Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,866
Ukweli lakini kuna majitu hayakubali kabisaNilishangaa sana eti Rais anajibizana na balozi? Busara na hekima za Putin huenda zikaokoa roho za maelfu ya watu wasio na hatia.
Ukiranja wa dunia bado sana na huwa haupatikani ndani ya miaka michache,Mdogomdogo Urusi inachukua ukilanja wa dunia, Trump anakuwa kama mpiga ramli.
Tena unafiki wa hali ya juu uliyotukukaInternational Politics is all about organised hypocrisy.
PS: Its not America that drove ISIS out.....
Not that extent ukiranja wa dunia bado anahitaji muda mrefu sana kuifikia marekaniMdogomdogo Urusi inachukua ukilanja wa dunia, Trump anakuwa kama mpiga ramli.
Kweli bado sana lakini hizi ni dalili mbaya kwa Marekani kuwa na mtu wa kukupiga waziwazi mwisho ya siku vitaifa vingine vitaanza kujiinua kuwa kumbe inawezekana kumgomea kiranja.Ukiranja wa dunia bado sana na huwa haupatikano ndani ya miaka michache,
Japo katika hili la Syria na Ukraine anaweza kujenga msuli mkubwa sana wa kidiplomasia hapa duniani na pia kuwa na kufanikiwa kuongeza ushawishi wake kwenye eneo la Ulaya Mashariki, Ghuba ya Uajemi na kwengineko duniani.
Hapo ni kweli nguvu na ushawishi wake umepungua sanaKweli bado sana lakini hizi ni dalili mbaya kwa Marekani kuwa na mtu wa kukupiga waziwazi mwisho ya siku vitaifa vingine vitaanza kujiinua kuwa kumbe inawezekana kumgomea kiranja.
Mkuu hebu ongezea nyama kidogo hapo kwa Ukraine,: naona kunà ukakasi kidogo.Ukiranja wa dunia bado sana na huwa haupatikani ndani ya miaka michache,
Japo katika hili la Syria na Ukraine anaweza kujenga msuli mkubwa sana wa kidiplomasia hapa duniani na pia kuwa na kufanikiwa kuongeza ushawishi wake kwenye eneo la Ulaya Mashariki, Ghuba ya Uajemi na kwengineko duniani.
Hapa Balozi wa Urusi na Marekani wana-kiss baada ya kutifuana sana kwenye Kikao cha Baraza la Ulinzi na Usalama.Tena unafiki wa hali ya juu uliyotukuka
HahahahahahaHapa Balozi wa Urusi na Marekani wana-kiss baada ya kutifuana sana kwenye Kikao cha Baraza la Ulinzi na Usalama.
Teh teh teh teh
😀😀😀😀😀😀
Waione: Ndugu Palantir , TUJITEGEMEE , chige , Nalendwa , SirChief
Marekani na washirika wake kama watashindwa kupambana na Mrusi kule nchini Syria mbali na mipaka yake,Mkuu hebu ongezea nyama kidogo hapo kwa Ukraine,: naona kunà ukakasi kidogo.
😀😀😀😀😀,Walipotoka hapo inawezekana hata walienda kula dinner pamoja huku wakikenua.Hapa Balozi wa Urusi na Marekani wana-kiss baada ya kutifuana sana kwenye Kikao cha Baraza la Ulinzi na Usalama.
Teh teh teh teh
😀😀😀😀😀😀
Waione: Ndugu Palantir , TUJITEGEMEE , chige , Nalendwa , SirChief
Safi sana, umeleeweka mkuuMarekani na washirika wake kama watashindwa kupambana na Mrusi kule nchini Syria mbali na mipaka yake,
Unadhani ataweza kupigana na Urusi kwenye mipaka yake ambako kuna vikosi vizito vya majeshi yake yote ???
Maana vikosi vikubwa vya Urusi viko Ulaya Mashariki, Asilimia 21% ya meli vita za Urusi na Asilimia 10% ya nyambizi za jeshi la Urusi ziko pale bahari nyeusi kama The Black Sea Fleet.
NB: Kuna msemo maarufu unasema "Do not mess with the Pope when you are in Rome" ni sawa na leo Urusi naye aende pale Caribbean akitegema anaweza kumshinda Marekani kirahisi. Ngumu sana kupigana na Urusi ukiwa Ulaya Mashariki.