Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,728
- 46,998
Wakuu naona mambo yanaiva
Trump hawezi kuingiza nchi vitani.
Kweli kabisa na inasemekana kuwa ni hao Majenerali ndio waliopeleka huo uamuzi wa kujibu Kisasi Trump akakubali kwa pressure ya Pompeo na Bolton baadae wajumbe wa senate wakamshauri abadili uamuzi kuhusu hilo ndio mission ikafutwa. Unaambiwa madege yalishakuwa hewani na Manowari zilishaji position kutupa Tomahawks kusubiri amri tuu.Hamna kitu kigumu kwa Rais kama kuingiza Nchi vitani. Alifanya busara sana kuwithdraw wazo lake. Japo sipati jinsi majeneral walivyomaind baada ya wazo kufutwa
c kweli Pilot alio kuwa akiongoza wa F16 fleet inasemekana kawambia Radar za Iran ni very very powerful hakuna wasichokiona, ama waingie kichwa kichwa au wajaribu njia zingine ndio wana study which option kwanza.Kweli kabisa na inasemekana kuwa ni hao Majenerali ndio waliopeleka huo uamuzi wa kujibu Kisasi Trump akakubali kwa pressure ya Pompeo na Bolton baadae wajumbe wa senate wakamshauri abadili uamuzi kuhusu hilo ndio mission ikafutwa. Unaambiwa madege yalishakuwa hewani na Manowari zilishaji position kutupa Tomahawks kusubiri amri tuu.
Kwenye vita lolote linaweza semwa, ila kwa ujumla vita cyo nzuri.c kweli Pilot alio kuwa akiongoza wa F16 fleet inasemekana kawambia Radar za Iran ni very very powerful hakuna wasichokiona, ama waingie kichwa kichwa au wajaribu njia zingine ndio wana study which option kwanza.
Yani USA bado anafikiria option ipi wajaribu wanaweza kujaribu cruze missile kwanza, lakini hio option wameona Radar za Iran hio cruse missile itakuwa ni easy target kwa Iran kuziangusha.
Itabidi wa ende kichwa kichwa na F16 sababu in powerful Jamming System kama itabahatika kupenya. Na hio option ni ngumu sababu pilot alijaribu zote mode za kuzijam Radar akawa anaonekana.
USA safari kakutana na level ingine anadhani Iran ni Syria.
Kweli kabisa vita siku zote ni madhara tu hakuna faida.Kwenye vita lolote linaweza semwa, ila kwa ujumla vita cyo nzuri.
Dah ukiwa na teknologia raha sana. Yaani nchi inakuwa inaogopewac kweli Pilot alio kuwa akiongoza wa F16 fleet inasemekana kawambia Radar za Iran ni very very powerful hakuna wasichokiona, ama waingie kichwa kichwa au wajaribu njia zingine ndio wana study which option kwanza.
Yani USA bado anafikiria option ipi wajaribu wanaweza kujaribu cruze missile kwanza, lakini hio option wameona Radar za Iran hio cruse missile itakuwa ni easy target kwa Iran kuziangusha.
Itabidi wa ende kichwa kichwa na F16 sababu in powerful Jamming System kama itabahatika kupenya. Na hio option ni ngumu sababu pilot alijaribu zote mode za kuzijam Radar akawa anaonekana.
USA safari kakutana na level ingine anadhani Iran ni Syria.
Mnajipaga moyo sana[emoji38][emoji38][emoji38]c kweli Pilot alio kuwa akiongoza wa F16 fleet inasemekana kawambia Radar za Iran ni very very powerful hakuna wasichokiona, ama waingie kichwa kichwa au wajaribu njia zingine ndio wana study which option kwanza.
Yani USA bado anafikiria option ipi wajaribu wanaweza kujaribu cruze missile kwanza, lakini hio option wameona Radar za Iran hio cruse missile itakuwa ni easy target kwa Iran kuziangusha.
Itabidi wa ende kichwa kichwa na F16 sababu in powerful Jamming System kama itabahatika kupenya. Na hio option ni ngumu sababu pilot alijaribu zote mode za kuzijam Radar akawa anaonekana.
USA safari kakutana na level ingine anadhani Iran ni Syria.
Kawaida tu kama yanga na simba vile, usishangae kila mmoja kumshinda mwenzie, kamwambieni yule bibi njia ya kwenda Teharan c kuchora diagram na kupiga kelele pale UN, na yeye ajaribu alicho kijaribu mawigi 😀Mnajipaga moyo sana[emoji38][emoji38][emoji38]
c kweli Pilot alio kuwa akiongoza wa F16 fleet inasemekana kawambia Radar za Iran ni very very powerful hakuna wasichokiona, ama waingie kichwa kichwa au wajaribu njia zingine ndio wana study which option kwanza.
Yani USA bado anafikiria option ipi wajaribu wanaweza kujaribu cruze missile kwanza, lakini hio option wameona Radar za Iran hio cruse missile itakuwa ni easy target kwa Iran kuziangusha.
Itabidi wa ende kichwa kichwa na F16 sababu in powerful Jamming System kama itabahatika kupenya. Na hio option ni ngumu sababu pilot alijaribu zote mode za kuzijam Radar akawa anaonekana.
USA safari kakutana na level ingine anadhani Iran ni Syria.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Duh! Yaani uko kama vile ulikua kwenye f16 au wewe kama vile ndio jenerali sasa [emoji38][emoji38] dah yaani umeni hadithia mpaka nimejihisi namimi nilikua kwenye meli yakivita....
C lazima ukabaliane na mimi, nimeisha jibu kule F16 za UAE na wao walikuwa wakaishambulie Iran pia pamoja na USA.Duh! Yaani uko kama vile ulikua kwenye f16 au wewe kama vile ndio jenerali sasa [emoji38][emoji38] dah yaani umeni hadithia mpaka nimejihisi namimi nilikua kwenye meli yakivita....
Pilot amewa hadisia/hadithia? yaani aje kuwapa siri ya kambi ?C lazima ukabaliane na mimi, nimeisha jibu kule F16 za UAE na wao walikuwa wakaishambulie Iran pia pamoja na USA.
Pilot mmoja wa UAE katuhadisia sisi kwamba Escort Jammer System hazikuweza kuzijamming Radar za Iran.
Ukiwa unataka kuamini amini hutaki baki unavotaka wewe kuamini, si lazima uniamini mimi.
Hivi wewe unawajua ma Pilot wa F16 wa UAE, unadhani hao wanalala camp.Pilot amewa hadisia/hadithia? yaani aje kuwapa siri ya kambi ?
Kwani wewe ni nani mwenzetu?