Unataka maoni yangu?Kwa niaba ya vijana wa Kiafrika, hususani Tanzania tunao penda kuona tuna heshimiwa, nina laani vikali kauli ya Rais wa Marekani dhidi ya bara la Afrika na Haiti. Kauli yake ni ya kibaguzi na udhalilishaji isiyo kubalika, Tunahitaji kuheshimiwa na kuthaminiwa.
Yamkini ametoa kauli hiyo kutokana na Historia ya viongozi wetu wa Afrika, walio jaa tamaa za madaraka, wanao kiuka misingi ya demokrasia, wanao fadhili mauwaji, wala rushwa, viongozi wasio wajibika nk ila ni vema ange toa nini kifanyike kwa hao viongozi .
Nini Maoni Yako?
Ndimi Noel Shao
[HASHTAG]#mjenziWaTanzaniaMpya[/HASHTAG]
Hamuwezi kuheshimiwa mkuu ikiwa ninyi wenyewe kwa wenyewe hamuheshimianiKwa niaba ya vijana wa Kiafrika, hususani Tanzania tunao penda kuona tuna heshimiwa, nina laani vikali kauli ya Rais wa Marekani dhidi ya bara la Afrika na Haiti. Kauli yake ni ya kibaguzi na udhalilishaji isiyo kubalika, Tunahitaji kuheshimiwa na kuthaminiwa.
Yamkini ametoa kauli hiyo kutokana na Historia ya viongozi wetu wa Afrika, walio jaa tamaa za madaraka, wanao kiuka misingi ya demokrasia, wanao fadhili mauwaji, wala rushwa, viongozi wasio wajibika nk ila ni vema ange toa nini kifanyike kwa hao viongozi .
Nini Maoni Yako?
Ndimi Noel Shao
[HASHTAG]#mjenziWaTanzaniaMpya[/HASHTAG]
Mko smart kwenye nn mkuuKwa wengine kama kina museveni sawa lakini sisi ametonea maana tuko smart