Trump ataka kuiokoa Kampuni ya China isife

Hahahahaha,Yaani pesa zaidi ya GDP ziiibiwe?.Zingine zilitoka wapi?.Hahahahaa,Hebu punguzeni mihemko
Mambo ya Radio Tehran (RT) hayo Mkuu usishangae wala kuchukulia serious. Hiyo ni dalili majini yamepanda kichwani kufuatia kichapo cha mbwa mwizi walichokipata baada ya uchokozi wao huko Golan Heights hivi karibuni.

Hawaamini jinsi vituo vyao uchwara vya kijeshi vilivyochakazwa overnight tena kwa shabaha kali! Halafu jana wanaume wamefanya bonge la shughuli hapo Jerusalem nilitegemea wangewarushia japo jiwe lakini wapi! Badala yake waliwatuma wajinga wenzao wakaaishia kupasuliwa tu vichwa.
 
"From now onward, it will be America first.."ukiona hivyo ujue kuna namna maslahi ya Marekani yameguswa kwa namna moja ama nyingine.

Ikiwa ZTE atashindwa kufanya biashara na wakati huohuo biashara zake zinahitaji vipuri kutoka US, inamaana kuna namna soko la vipuri limeathirika.
Lazima itafutwe namna.
 
Taarifa nyingine cyo za kuamini hata kama huipendi USA
Pitia link hii hapa
U.S. National Debt Clock : Real Time
====
Nimefurahi sasa mnaaza kuhoji ukweli wa habari. Muendelee hivyo hivyo kuhoji. Hii itasaidia kuua suala la 'fake news'. Msiishie kuhoji habari kutoka upande fulani tu...tuhoji na habari za upande mwingine na hata zile zisizo na upande. 'Fake News' ni hatari kwa ustawi wa binadamu.
 
Mambo ya Radio Tehran (RT) hayo Mkuu usishangae wala kuchukulia serious. Hiyo ni dalili majini yamepanda kichwani kufuatia kichapo cha mbwa mwizi walichokipata baada ya uchokozi wao huko Golan Heights hivi karibuni.

Hawaamini jinsi vituo vyao uchwara vya kijeshi vilivyochakazwa overnight tena kwa shabaha kali! Halafu jana wanaume wamefanya bonge la shughuli hapo Jerusalem nilitegemea wangewarushia japo jiwe lakini wapi! Badala yake waliwatuma wajinga wenzao wakaaishia kupasuliwa tu vichwa.
Dis-information campaign. Hii ndo strategy kuu ya sasa ya Russia against US+NATO,yaani ni kueneza information fake kwenye mitandao ili kumanipulate watu waichukie USA and allies.Fuatilia kwa makini utaona.Ilishagundulika zaidi ya maelfu account na page facebook zinaendeshwa na idara za usalama za nchi maadui wa USA na EU.Huu ni muda wa kuwa makini sana na source zetu za habari.
 
Pitia link hii hapa
U.S. National Debt Clock : Real Time
====
Nimefurahi sasa mnaaza kuhoji ukweli wa habari. Muendelee hivyo hivyo kuhoji. Hii itasaidia kuua suala la 'fake news'. Msiishie kuhoji habari kutoka upande fulani tu...tuhoji na habari za upande mwingine na hata zile zisizo na upande. 'Fake News' ni hatari kwa ustawi wa binadamu.
Wewe unazungumzia National Debt au matumizi ya $21Trillion ulizosema zimetumika bila vielelezo?.Maana hata hueleweki unaongelea nini.
 
Niliweka link hiyo, ilimuweze kujua Maana halisi ya GDP na parameters nyingine zinazohusiana nazo. Inaonekana 'GDP' inatumika kupotosha 'context' ya hoja iliyoletwa.
 
What's your point?.
$21trillion deficit maana yake nini?,Na unaposema zimeliwa na wajanja una maana gani?.
 
Nani anamuokoa mwenzake hapa?
====
"There was a consensus on taking effective measures to substantially reduce the United States trade deficit in goods with China," the joint US-Chinese statement, issues after the talks, read. “To meet the growing consumption needs of the Chinese people and the need for high-quality economic development, China will significantly increase purchases of United States goods and services. This will help support growth and employment in the United States.”
-----
China to buy more US goods - outcome of talks amid trade tensions
 
China may be close to removing tariffs on US farm goods in exchange for relief for ZTE

Unadhani bila ya Trump kuwapiga tariffs za maana China wangeomba mazungumzo na US?!
 
Wasingekuwa na muda wa kuongea ni hii sera ya America First ndio inawahenyesha na China inaitegemea sana US kwa uuzaji wa bidhaa zake hivyo hana namna.
 
Tutizame nyuma ya pazia Kuna Nini ? Maana Kila uchao trump anaituhumu China kwa kufanya biashara kiujanja , halafu leo aisaidie !!! Kuna kitu hakisemi hapa na makaripio yote ya usalama dhidi ya kampuni tajwa hapo !!!
 
Irani Bwana kujitapatapa kote kuwa ameendelea kwa tech kuliko Israel kumbe kajaza mizagazaga ya kila nchi...Muhahaahahaha Majuzi kati kaisababishia kampuni ya Israel kesi kwa kununua capacitor zenye viwango vya juu kabisa ambavyo hutumika kwenye mitambo ya nuclear kwa kumtumia third party Mturuki...
 
Tutizame nyuma ya pazia Kuna Nini ? Maana Kila uchao trump anaituhumu China kwa kufanya biashara kiujanja , halafu leo aisaidie !!! Kuna kitu hakisemi hapa na makaripio yote ya usalama dhidi ya kampuni tajwa hapo !!!
Ishajulikana Mkuu,China imeamliwa na Trump waondoe ushuru kwenye bidhaa za Kilimo za Marekani Halafu Trump aisaidie ZTE irudi Mzigoni. Na taarifa kwamba China wamekubaliana na Trump

Back
Top Bottom