Trump impeached for 'inciting' US Capitol riot

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
493
1,000
The US House of Representatives has impeached President Donald Trump for "incitement of insurrection" at last week's Capitol riot.

Ten Republicans sided with Democrats to impeach the president by 232-197.

He is the first president in US history to be impeached twice, or charged with crimes by Congress.

Mr Trump, a Republican, will now face a trial in the Senate, where if convicted he could face being barred from ever holding office again.

But he will not have to quit the White House before his term ends in one week because the Senate will not reconvene in time.

Mr Trump leaves office on 20 January, following his election defeat last November to Democrat Joe Biden.

The Democratic-controlled House voted on Wednesday after several hours of impassioned debate as armed National Guard troops stood guard inside and outside the Capitol.

The FBI has warned of possible armed protests planned for Washington DC and all 50 US state capitals ahead of Mr Biden's inauguration next week.

In a video released after the vote in Congress, Mr Trump called on his followers to remain peaceful but he did not refer to the fact that he had been impeached. "Violence and vandalism have no place in our country... No true supporter of mine would ever endorse political violence," he said, striking a sombre and conciliatory tone.
 
BonT

JF-Expert Member
Oct 14, 2020
213
500
Si kwa gundu hili huyu baba...khaaa!

Sent from my moto g power using JamiiForums mobile app
Jambazi mzoefu kupigwa risasi haiwezi kuwa gundu kama ilivyo kwa kahaba wa Uswahilini kupata maradhi ya ngono! Kwa mambo aliyofanya Trump, alitakiwa awe impeached na kuondoka madarakani zamani sana sema ndo vile tena Republicans walihodhi Senate.
 
mbalaka

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
1,970
2,000
Violence and vandalism have no place in our country...

"" ay anasema uwongo ndugu yetu?"".
 
dudu jeupe

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
1,267
2,000
Ama kweli democrats wameamua kumsagia kunguni trump.

Sikuona wala kusikia sehem yoyote trump kahamasisha vurugu, ila newa network ndo zimepika habari.

Anyway wanajisumbua tu, ngoma ikifika senate inadunda,

Useless
 
mr.London

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
3,108
2,000
Kuna mtu humu alianzisha uzi na kusema Trump ataanzisha chama chake agombee urais tena., nikamwambia kwa Trump haitawezekana tena hili zengwe la saivi maana yake ni kwamba It's over, He finished., Hao wajumbe wa Sanate nao hoi bin taaban Trump habebeki tena., 5 days is enough for him to remain in the house.
 
ikifika senate unajua ni kura kiasi gani zinahitajika....vitu vingine fanya research
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,529
2,000
Jambazi mzoefu kupigwa risasi haiwezi kuwa gundu kama ilivyo kwa kahaba wa Uswahilini kupata maradhi ya ngono! Kwa mambo aliyofanya Trump, alitakiwa awe impeached na kuondoka madarakani zamani sana sema ndo vile tena Republicans walihodhi Senate.

At least Merikani kuna check and balance yenye lengo la kudhibiti mamlaka za Rais na Mawaziri ili wasitumie madaraka yao kufanya wapendalo - Waasisi wa katiba ya Marekani hilo walilion mapema wakalifanyia kazi kwa kuziba mianya yote ya Viongozi kutumia madaraka vibaya.

Mara ngapi tumeshuhudia Mataifa mengi ya Kiafrika viongozi wake wana missuse na ku-abuse their power with impunity mfano: Bokasa, Mobutu Seseko Kuku Mbedju wa Zabanga,Kamuzu Banda nk.

Ukishuhudia matumizi mabaya ya madaraka ndio unakuja gunduwa kwamba, kumbe msemo wa wahenga wa kusema kwamba " ABSOLUTE POWER CORRUPTS ABSOLUTELY" msemo huo hupo sahihi kabisa.
 
Mkuu, ukisema at least naona kama unakosea vilee manake tukisema at least! Yaani haya yaliyotokea US kwangu sio at least bali naiona mifumo imara ya kiutawala na kijamii iliyopo kwenye nchi husika! Trump bado ni rais mwenye mamlaka mengi kama sio yote ya ki-urais lakini mifumo imara ya taifa hilo inambana kufanya chochote atakacho zaidi ya kuishia kupiga yowe kwenye social networks!! Hebu pata picha hapa JF Mheshimiwa Rais wetu angekuwa na verified account anayoitumia regularly halafu apigwe ban kama alivyopigwa Trump! Mbona Kikosi kizima cha polisi na jeshi kingehamia HQ ya JF!! Na kama sio mifumo imara, na hii sheria yao ya kwamba mtu anachaguliwa leo kisha anaapishwa miezi 3 baadae, ingekuwa ndo Afrika, au hata baadhi ya nchi za Asia, Ulaya na America Kusini, am sure maraisi aina ya Trump wangekuwa wanang'ang'ania Ikulu
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,529
2,000
Mkuu, ukisema at least naona kama unakosea vilee manake tukisema at least! Yaani haya yaliyotokea US kwangu sio at least bali naiona mifumo imara ya kiutawala na kijamii iliyopo kwenye nchi husika! Trump bado ni rais mwenye mamlaka mengi kama sio yote ya ki-urais lakini mifumo imara ya taifa hilo inambana kufanya chochote atakacho zaidi ya kuishia kupiga yowe kwenye social networks!! Hebu pata picha hapa JF Mheshimiwa Rais wetu angekuwa na verified account anayoitumia kweli kweli halafu apigwe ban kama alivyopigwa Trump! Mbona Kikosi kizima cha polisi na jeshi kingehamia HQ ya JF!! Na kama sio mifumo imara, na hii sheria yao ya kwamba mtu anachaguliwa leo kisha anaapishwa miezi 3 baadae, ingekuwa ndo Afrika, au hata baadhi ya nchi za Asia, Ulaya na America Kusini, am sure maraisi aina ya Trump wangekuwa wanang'ang'ania Ikulu

Bravo, mkuu ni hivi: nilitumia diplomatic language to drive point HOME - kila binadamu mwenye akili timamu knows for certain kwamba American Constitution has no Parallel in the World - ndio maana wako mbali sana kwenye nyanja zote.
 
BonT

JF-Expert Member
Oct 14, 2020
213
500
Bravo, mkuu ni hivi: nilitumia diplomatic language to drive point HOME - kila binadamu mwenye akili timamu knows for certain kwamba American Constitution has no Parallel in the World - ndio maana wako mbali sana kwenye nyanja zote.
Safari hii nimeionea wivu sana mifumo ya US!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom