mwaminifuhalisi
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 329
- 416
Akiongea na kituo cha CBS trump alisema japokuwa Kim alipata madaraka akiwa na umri mdogo lakini aliweza kupigana na watu wagumu.
"Watu wanasema ni mwendawazimu ... Sifahamu hilo lakini alikuwa ni kijana mdogo wa miaka 26 au 27 pale baba yake alipofariki na Nina uhakika ameweza kupambana na watu wakubwa ambao walitaka hiko kiti ambao wanaweza kuwa majenero, mjomba ake ama yoyote, ni wazi huyu ni kijana muelevu.
Kuhusu kufeli kwa makombora mfululiza Trump hakuwa tayari kulizungumzia hilo swala kwa sasa na kudai hawezi kuweka wazi kila kitu anachokizani kwa sasa.
Pia alisema vita na Korea kaskazini inaweza kugharimu maisha ya mamilioni ya watu.