Bwana Utam, Trump ametoa ufafanuzi wa "majeruhi" wa jeshi lake wakati wa mashambulizi "makali" ya Iran huko Iraq dhidi ya bases za Marekani. Ni yale yale tuliyokuwa tunabishana humu, majeraha ya "kuweweseka" ni tofauti na kupoteza viungo.
RTI
... Qassem Soleimani, Iran's most powerful military general is no more and shall never be seen again.
View attachment 1331519