Trump na siasa za kuigawa dunia

Trump na siasa za kuigawa dunia

BETONY

Senior Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
188
Reaction score
170
Ni siku kadhaa tangu marekani ipate raisi wake mteule
Mengi yamesemwa na mengi yametokea kutokana na hatua hiyo ya wamarekani kumchagua mtu laghai
Ni ukweli husiopingika kuwa kiongoz wa marekani ni mtu mwenye ushawishi mkunwa sana dunia
Hivyo wamarekani kumchagua mtu mbakaji, mdharirishaji, fedhui, mropokaji, mbaguzi ni dalili kuwa dunia yetu sasa inaendelea kugawanyika
 
Mmh..hivi huyu si ndie aliyesema Afrika inatakiwa kutawaliwa tena...ngoaja waje wataalam
 
Ni siku kadhaa tangu marekani ipate raisi wake mteule
Mengi yamesemwa na mengi yametokea kutokana na hatua hiyo ya wamarekani kumchagua mtu laghai
Ni ukweli husiopingika kuwa kiongoz wa marekani ni mtu mwenye ushawishi mkunwa sana dunia
Hivyo wamarekani kumchagua mtu mbakaji, mdharirishaji, fedhui, mropokaji, mbaguzi ni dalili kuwa dunia yetu sasa inaendelea kugawanyika
Aliwahi kukubaka Mkuu? Au ni kuchafuana tuu mitandaoni??
 
Wamarekani wameongea kupitia kura waliomtaka wamesha mchagua. Hata bi Clinton amempongeza bwana trump.
 
Acha mbwembwe,Ina maana wewe ndio una akili kuliko wamarekani waliomchagua Rais wao?
Trump ndie Rais sahihi kwa Dunia ya sasa.
1478965536232.png
 
Ukweli usiopinginga, Marekani ndio dunia, toka lini dunia ikaongozwa na Mwanamama ?, hiyo haipo..Trump ndo rais sahihi wa marekani kwa wakati huu..
 
Ni siku kadhaa tangu marekani ipate raisi wake mteule<br />Mengi yamesemwa na mengi yametokea kutokana na hatua hiyo ya wamarekani kumchagua mtu laghai<br />Ni ukweli husiopingika kuwa kiongoz wa marekani ni mtu mwenye ushawishi mkunwa sana dunia<br />Hivyo wamarekani kumchagua mtu mbakaji, mdharirishaji, fedhui, mropokaji, mbaguzi ni dalili kuwa dunia yetu sasa inaendelea kugawanyika
 
Unauwakika alishafikishwa mahakamani au unawaamini CCN kila wasemacho acha upopoma
 
Acha mbwembwe,Ina maana wewe ndio una akili kuliko wamarekani waliomchagua Rais wao?
Trump ndie Rais sahihi kwa Dunia ya sasa.
Nakubaliana na wewe kuna watu wao hujiona ndio wanajua ni kipi kizuri au kibaya kwa watu wengine. Wanadhani mawazo, fikra na mtazamo wao ndio sahihi tu, wengine hawajui kitu.... Hovyo kabisa!
 
Kama akili zenu ni kutuma Picha kama hizi,Trump ana kila sababu ya kuwanyoosha.
Binafsi nina imani na Trump.
Unanilaumu bure.Mimi sihusiki na hyo picha.na wakati trump anawatia vidole wanawake mi sikuwepo.unanionea bure.hyo ndo akili ya rais unayemkubali.
 
Huyu Jamaa Kidume, Ndio Raisi huyo, Wahusika wamechagua, Sera zake Mbona safi tu! Kama Kupinga Ushoga, ambao Obama alipoulizwa alisema Mimi siwezi Kuzuia Uhuru wa Watu, Hata hawa Madingi 2 wa Africa aliosema Waachie Madaraka mimi naona washughulikiwe tu, Sisi tumwombee tu, kama tunavyomwombea Mheshimiwa Raisi wetu.
 
Back
Top Bottom