbili tunaweza kufanya hapa JF.

1. Applied philosophy, realpolitik, maongezi ya meat and butter issues.
2. Abstract issues, pure philosophy, ethics, what is right vs wrong, rule based international relations etc.

Mara nyingine yanaingiliana.

Yale ya kwanza kwa siasa za Marekani mtu asiyeishi Marekani, kwa siasa za Marekani, anaweza kuongelea lakini anahitaji kuwa smart sana, na mara nyingi hata mtu smart akiyaongelea si kama mtu anayeishi Marekani. Atayaongelea kwa kusoma articles na kuangalia documentary, tofauti na mtu anayeishi ihakisia wa nchi hiyo ambaye ana u face muda wote kika siku akienda kununua vhakula anaona bei zinavyokwenda.

Haya ya pili mtu yeyote anaweza kuyaongelea vizuri bila kijali sana yuko wapi, provided ana uelewa mkubwa, hana an overly ideological agenda, hana blinding identity politics.

Tena wengine wanaweza kuyaongelea vizuri zaidi wakiwa nje. Lakini regardless, kuna akili gulani inahitajika kuweza kuchambua mambo kwa kina.

Sasa mtu ambaye Marekani haishi, siasa zake hazijui, akili ya kuchambua mambo kwa kina hana, anabumbabumba mtu, hata huku kwenye abstract thinking hawezi, anashambulia watu kwa uzushi wa non sequitur fallacy na ad hominem za identity politics, huyo ni mtu ambaye hajafikisha basic qualifications za kufanya maongezi ya kimantiki.

Ataleta ushabiki.

I am not intersted in that.

Halafu kibaya zaidi, mimi sina matatizo na mtu mjinga, mjinga anaeleweshwa tu anaelewa.

Sina matatizo na mtu mbishi, inawezekana mtu akawa mbishi ana sababu nzuri za kuwa mbishi, ana uelewa mpana, wewe ndiye hujaelewa anachobisha, ukajifunza kwake.

Mimi nina tatizo na mtu mjinga ambaye lia ni mbishi. Mjinga mbishi sina muda wa kupoteza naye.

Kwa sababu ni mjinga, hana cha kunifundisha, halafu ni mbishi, hafundishiki.

So what is the point of engaging him?

There is no point.

Ndiyo maana nikampeleka ignore list.
Tatizo kubwa lilipo kwetu sisi watanzania wengi ni wajuaji yaani kama ulipo muuliza jamaa umewahi ishi US hakujibu. Kuna mambo mpaka uishi sehemu ndio ujuwe uhalisia wake.

Huyu jamaa yeye mchambuzi ila uchambuzi wake haujui kwa kina halisi.
 
The best ever President wa kina Kiranga 😂

Na hii ni episode moja tu kuna series

Tatizo kubwa lilipo kwetu sisi watanzania wengi ni wajuaji yaani kama ulipo muuliza jamaa umewahi ishi US hakujibu. Kuna mambo mpaka uishi sehemu ndio ujuwe uhalisia wake.

Huyu jamaa yeye mchambuzi ila uchambuzi wake haujui kwa kina halisi.
Mkuu,

Hili suala hata mimi limeshanikuta. Mimi ni mdadisi wa kutaka kujua siasa za nchi nyingi. Hivi sasa nafuatilia uchaguzi wa Brazil kati ya Lula na Bolsonaro mtoto. Raundi ya pili itakuwaje? Ndiyo maana siwezi kukataa moja kwa moja nikasema kwamba mtu hawezi kufuatilia na kuchambua siasa za nchi fulani mpaka aishi hapo.

Ila, kuna tofauti kubwa kufuatilia nusunusu kutoka nje, nchi ambayo hata sijafika, na kufuatilia immersively kuishi katika mfumo huo kama raia.

Ndiyo maana leo akija Mtanzania mwenye uraia wa Brazil kuongelea uchaguzi wa Brazil hapa, mimi nitataka kujifunza zaidi kutoka kwake kama mtu anayeishi kule. As long as the person is knowledgeable and reasonable, Sitapenda kuwa mjuaji kuliko yeye.

Kuna wakati mwaka jana kabla ya uchaguzi wa Tanzania, nilikuwa nafuatilia sana sera za nchi za Ulaya kuhusu Tanzania, wanasemaje, uchaguzi wetu wanauonaje, mambo ya misaada yatakuwaje. Mahusiano ya kidiplomasia yatakuwaje. Siasa za far right kuchipukia zinaendaje. Nilifuatilia sana Sweden na Denmark. Mpaka nikawa natumia Google ku tafsiri makala zilizoandikwa katika lugha zao tu ambazo hazipo katika Kiingereza.

Kuna kitu nilipata. Niliona walivyolalamika kuwa misaada inapotea tu bila cha kuonesha, wakitaka kukata misaada. Kwa hivyo sikutoka mtupu.

Halafu nikaja kuongea na Watanzania wawili wenye uraia huko, mmoja Profesa Denmark, mwingine ni dada wa kawaida tu, si mtu political sana, ila ana ufuatiliaji wa average tu.

Nilijifunza mengi sana kwa hawa watu. Yule Profesa nilitegemea ajue mengi kwa sababu ni Profesa wa Chuo, ila hata huyu dada mtu average tu alinifundisha mengi aliyoyapata kutokana na kuishi Sweden kila siku, mambo ya siasa zao, vyama vyao, mabadiliko aliyoyaona tangu anakwenda mpaka miaka ya karibuni.

Kuna mambo mengi ambayo kuyajua kwa kufuatilia nje tu nisingeyajua.

Of course Marekani inaandikwa sana, na inaandikwa Kiingereza, na haya ndiyo mambo yanayowapa watu illusion ya kujiona wanazijua siasa za Marekani kuliko uhalisia.

Halafu ukizama kwenye mambo deep humo, unakuta wamechotwa na misinformation campaigns na identity politics wars za Twitter tu, hawana depth ya kubishana na mtu aliyeishi Marekani kwa takriban miaka 30 sasa.
 
Mkuu,

Hili suala hata mimi limeshanikuta. Mimi ni mdadisi wa kutaka kujua siasa za nchi nyingi. Hivi sasa nafuatilia uchaguzi wa Brazil kati ya Lula na Bolsonaro mtoto. Raundi ya pili itakuwaje? Ndiyo maana siwezi kukataa moja kwa moja nikasema kwamba mtu hawezi kufuatilia na kuchambia siasa za nchi fulani mpaka aishi hapo.

Ila, kuna tofauti kubwa kufuatilia nusunusu kutoka nje, nchi ambayo hata sijafika, na kufuatilia immersively kuishi katika mfumo huo kama raia.

Ndiyo maana leo akija Mtanzania mwenye uraia wa Brazil kuongelea uchaguzi wa Brazil hapa, mimi nitataka kujifunza zaidi kutoka kwake kama mtu anayeishi kule. As long as the person is knowledgeable and reasonable, Sitapenda kuwa mjuaji kuliko yeye.

Kuna wakati mwaka jana kabla ya uchaguzi wa Tanzania, nilikuwa nafuatilia sana sera za nchi za Ulaya kuhusu Tanzania, wanasemaje, uchaguzi wetu wanauonaje, mambo ya misaada yatakuwaje. Mahusiano ya kidiplomasia yatakuwaje. Siasa za far right kuchipukia zinaendaje. Nilifuatilia sana Sweden na Denmark. Mpaka nikawa natumia Google ku tafsiri makala zilizoandikwa katika lugha zao tu ambazo hazipo katika Kiingereza.

Kuna kitu nilipata. Nikiona walivuolalamika kuwa misaada inapotea tu bila cha kuonesha, wakitaka kukata misaada. Kwa hivyo sikutoka mtupu.

Halafu nikaja kuongea na Watanzania wawili wenye uraia huko, mmoja Profesa Denmark, mwingine ni dada wa kawaida tu, si mtu political sana, ila ana ufuatiliaji wa average tu.

