Trump kuwazuia wahamiaji kuingia Marekani

Jamaa mzungu lkn ana sura ya kazi kweli kweli,yani sura pekee inasisitiza U.S.A first
 
Mhh hivi mafuta yapo kila sehemu Dunia hii sema auone huko umuhimu
Mkutano kati ya Nixon na mfalme wa Saudia baada ya vita ya pili ya dunia ,alimuomba mfalme bei ya petroli ithaminishwe na dollar ,ndio petrodollar ilipoanzishwa

Pesa zote duniani thamani yake huthaminishwa na dollar na dollar inathaminishwa na petrol ambayo saudia ndio large exporter na muasisi wa petroldollar ..mbona hujiulizi urusi ana export mafuta lakini pesa yake huitegemea dollar?

Saudia ndio anaye determine endapo Leo aamue mafuta ithaminishwe na yen basi USA anakufa kifo kibaya sana lakini hawezi kufanya hivyo..na USA anamsikiliza Saudia kupita Maelezo tokea enzi ya Nixon mpaka sasa ,juzi tu Saudia walimpiga beat Obama na congress wakawa kimya

USA hawezi kusurvive bila middle east jeuri yote anayoipata mbele ya mrusi na yyote yule ni sababu ya petrodollar "saudia"

Trump yuko sahihi kabisa dhidi ya wahamiaji na hasa kutoa North Africa na Middle East. Kazi namba moja ya Serikali yoyote duniani ni ulinzi wa raia wake na mali zao. Haikubaliki mijitu inatoka sijui wapi huko kwenda kuua raia wasio na hatia kwa kisingizio chochote kile.
Hata wewe naimani hapo ulipo sio kwenu ulipozaliwa, na kuuwa si lazima kujilipua kwa mabomu , hata pollution pia ni uuaji, huenda hapo ulipo unawapollute wenye mji wao.
 
Mhh hivi mafuta yapo kila sehemu Dunia hii sema auone huko umuhimu
Mkutano kati ya Nixon na mfalme wa Saudia baada ya vita ya pili ya dunia ,alimuomba mfalme bei ya petroli ithaminishwe na dollar ,ndio petrodollar ilipoanzishwa

Pesa zote duniani thamani yake huthaminishwa na dollar na dollar inathaminishwa na petrol ambayo saudia ndio large exporter na muasisi wa petroldollar ..mbona hujiulizi urusi ana export mafuta lakini pesa yake huitegemea dollar?

Saudia ndio anaye determine endapo Leo aamue mafuta ithaminishwe na yen basi USA anakufa kifo kibaya sana lakini hawezi kufanya hivyo..na USA anamsikiliza Saudia kupita Maelezo tokea enzi ya Nixon mpaka sasa ,juzi tu Saudia walimpiga beat Obama na congress wakawa kimya

USA hawezi kusurvive bila middle east jeuri yote anayoipata mbele ya mrusi na yyote yule ni sababu ya petrodollar "saudia"
 
... USA hawezi kusurvive bila middle east jeuri yote anayoipata mbele ya mrusi na yyote yule ni sababu ya petrodollar "saudia"
Enzi za mwarabu kutumia mafuta kama silaha au kinga zimepita; nyakati hizo hazipo tena.
 
From Syria,Iraq ,Iran ,Libya,Somali ,Sudan ,Yemen .He will use George bush bill to build the wall in Mexico .Nchi 9 za Africa hazitopata msaada mpaka waonyeshe maendeleo .

=====

1.jpg

Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kutia saini sheria kuweka masharti kuhusu wahamiaji wanaoingia nchini humo.

Taarifa kutoka Marekani zinasema ataanza kwa hatua ya kuimarisha usalama katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico atakapozuru makao makuu ya wizara ya usalama wa ndani leo Jumatano.

Aidha, anatarajiwa pia kutoa tangazo la kuidhinisha sheria kali zaidi za kupata visa kwa wageni kutoka eneo la Mashariki ya Kati na Afrika ambayo yana Waislamu wengi

Bw Trump ameandika kwenye Twitter kwamba leo itakuwa siku muhimu sana kwa usalama wa taifa la Marekani.

