Trump kasababisha vifo vya waCanada

Trump kasababisha vifo vya waCanada

Jenerali wa Irani kaondoka na watu wengi aisee...
Yaani kama binadam tungepewa uwezo wa kutambua mambo yatayotokea baadae nina hakika Trump asingemuua yule jenerali.
Pigo moja huua weng na kisas haki angalii Nan Nan Bali kisas haki angalii Nan kafanya kwa mfano ukimtia mimba mtoto wangu mm nakutafuta namtia mimba dada yako,mkeo na mtoto wako hiko ndio pure kisas ili siku nyingne ujifunze na uwe na heshima na kujali wengne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upigwe na mwalimu ukalipize kwa kumpiga nesi?

Hapo ndio tunapopotoka..
 
Hawa ni raia wa Canada waliofariki Kwenye ndege baada ya Trump kupeleka taharuki huko Iran Kwa kumuua Qassam Suleiman. Inakisiwa wacanada 57 wamefarika. Shame on you trumpView attachment 1320389View attachment 1320390View attachment 1320391View attachment 1320392View attachment 1320393View attachment 1320394View attachment 1320403

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni upumbavu wa kidini huku, thead kama hizi sisi tusiotaka ubaguzi wa kidini tunaziona takataka tu. Mtu anampiga mwanao wewe unainuka kwenda kumpiga mtoto wa jirani yako kwa kisingizio cha kupigwa na mgeni? Upuuzi gani huu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump au rouhani Iran ndio iliyofanya hill shambulizi. Wao ndio wahusika wakuu.
Hawa ni raia wa Canada waliofariki Kwenye ndege baada ya Trump kupeleka taharuki huko Iran Kwa kumuua Qassam Suleiman. Inakisiwa wacanada 57 wamefarika. Shame on you trumpView attachment 1320389View attachment 1320390View attachment 1320391View attachment 1320392View attachment 1320393View attachment 1320394View attachment 1320403

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila Ya US Kuendeleza Ugaidi Wake Unahisi Lingetokea Hili..

US =WAUAJIIIIIIII

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nahisi utakuwa misinformed ..mtiririko upo hivi..

*rockets attacks in American base in Iraq

*American contractor killed and other military personnel wounded

*American air force strike on PMU bases in Iraq and Syria(retaliation)

*demonstration in American embassy and also attacked by militants and civilians.

*Qasem Soleiman killed by American drone (retaliatio) for embassy attack.

*Iran missiles attack in Iraq&American bases in Iraq.

*Ukrainian airplane (civilian) shooted by Iranian air defense force.

Hivyo utaona kiini cha tatizo ni nini.usichangie kwa ushabiki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Qasem solemani ajafa peke ake. Kaondoka na watu wengi sana.
FB_IMG_1578322517179.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa yaliyotokea kutakuwa kuna watu wamefundishwa kwa vitendo ule usemi
"You will learn peaceful way to resolve the problem once the mosquito lands on your testicle"
 
GOP senator: I'm worried about Iran intelligence we received
Sen. Mike Lee (R-UT) tells CNN's Jake Tapper he is worried about the integrity of the intelligence presented by the Trump administration to justify the killing of Iranian General Qasem Soleimani. Lee added he had similar concerns with previous administrations.
Source: CNN
 
Back
Top Bottom