Trump kuhamia Florida imekaaje?

Trump kuhamia Florida imekaaje?

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,009
Reaction score
17,457
Rais wa Marekani Donald Trump kaamisha makazi yake kutoka New York na kwenda kukaa jimbo la Florida kwa madai ya kubana matumizi ya tozo la makazi akidai NY tozo ni kubwa sana bora ahamie Florida ambapo tozo la makazi ni dogo.

Swali langu je hapo Florida kuna Ikulu ya kutosha kukaa Rais (kama taasisi) pamoja na miundombinu ya usalama? Wajuzi wa masuala ya kimataifa tujuze.
 
Frolida ndipo ilipo camp david ? Kama ni hapo,ile ni ikulu kabisa ina kila kitu,presidential retreat za wamarekani zina kila kitu
Hata korea kim chini ya chumb chake kuna military complex anawezakuanzisha vita ya nuclear akiwa chumbani
 
Rais wa marekan Donald Trump kaamisha makazi yake kutoka New York na kwenda kukaa jimbo la Frolida kwa madai ya kubana matumizi ya tozo la makazi akidai NY tozo ni kubwa sana bora ahamie Frolida ambapo tozo la makazi ni dogo. Swali langu je hapo Frolida kuna Ikulu ya kutosha kukaa Rais (kamà taasisi) pamoja na miundombinu ya usalama? Wajuzi wa masuala ya kimataifa tujuze

Sio kuamia ni kuhamia

Sio kaamishia ni kahamishia..
Asante
 
Nasikia New York mtu wa kawaid ili uweze kuishi inakupasa uwe na kama 700k USD dollar..huo mji co wa mchezo mchezo..
 
Wakuu, yaani tumeshindwa kabisa kung'amua nini Trump alikuwa anamaanisha?? Kwani Ikulu ya Marekani si ipo Washngton??

Alichokua anamaanisha Trump ni kuhamisha makazi yake binafsi labda na kampuni zake toka New york hadi Florida ila sio kuhamisha white house.

Trump makao makuu ya kampuni yake yapp New York na makazi yake pia yapo new york, anacholalamikia New York ni gharama kubwa za kodi ya makazi ndio maana anahamia Florida.
 
Excellent! Keep it up! 100%

Back
Top Bottom