Trump hafai tena kuongoza taifa la Marekani

Bikis

Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
52
Reaction score
74
Marekani imeendeleza shinikizo dhidi ya Iran, ikiituhumu kwa kupanga mashambulizi yaliyoharibu mitambo ya mafuta ya Saudi Arabia, licha ya wapiganaji wa Kihouthi nchini Yemen kusisitiza wao ndio walihusika. Mashambulizi hayo ya Jumamosi yaliyofanywa na ndege zisizo na rubani, ambayo yalisababisha moto kwenye mitambo miwili inayoendeshwa na shirika la taifa la mafuta la Saudi Arabia, Aramco katika mkoa wa mashariki wa Buqyaq, yalisababisha bei za mafuta duniani kupanda kwa kasi kuliko ilivyokuwa katika miongo kadhaa. Waziri wa nishati wa Marekani Rick Perry amesema mashambulizi hayo yalikuwa ya makusudi dhidi ya uchumi wa dunia na soko la dunia la nishati

Nb.huku nyuma nilikuwa nikimkubali trump na Sera zake haswa za juu ya kuigharagaza uchumi Wa China lakini sasa uongozi wake unaudhalilisha heshima ya marekani kimataifa,, kila uchao trump anatoa vitisho juu ya nchi Fulani mfano Venezuela, iran, north korea, n.k.na hili LA kudhambuliwa saudia mpka kupunguza nusu ya uzalishaji kutoka pipa 10mil mpka 5mil..hakika kwa heshima ya marekan trump hafai tena!
 
wamarekani tunasema anatosha wewe ni nani?
 
President Trump ni wa USA sio wa dunia ,wewe pambana na yako hapa,elewa uchumi wa USA unapanda kwa kasi,nafasi za kazi nyingi zinapatikana ,he is doing well kwa nchi yake,na ukitaka kujua hili angalia jinsi wakimbizi wanavyomiminika kwenda USA.
 
Sasa ulitakaje au ulitaka Us afanye nn au achukue hatua gani kwa mfano
 
Wapumbavu wanajifanya kupenda vita kati ya US na Iran wakati huo huo hawataki vita.Mbona kikwete hakuvamia malawi wakati wanaleta usumbufu?
 
USA chini ya trump tafadhali nakuomba muache irani usimguse kabisa. Ukimpiga umemwonea ukimwacha mwoga bora iwe hivo okoa roho za watu. Hawa waarabu wa huku misonkomilo makanyagio mpanda haki zao tu wanashindwa dai bongo wanajifanya wanajua kuongea shombo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu nimecheka sana hio comment yko

Back
Top Bottom