Nilijifunza mengi sana kwa hawa watu. Yule Profesa nilitegemea ajue mengi kwa sababu ni Profesa wa Chuo, ila hata huyu dada mtu average tu alinifundisha mengi aliyoyapata kutokana na kuishi Sweden kila siku, mambo ya siasa zao, vyama vyao, mabadiliko aliyoyaona tangu anakwenda mpaka miaka ya karibuni.

Kuna mambo mengi ambayo kuyajua kwa kufuatilia nje tu nisingeyajua.

Of course Marekani inaandikwa sana, na inaandikwa Kiingereza, na haya ndiyo mambo yanayowapa watu illussion ya kujiona wanazijua siasa za Marekani kuliko uhalisia.

Halafu ukizama kwenye mambo deep humo, unakuta wamechotwa na misinformation campaigns na identity politics wars za Twitter tu, hawana depth ya kubishana na mtu aliyeishi Marekani kwa takriban miaka 30 sasa.
Nimekuelewa sana ndugu ndio maana niliposoma comment yako kutoka kwa mkata uzi ndio nilisema watanzania wengi wajuaji.

Mimi nimeishi US lakini kuna watanzania wananibishia kama washafika US. Nimefika Canada,Europe,middle east na China. Lakini watanzania ukiongea nae anajifanya mjuaji kama kishafika.

Nje ya mada kuna siku alipita Mwanamke mnene kuna mwana akanambia unaona toto la kizungu hilo. Nilibaki nacheka ila kuna mwana pembeni alimjibu kuwa mbona huyo ametoka kuishi huko walipo hao. Pia kuna siku nimetoka out na Ndugu wanataka nipeleka KFC pale mitaa ya fire nikasema nipelekeni kwengine mimi silagi kwa mamantilie wa fast food hio.🤣

Hata Europe pale Rotterdam jamaa alitaka nipeleka McD’s nilibaki kucheka tu. Nikaishia kula kwa wa Morocco tu.
 
Punguza kuangalia chuplichupli News Networks, Ever Since kabadili chama wanamuandama lakini kabla ya hapo hizo kelele hazikuwepo

Donald Trump, the most loved American President hata Maniga wengi wameanza kumkubali kuongoa ujinga wa democrats, ni ujinga kuruhusu wanaume kubadili jinsia na kushiriki michezo ya kike, ni ujinga kuruhusu wahamiaji wasio na vibali milioni 20 kuingia Marekani kutumia kodi wanazokatwa Marekani, Ni ujinga kuruhusu watoto kubadli jinsia hata bila ridhaa ya wazazi, Ni ujinga kuruhusu magenge ya kuvusha watu kuingiza wahamaji bila bivali huku wao wakiwatoza milioni 10 kila kichwa na wasio na pesa kuifidia kwenye uhalifu,

Sleepy Joe alikuwa anapenda sana kulala, alitoa msamaha kwa mtoto wake asiende kufungwa Jela,

View attachment 3695514

View attachment 3695519

Why would you assume naangalia hiyo network? I don't. Nina multiple sources which do not include the network unayoitaja. Jibu hoja siyo kufanya unfounded assumptions.
Mashabiki wake wengi wa hapa Bongo ni watu ambao wanajikita katika jambo moja tu hata kama halina msingi au hoja ya nguvu. Kwa mfano, mtu anashikilia juu ya "ujinga wa kubadili jinsia". Nimetoka Marekani hivi karibuni, wala sijapata kusikia watu kweli wakigomba au kuhangaika na jambo hili. Ni suala la kuwatia mihemuko watu wasiofikiri sana. Watu wa namna hii hawafikirii tena matatizo ya bima ya afya, vita vinavyoleta maafa makubwa duniani na kupandisha gharama za maisha, hawafikirii matatizo yanayotokea mashambani huko Marekani, hawafikirii ubinafsishaji wa huduma za uma kama elimu, nk nk.
Kwa wote wanaomwona raisi yule kuwa mwokozi, wanajifanya kusahau kwamba yeye ndiyo mtuhumiwa nambo moja kuhusiana na mafaili ya Epstein. Wengi tulijua toka zamani kwamba amehusika katika mambo ya kutisha.
Lakini kwa kuwa ni muumini wa MAGA .......
 
Back
Top Bottom