Trump kasababisha vifo vya waCanada

Trump kasababisha vifo vya waCanada

Marekani inatia aibu, wamekua wanyonge baada ya kipigo wanaomba mazungumzo bila ya masharti, wanasema wanataka Iran iwe nchi ya kawaida [emoji23]
Screenshot_20200112_213152_com.rt.mobile.english.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mnashindwa kuelewa Trump kamtungua mtu wake aliekuwa anamtaka basi kamaliza najaama alikuwa anafanya kazi na wamarekani kama mlikuwa amjui.
 
Wewe ndio umechangia kwa ushabiki sababu ume anza kuangalia jana na juzi mm nime angalia zamani sana
Mkuu nahisi utakuwa misinformed ..mtiririko upo hivi..

*rockets attacks in American base in Iraq

*American contractor killed and other military personnel wounded

*American air force strike on PMU bases in Iraq and Syria(retaliation)

*demonstration in American embassy and also attacked by militants and civilians.

*Qasem Soleiman killed by American drone (retaliatio) for embassy attack.

*Iran missiles attack in Iraq&American bases in Iraq.

*Ukrainian airplane (civilian) shooted by Iranian air defense force.

Hivyo utaona kiini cha tatizo ni nini.usichangie kwa ushabiki!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi kabla ya US kuwa na makambi kambi yake ya kipuuzi hapo mido ist ulishawahi kusikia tukio ama matukio kama haya yakijinga jinga



US = WAUAJI NAMBA MOJA ULIMWENGUNI.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom