Trump Aonya Kuifuta Iran

Trump Aonya Kuifuta Iran

Iran hana uwezo wa kupambana na America kijeshi ngojeni adhoofishwe kwanza akose hata hela ya kununulia chakula kisha mwenyewe ataomba "The round table dialogue" smoothly tena bila vita.
KIDUKU TU KAWATOA KNOCKOUT NDO KHAMENEI?
 
Kwa kukusaidia tu, vile vikwazo vya awali havikuwahi kulenga kukomesha uuzaji wa mafuta/gesi ya Iran "To Zero" kama hivi vya sasa.

Ndio maana hivi vinaitwa "The Landmark and Unprecedented Sanctions Ever". Angalia magendo sasa hivi yanachofanyika kwenye mipaka ya Iran na Pakistan/Afghanistan halafu hutaleta tena ubishi humu.

Iran wana upungufu mkubwa wa chakula tayari na 70% wanaagiza nje na hawana dollars. Walijifanya hawahitaji kufanya biashara kwa dollars, acha bwana hizo ni siasa tu, walanguzi wametapakaa kwenye mipaka yao na Afghanistan na Pakistan wanapeleka dollars na kurejea na mafuta/gesi.

Achana kabisa na nchi inaitwa US, wewe wasikie tu kwa mbali. North Korea hadi wamerudi kula Mbwa. Unacheza weweee..!!
KAWADANGANYE WATOTO WENZIO KAMA ULIKUWA HUJUI HAKUNA VIKWAZO ALIVYOWAHI WEKEWA IRAN AMBAVYO HAVIGUSI MAFUTA PIA KAA UKIJUA HATA UKIMWEKEA IRAN HIZO FUEL EMBARGO ZA MIAKA 10 HAKUNA ATAKEKUFA NA NJAA KULE.
KAMA N.K ALIWEKEWA VIKWAZO KWA MUDA WA MIAKA 28 NA BADO ANAPETA NDO UFANANISHE IRAN NA NJAA? AU WEWE UNAONGELEA IRAN IPI? NAHISI UNAFANANISHA IRAN NA ZIMBABWE
 
Kwa taarifa yako. North Korea ni moja ya nchi zenye the highest mortality rate among children under the age of five. Kama ulikuwa hujui hilo, basi elewa hilo kijana.
 
Lakini pia hata N.Korea alisema hivyo lakini mpaka sasa kiduku anazidi kupeta na makombora yake.
Kiduku hapeti chochote kashapigwa na vikwazo watu wake kule wanakufa njaa. Juzi juzi Marekani walikamata meli Yao inaenda kuuza makaa ya mawe nchi zingine. Halafu juzi kiduki kamua mshauri wake kwasababu kikao cha Hanoi summit kushindikana.
 
Back
Top Bottom