The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Rais wa Marekani ni moja ya marais wa aina yake, ni rais anaesema kitu jinsi kilivyo, the president who says it as it is. Hakuna unafiki na bana ukigeugeu.
Baada wa wananchi na wafanyakazi wa idara za seeikali kuu ya marekani kuandamana na kulalamjka kuhusu serekali kufungwa, Trump amesikia kilio chao na amesema ana namna anawaza kuhusu kufungua serikali ila ametaka wananchi waelewe kua mnapokubali kumchagua mtu lazima mkubaliane na matokeo ya uchaguzi wenu. Anasisitiza kua uchaguzi una matokeo ambayo unaweza kuyapenda au usiyapende.