Trump Aonya Kuifuta Iran

Trump Aonya Kuifuta Iran

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,702
Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Iran kwamba itaharibiwa iwapo vita vitazuka katika ya mataifa hayo mawili.

''Iwapo Iran inataka kupigana , huo nduo utakuwa mwisho rasmi wa taifa hilo'' , alisema katika jumbe wa Twitter siku ya Jumapili. ''Musijaribu kuitisha Marekani tena''.

Marekani imepeleka meli zaidi za kivita na ndege katika eneo la mashariki ya kati katika siku za hivi karibuni.

Ujumbe huo wa Twitter wa bwana Trump unaadhimisha kubadilika kwa msimamo baada ya jaribio la hivi karibuni la la kuficha uwezekano wa vita kati ya mataifa hayo mawili.
2019-05-20%2019.48.11.jpeg
 
Hua nahici Iran ana kitu Cha ziada wanachokiogopa wamagharibi. Hivi Ni kwanini toka 79 wamarekani wameshindwa kuivamia Iran directly zaidi ya kumvimbisha sadam kichwabaipige Tehran. Napo hakufanikiwa.
WANAJUA WANACHOKIFANYA, HAPO LABDA WANATEGEMEA MAPINDUZI ILA VITA NDIO WANAOGOPA MAANA HAWAJUI SIRI YA NDANI YA NCHI, PIA JANA KUNA MBUNGE MMOJA WA MAREKANI ALISHAWAONYA KINA TRAMP KUWA MSITAKE VITA NA IRAN, KWANI MNAWEZA KUPATA MATOKEO KINYUME NA MNAVYOFKIRIA, ALAF ALIWAMBIA TENA KUWA MASHARIKI YA KATI ITAZIDI KUCHAFUAKA NA HAKUTOTULIA TENA
 
Iran hana uwezo wa kupambana na America kijeshi ngojeni adhoofishwe kwanza akose hata hela ya kununulia chakula kisha mwenyewe ataomba "The round table dialogue" smoothly tena bila vita.
 
UTANGOJEA MPAKA KITAKUJA KITUKUU KIKUSAIDIE KUNGOJEA, MAANA NAFKIRI VIKWAZO KWA IRANI UMEVIKUTA TANGIA UZALIWE MKUU
Iran hana uwezo wa kupambana na America kijeshi ngojeni adhoofishwe kwanza akose hata hela ya kununulia chakula kisha mwenyewe ataomba "The round table dialogue" smoothly tena bila vita.
 
UTANGOJEA MPAKA KITAKUJA KITUKUU KIKUSAIDIE KUNGIJEA, MAANA NAFKIRI VIKWAZO KWA IRANI UMEVIKUTA TANGIA UZALIWE MKUU
Kwa kukusaidia tu, vile vikwazo vya awali havikuwahi kulenga kukomesha uuzaji wa mafuta/gesi ya Iran "To Zero" kama hivi vya sasa.

Ndio maana hivi vinaitwa "The Landmark and Unprecedented Sanctions Ever". Angalia magendo sasa hivi yanachofanyika kwenye mipaka ya Iran na Pakistan/Afghanistan halafu hutaleta tena ubishi humu.

Iran wana upungufu mkubwa wa chakula tayari na 70% wanaagiza nje na hawana dollars. Walijifanya hawahitaji kufanya biashara kwa dollars, acha bwana hizo ni siasa tu, walanguzi wametapakaa kwenye mipaka yao na Afghanistan na Pakistan wanapeleka dollars na kurejea na mafuta/gesi.

Achana kabisa na nchi inaitwa US, wewe wasikie tu kwa mbali. North Korea hadi wamerudi kula Mbwa. Unacheza weweee..!!
 
Hua nahici Iran ana kitu Cha ziada wanachokiogopa wamagharibi. Hivi Ni kwanini toka 79 wamarekani wameshindwa kuivamia Iran directly zaidi ya kumvimbisha sadam kichwabaipige Tehran. Napo hakufanikiwa.
Bado hajaamua kuwa serious naye, kwanza Marekani ndiyo iliiweka hiyo serikali hapo Madarakani baada ya kuimbwa msaada na Uingereza ilipotofautiana na serikali ikiyo kuwepo pale.
 
And wana uthubutu,,,mwanae nae alikua mwanaune hasa unakumbuka alienda fanya missile installation poland, Putin akalalamika wala hakusikia kitu,,Europe wakaanza ogopa akawaambia...dont worry, we gonna take care of u, kipind cha sept 11 alisimama akasema Dunia ichague upande wa kusimama,,,either na America ama upande wa ugaidi...kauli nzito sana hio
Yule jamaa alikua mwanajeshi na baba yake Bush senior alipigana vita vya 1991 vs Iraq
 
Back
Top Bottom