njujujr
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 684
- 469
Shoga utamjua tuHawa akina trump wakisema kuwa "wapo Kwenye Vita ya uchumi" inaleta picha sio akina magufuli anadai anapigania Vita ya uchumi na akina lissu
Shoga utamjua tuHawa akina trump wakisema kuwa "wapo Kwenye Vita ya uchumi" inaleta picha sio akina magufuli anadai anapigania Vita ya uchumi na akina lissu
Kiduku hapeti wala cha nini juzi Kati tuu Marekani imekamata meli yake ikitaka kuuza makaa ya mawe. Nchi ya kidukuu ndio nchi iliyosalia kuwa maskini south east Asia kutokana kuwa adui wa Marekani. Watu hawana chakula watu Wana Njaa N.korea aligeika akiangalia pembeni kuna china , Japan, Singapore, Malaysia, phillipines, Thailand, Indonesia, . Kitu ataendelea kubaki na makombora yake pia umaskini Utaendelea kuitafuna nchi yakeLakini pia hata N.Korea alisema hivyo lakini mpaka sasa kiduku anazidi kupeta na makombora yake.
Hua nahici Iran ana kitu Cha ziada wanachokiogopa wamagharibi. Hivi Ni kwanini toka 79 wamarekani wameshindwa kuivamia Iran directly zaidi ya kumvimbisha sadam kichwabaipige Tehran. Napo hakufanikiwa.
Ilan alikuwa ana vijikwazo Ila sahizi kawekewa vikwazo kamili. Ilani miaka michache nyuma ilikuwa nchi ya pili kwa kuuza mafuta duniani . Vikwazo vya trump vilipunguza mwaka Jana na mwaka huu kawekewa vikwazo kamili . Kwamaana hata kuwa na uwezo wa kuuza hata tone la mafuta. Pia Trump yupo njiani kumuongezea vikwazo asiweze kuuza bidhaa zingine zozote zile . Hii imepelekea uchumi wa Iran kuporomoka kuliko kipindi chochote katika historia pia hela Yao imeendelea kupoteza thamani kila kukicha .UTANGOJEA MPAKA KITAKUJA KITUKUU KIKUSAIDIE KUNOJEA, MAANA NAFKIRI VIKWAZO KWA IRANI UMEVIKUTA TANGIA UZALIWE MKUU
Lakini pia hata N.Korea alisema hivyo lakini mpaka sasa kiduku anazidi kupeta na makombora yake.
Yule jamaa alikua mwanajeshi na baba yake Bush senior alipigana vita vya 1991 vs Iraq
Mara nyingi huwa nakuamini saana hasa kwenye taarifa za middle East lkn this timemarekani kuona mkwara hautoshi,wakasema wamepokea intelligence toka israel kwamba magaidi wa iran wako tayari kushambulia askari wa marekani iraq,pompeo akatua iraq kuwapa maneno makali bila kujua kuwa iraq ya leo na irani ni chanda na pete,marekani akasema analeta B-52 nuclear capable bomber kukabiliana na iran,bomber zikatua Qatar,
iran akasema nchi yeyote itakayokubali kutumiwa na marekani kushambulia iran,itakuwa target,kwa msisitizo makomandoo wa iran wakahujumu meli nne za mafuta karibu na UAE kama message sent,
halafu houthi wa yemen,wakambulia bomba la mafuta la saud arabia kwa drone kama message sent kuwa kama iran haitauza mafuta basi kila mtu hauzi mafuta,
marekani akapotezea kiutu uzima
PumbavHawa akina trump wakisema kuwa "wapo Kwenye Vita ya uchumi" inaleta picha sio akina magufuli anadai anapigania Vita ya uchumi na akina lissu
mkuu sijawahi kusema iran ataipiga marekani,marekani iko mbali mno na iran,iran haina force projection ya kuifikia US mainland,nachosema madhara ya vita hivyo ndo yanaifanya marekani kusita kwani ni wazi watapoteza askari wengi,ndege na manowari,bado visima vya mafuta vingi vitalipuliwa,bei ya petrol itakuwa juu,na wamarekani watampiga chini Trump,sio suala la kusimama na mshindi ni swala la principal,siezi kushabikia marekani eti kwa sababu ina manguvu ya kijeshi naangalia zaidi haki ilipoMara nyingi huwa nakuamini saana hasa kwenye taarifa za middle East lkn this time
Let me tell you UMECHAGUA UPANDE WA KUSHINDWA
USA hawezi kumuogopa IRAN japo najua kama hii vita itatokea middle East haitokalika lkn hitimisho Iran itakiona cha mtema kuni


Eee vipi??
Kinuke tu,raha ya vita wanaijua Ujerumani na Urusi
Nalog off
MKUU hahahahahaJamaa anaweza akaamka tu leo akaamua anapitisha makombora yake kwenye anga la japan,ving'ora vinalia wajapan wanaishia kujificha kwenye mahandaki.
Keshokutwa mkewe akimuudhi anarusha makombora yake kupitia anga ya South Korea.

nimecheka sana