Trump Hatanii

Trump Hatanii

Juuchini

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
1,968
Reaction score
2,832
Ijumaa saa sita usiku Rais Trump aliamua kufunga serikali kuu kutokana na madai yake kwa ajili ya ujenzi wa ukuta wa mpakani, kiongozi namba mbili wa senate upande wa Democrat Dick Durbin wa Illinois alitweet na kuongezea hii haina maana na ni ukatili. Hii ni mara ya nne katika muda wa miaka mitano kwa bunge la Marekani na White House kushindwa kukubaliana juu ya fedha kiasi gani serikali kuu inaweza kutumia na kwa malengo gani na kusababisha kufungwa kwa baadhi ya shughuli za serikali kuu Marekani.
 
Ila Nina uhakika hewezi kuichezea katiba ya Marekani . Kule Siyo huku ambako mtu amaweza kufanya chochote anachojisikia.
Sie bado.....!! Safari ipo tena ndefu tu.,, Rasmu yenyewe bado ni kizungumkuti......
 
Chochote kile afanyacho Trump iko in line with the American Constitution na ndio maana mabunge yote (Congress) uhusishwa.

Marekani rais hawezi kuburuza bunge kama inavyofanywa hapa. Hapa rais anaweza akatumia fedha za umma kama inavyompendezea na mtu hata asigune.!

The system of checks and balances enshrined in the US constitution is among the best and most efficient in the world as it deters the president from being authoritarian or despotic.

We had once fought for the procurement of similar constitution as the US, the one that could ensure the clear separation of power between the three pillars of governance but ccm bigwigs seeing that the system could contain them and deter them from indulging in national pillage stood on our way to completely shatter the dream.

Thanks to that great constitution that has managed to place the US where it is today and conversely, we say thanks to this imperial type constitution that has succeeded in ensuring our perennial status as one of the most impoverished countries on earth.
 
Ijumaa saa sita usiku Rais Trump aliamua kufunga serikali kuu kutokana na madai yake kwa ajili ya ujenzi wa ukuta wa mpakani, kiongozi namba mbili wa senate upande wa Democrat Dick Durbin wa Illinois alitweet na kuongezea hii haina maana na ni ukatili. Hii ni mara ya nne katika muda wa miaka mitano kwa bunge la Marekani na White House kushindwa kukubaliana juu ya fedha kiasi gani serikali kuu inaweza kutumia na kwa malengo gani na kusababisha kufungwa kwa baadhi ya shughuli za serikali kuu Marekani.


Unashangaa nini sasa? Trump aliwadanganya wamarekani kuwa ukuta utajengwa na wamexico na wamarekani kwa ujinga wao wakambubalia kwa shangwe kumbe alikuwa anawachezea akili tu. Sasa Trump kaonja joto la jiwe kwa Senate kumkatalia anahaha na kutishia kufunga/kuzima serikali. The guy is phony na hafai kuwa rais wa taifa kama Marekani.
 
Back
Top Bottom