Wakati wa kampeni yake ya urais, Donald Trump aliahidi kufanyia mageuzi suala la uhamiaji Marekani.

Aligusia ujenzi wa ukuta kati ya Mexico na Marekani kuzuia wahamiaji haramu na kuwapiga marufuku Waislamu kuingia katika taifa hilo kama sehemu ya vita dhidi ya ugaidi.

Baadaye alibadili msimamo kidogo na kufafanua kwamba watakachofanyiwa Waislamu ni kufanyiwa ukaguzi mkali kabla ya kuruhusiwa kuingia Marekani.

Anatarajiwa kufika katika wizara ya usalama wa ndani baadaye leo na anatarajiwa kusaini maagizo hayo ya kuimarisha usalama katika mpaka wa Mexico na taifa lake na baadaye wiki hiii taarifa zinaashiria atawajibikia ahadi yake ya kupunguza idadi ya wakimbizi wanaoingia Marekani.

Na hiyo ni hadi pale ukaguzi mkali utakapoanzishwa na kuzuia raia wa mataifa saba ya Afrika na kutoka eneo la Mashariki ya Kati yote yalio na idadi kubwa ya waumini wa Kiislamu.

Ubaguzi wa kidini unapigwa marufuku kwa mujibu wa katiba ya Marekani lakini inadhaniwa utawala wa Trump utaidhinisha marufuku hiyo kwa misingi kwamba ni hatua za dharura kukabiliana na tishio lililopo la ugaidi.

Awali, Bw Trump aliandika kwenye Twitter kueleza kusikitishwa kwake na kiwango cha juu cha ghasia na mauaji katika jiji la Chicago.

Vyombo vya habari wiki hii viliripoti kwamba tayari watu 228 wamepigwa risasi na wengine zaidi ya 40 kuuawa mwaka huu.

Bw Trump ameandika kwamba iwapo watawala wa Chicago hawatatua tatizo hilo la mauaji, basi atawatuma 'Feds' akimaanisha maafisa wa FBI.

Chanzo: BBC
Sidhan kama kuna uhalali wa maneno ya kwenye Twitter kuwa ni Presidential Decree.
 
Enzi za mwarabu kutumia mafuta kama silaha au kinga zimepita; nyakati hizo hazipo tena.
Mwaka Jana congress walivyotaka kuishitaki saudia palitokea tension kubwa

Kama nakumbuka vizuri media USA zilikuwa zinasema saudia alikuwa anatishia na walikuwa wanahofia death ya petroldollar mpaka diplomatic meeting ikafanyika

Mbona ile ishu ya kuishitaki saudia imepotea ghafla na kuisha juu juu

Mkuu nchi pekee yenye uwezo wa kuondoa petrodollar ni saudia tu..urusi,China,India walifurahi sana tension ile.
 
From Syria,Iraq ,Iran ,Libya,Somali ,Sudan ,Yemen .He will use George bush bill to build the wall in Mexico .Nchi 9 za Africa hazitopata msaada mpaka waonyeshe maendeleo .

=====

1.jpg

Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kutia saini sheria kuweka masharti kuhusu wahamiaji wanaoingia nchini humo.

Taarifa kutoka Marekani zinasema ataanza kwa hatua ya kuimarisha usalama katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico atakapozuru makao makuu ya wizara ya usalama wa ndani leo Jumatano.

Aidha, anatarajiwa pia kutoa tangazo la kuidhinisha sheria kali zaidi za kupata visa kwa wageni kutoka eneo la Mashariki ya Kati na Afrika ambayo yana Waislamu wengi

Bw Trump ameandika kwenye Twitter kwamba leo itakuwa siku muhimu sana kwa usalama wa taifa la Marekani.

Wakati wa kampeni yake ya urais, Donald Trump aliahidi kufanyia mageuzi suala la uhamiaji Marekani.

