Kwa kukusaidia tu, vile vikwazo vya awali havikuwahi kulenga kukomesha uuzaji wa mafuta/gesi ya Iran "To Zero" kama hivi vya sasa.
Ndio maana hivi vinaitwa "The Landmark and Unprecedented Sanctions Ever". Angalia magendo sasa hivi yanachofanyika kwenye mipaka ya Iran na Pakistan/Afghanistan halafu hutaleta tena ubishi humu.
Iran wana upungufu mkubwa wa chakula tayari na 70% wanaagiza nje na hawana dollars. Walijifanya hawahitaji kufanya biashara kwa dollars, acha bwana hizo ni siasa tu, walanguzi wametapakaa kwenye mipaka yao na Afghanistan na Pakistan wanapeleka dollars na kurejea na mafuta/gesi.
Achana kabisa na nchi inaitwa US, wewe wasikie tu kwa mbali. North Korea hadi wamerudi kula Mbwa. Unacheza weweee..!!