Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,244
- 15,063
Hakuna lolote kaona aibu ile 48hrs deadline aliwapa Iran wala hawakuijali kujidai kaongea na Iran hahaha Trump akubali tu kashindwa vita mara ajidai Mujtaba Khomen hamtambui sa aliongea na nani au huyu Trump kichaaTulikubalina hakuna kukimbia vita.
Huwezi kukimbia vita kabla Irani haijamaliza majaribio ya silaha zake mpya.
Taifa kubwa lina dhallilika.Hakuna lolote kaona aibu ile 48hrs deadline aliwapa Iran wala hawakuijali kaona aibu kujidai kaongea na Iran hahaha Trump akubali tu kashindwa vita mara ajidai Mujtaba Khomen hamtambui sa aliongea na nani au huyu Trump kichaa
View: https://www.youtube.com/live/ZRLii53ZiQc?si=5v-HxQ2GGAJzDPn0
Nilichaka yule waziri wao wa National security alikuwa akigua majumba akiwajibu wa Israel walio kuwa wanamuambia wewe ndio sababu ya haya yote akajibu hivi hatukujua Iran iko very powerful hiviTaifa kubwa lina dhallilika.
Walidhani Irani ni sawa na Venezuela au Iraq.
Wamekutana na kisiki cha mpingo wameinua mikono juu, wanarudi kwao wakiwa na aibu kubwa.
Halafu huyu Marekani ndio wanasema anaweza kupigana na Urusi?Taifa kubwa lina dhallilika.
Walidhani Irani ni sawa na Venezuela au Iraq.
Wamekutana na kisiki cha mpingo wameinua mikono juu, wanarudi kwao wakiwa na aibu kubwa.
Kakimbia kamwachia Israel na balaa lake.
View: https://youtu.be/UOlqEJEsEI4?si=shzpruz0fzVk93XV
Ujumbe ndio huo Israel wanaendelea kupewa kichapo, na Israel wameshangaa kusikia Trump kakubali kusimamisha vita na Iran
Mkuu wa Majeshi ya anga wa Iran vita vitaendelea mpaa target zetu zikamilike kwa faida ya Iran
Kwa hakika surprise ya Iran kwa trump sio ya mchezo!IRAN KAFANYA SUPPLIES SANA KWENYE HII VITA, KAENDA PUMZI KWA PUMZI NA USA PAMOJA NA MSHIRIKA ISRAEL.
Sema big loss sana kwa viongozi na pamoja na Raia wake wamekufa sana na wanakufa sana so sad.
Na hapo Kim hakuingilia hiyo vita.Taifa kubwa lina dhallilika.
Walidhani Irani ni sawa na Venezuela au Iraq.
Wamekutana na kisiki cha mpingo wameinua mikono juu, wanarudi kwao wakiwa na aibu kubwa.
Ulikubaliana na nani mna kimbele mbele kwenye mambo ya watu huku nchi yenu ina shida kila konaTulikubalina hakuna kukimbia vita.
Huwezi kukimbia vita kabla Irani haijamaliza majaribio ya silaha zake mpya.
Mbona umehamaki, kunywa maji utulize akili.Ulikubaliana na nani mna kimbele mbele kwenye mambo ya watu huku nchi yenu ina shida kila kona
Ulikubaliana na nani, weka hapa hayo makubalianoMbona umehamaki, kunywa maji utulize akili.
Kwahiyo makubaliano yote hapa jf lazima yakuhusishe wewe?Ulikubaliana na nani, weka hapa hayo makubaliano