Trump issues executive order to North Korea

Trump issues executive order to North Korea

Nadhani kwa hasira warushe kombora lingine japan na USA wapigwe shambulio la kimtandao na hackers kama ule wakati uchaguzi...

mkuu wana anzaga kama utani mwisho wa siku wanafanya kweli!!
Seoul: North Korea's Foreign Minister has said the country may test a hydrogen bomb in the Pacific, South Korean media has reported.

North Korean Foreign Minister Ri Yong-ho said he believed the North could consider a hydrogen bomb test on the Pacific Ocean of an unprecedented scale, South Korea's Yonhap news agency reported.
Ri was speaking to reporters in New York when he was asked what North Korean leader Kim Jong-un had meant when he threatened in an earlier statement the "highest level of hard-line countermeasure in history" against the United States.
 
Dogo kajibu mapigo, povu lake sasa..

Kim warns Trump he'll 'PAY DEARLY'
“I am now thinking hard about what response he could have expected when he allowed such eccentric words to trip off his tongue. Whatever Trump might have expected, he will face results beyond his expectation,” Kim said, saying that he would “tame” Trump “with fire.”__WP
Naona povu la Grace zoazoa
 
Trump mwaka huu atakuja kufa na shinikizo la damu anaongea kama kalazimishwa kakalia mipasho tu rocketman anamcheka mzee mzima kukoswa busara ni hasara si afanye kweli walikuwepo wababe Bush Baba na Bush mtoto ila wote wamepita wameiacha korea kas maisha yanasonga sasa huyu mvaa mawigi kaja muda mwafaka wakati wa kuinyonyesha dunia hakuna mkubwa
 
N.Korea kwenye room yenye mitambo ya ku detect makombora yatakayo kuwa yanarushwa na USA hawalali 24/7 hrs, kwenye radar wakiona kitu kisicho eleweka Nuclear Botton inabonyezwa na kuisambaratisha USA na Japan ikizamishwa.......


Ni lazma China na Urus watakuwa wanamfadhili hela kwa siri za kukamilisha project zake za nuclear
Wao china na Russia wamechemsha kwao?

Wazimu wa vita ni maangamizi makubwa! Wastaarabu dhidi ya wala kenge.
 
Hahahah... Hamna lolote mikwara mbuzi tu hiyo
Huja gundua kuwa vikwanzo vyote havita fanya kazi na mwisho wa yote Trump ana weza kuja kutangaza vikwazo vingine kuwa north korea wale mlo mmoja ndio mtangudua Babu yenu Trump anazeeka vibaya !!!
Ila ukiangalia kwa mbali kidogo unaweza hisi dogo Nikama mkuu wa mkoa ule ana ambiwa dogo piga kazi waache waendeleye ku washwa washwa !!


Seoul: North Korea's Foreign Minister has said the country may test a hydrogen bomb in the Pacific, South Korean media has reported.

North Korean Foreign Minister Ri Yong-ho said he believed the North could consider a hydrogen bomb test on the Pacific Ocean of an unprecedented scale, South Korea's Yonhap news agency reported.
Ri was speaking to reporters in New York when he was asked what North Korean leader Kim Jong-un had meant when he threatened in an earlier statement the "highest level of hard-line countermeasure in history" against the United States.
 
Nadhani kwa hasira warushe kombora lingine japan na USA wapigwe shambulio la kimtandao na hackers kama ule wakati uchaguzi...
Trump hajawa Rais kwa Bahati mbaya ilishapangwa awe Rais.Hakuna cha mtandao kuingiliwa au lah ile ni janja ya nyani tu.Obama alizungukwa Bila kujijua.Rais wa America alikuwa lazima awe Trump
 
0da3909f0cf6393cf04326e00c6836ae.jpg
Movie bado inaendelea....

Nalendwa izzo fundi25 GoLang

Hizo ni politics tuu, China awezi mtesa mdogo wake hata siku moja. China ndio nchi iliyo na international reserve nyingi dunian kwa mfumo wa dollar na sasa wameanza kuconcert kwenye ktk Euro na Yen. Maana wanajua hakuna future nzuri na US not trusted at all. Na jambo hili ni long plan lazima aseme hivyo na akiwa anatafuta alternative taratibu.
 
Kiongozi wa dunia ni Marekani na ndio maana katoa order kwa China
 
Kiongozi wa dunia ni Marekani na ndio maana katoa order kwa China

Kutoa order sio shida shida ni kwamba hiyi order itafanya kazi na kuleta matokeo wanayo yataka, je vikwazo vingap wamepitisha na vimeleta matokeo.

Jarabu kuwa mataifa kama Iran, China, Russia na North Korea wakiamua kufanya biashara wao kwa wao kitu gan muhim watakosa na kukiitaji kutoka US. Na kama wanafanya hivyo bila kutumia Dollar kwa siri unafikir hivyo vikwazo vitafanya kazi. Tujaribu kufikir na kulinganisha na hali halisia
 
Trump hajawa Rais kwa Bahati mbaya ilishapangwa awe Rais.Hakuna cha mtandao kuingiliwa au lah ile ni janja ya nyani tu.Obama alizungukwa Bila kujijua.Rais wa America alikuwa lazima awe Trump
Kwa nini ilikuwa lazima Trump ndio awe rais Wa Marekani???
 
Tuna semaga mzigo mzito apewe mnyamwezi abebe inaelekea hapa mnyamwezi wa pande hizo ni Russian!!!
pia kwenye hii dunia wa China siyo watu wa kuwaamini kabisa wajanja sana pia ni wakarimu sana ukiangalia wanalo ongeaga na matendo yao ni vitu 2 tofauti ila adi ujuwe ni tofauti muda utakuwa umekwisha!!
Trump atakuja kugundua maisha yataendela huko north korea kama kawaida !!
ila akiingia vitani ndio mwisho wa U.S. kuwa mbabe wa dunia bora ajifunike hivyo hivyo na ngozi ya kondoo!!


Haha, uzuri wa mawig ni muwazi sana, hafichi maneno ila sema timu yake usikute ndo wanamzuia baadhi ya vitendo..
 
Naona povu la Grace zoazoa

Teh! teh!...lol

Naona safari hii kaboreka sana kwa kuanikwa mbele ya dunia mpaka kufikia kusema "Anafikiria" kumfanyia Trump kweli, na kupeleka Zigo Pacific ocean this time..
 
Russia keshasema hatokubali any fire actions to NK on their boarders, Trump anajua hii vita yuko na wengi sio NK peke yake..huyo China, Japan, Russia, India wote walioizunguka NK hawawezi kukubali US imtoe Kim waje wakae apo nyuma yao wawachore..no way! lazma wamdhamini kichaa Kim ili US asije katikati yao
 
Haha, uzuri wa mawig ni muwazi sana, hafichi maneno ila sema timu yake usikute ndo wanamzuia baadhi ya vitendo..
mchungeni kim hajaribiwi kama nani nani yule ..akisema anatuma kifurushi anatuma kweli!!
kuna mwezenu kasema !!
Kim they may be bluffing, but there is a need for them to test their combined missile-bomb capability. They could have already prepared the plan and are now trying to use Trump’s remarks as an excuse to make it happen," said Yang.
 
Subutu yake ata anzia wap kwanza huyoo Trump mpira mzito sana huo.. Kwanza tazama n Korea kazungukwa na nchi ngapi ndoo utapata full picture.. Kwamba trumpet ni mipasho tu kama mzee yussuf
 
Back
Top Bottom