Aligusia ujenzi wa ukuta kati ya Mexico na Marekani kuzuia wahamiaji haramu na kuwapiga marufuku Waislamu kuingia katika taifa hilo kama sehemu ya vita dhidi ya ugaidi.

Baadaye alibadili msimamo kidogo na kufafanua kwamba watakachofanyiwa Waislamu ni kufanyiwa ukaguzi mkali kabla ya kuruhusiwa kuingia Marekani.

Anatarajiwa kufika katika wizara ya usalama wa ndani baadaye leo na anatarajiwa kusaini maagizo hayo ya kuimarisha usalama katika mpaka wa Mexico na taifa lake na baadaye wiki hiii taarifa zinaashiria atawajibikia ahadi yake ya kupunguza idadi ya wakimbizi wanaoingia Marekani.

Na hiyo ni hadi pale ukaguzi mkali utakapoanzishwa na kuzuia raia wa mataifa saba ya Afrika na kutoka eneo la Mashariki ya Kati yote yalio na idadi kubwa ya waumini wa Kiislamu.

Ubaguzi wa kidini unapigwa marufuku kwa mujibu wa katiba ya Marekani lakini inadhaniwa utawala wa Trump utaidhinisha marufuku hiyo kwa misingi kwamba ni hatua za dharura kukabiliana na tishio lililopo la ugaidi.

Awali, Bw Trump aliandika kwenye Twitter kueleza kusikitishwa kwake na kiwango cha juu cha ghasia na mauaji katika jiji la Chicago.

Vyombo vya habari wiki hii viliripoti kwamba tayari watu 228 wamepigwa risasi na wengine zaidi ya 40 kuuawa mwaka huu.

Bw Trump ameandika kwamba iwapo watawala wa Chicago hawatatua tatizo hilo la mauaji, basi atawatuma 'Feds' akimaanisha maafisa wa FBI.

Chanzo: BBC
Akumbuke pia Waamerika wanakwenda katika nchi hizo na wengine wanaishi,wasije na wao wakaekewa sheria ngumu ya kuingia na kuishi
Faiza Fox na lihijabu lake ,kwenda marekani kwa sasa ni ndoto pevu!
 
Trump yuko sahihi kabisa dhidi ya wahamiaji na hasa kutoa North Africa na Middle East. Kazi namba moja ya Serikali yoyote duniani ni ulinzi wa raia wake na mali zao. Haikubaliki mijitu inatoka sijui wapi huko kwenda kuua raia wasio na hatia kwa kisingizio chochote kile.
Hapa mbona kuna watu wanatupwa kwenye mito ndani ya viroba, na akina Sanane wanapotea huku bomoabomoa ikishika kasi, au huku raia ni nini na mali ni zipi?
 
Bado ukuta nao nasikia tayari keshaanza mipango ya kuujenga
 
Na nyie muwe na sheria kali kwa wao na kisha atakuwa milele kwa u presedent? I
 
Hapa mbona kuna watu wanatupwa kwenye mito ndani ya viroba, na akina Sanane wanapotea huku bomoabomoa ikishika kasi, au huku raia ni nini na mali ni zipi?
Sijakuelewa. Nilichoeleza ni wajibu wa Serikali yoyote duniani. Kama ipo isiyojua jukumu lake hilo ni suala lingine na haliondoi kanuni ya msingi ya wajibu wa Serikali. At least Trump ameonesha kujua anachopaswa kufanya kwa wananchi wake.
 
Ngoja Africa sasa tuisome namba na pia akili na utashi wa kutumia vizuri rasilimali tulizonazo ndipo utakaa vizuri kwa sasa.

Pia, siasa uchwara zote ni lazima zifike kikomo ili sasa iwe ni uzalendo , utaifa kwanza na maslahi ya nchi.

Safi sana Trump!!
Huyu ni rais ambae anaweza kutufanya waafrica tuwe na akiri na kujitambua
 
Back
Top Bottom