hako kamungu kalikoichagua Israeli kabaguzi hatari.... Mungu ninayemjua mimi sio mbaguziIsrael atakae ilaani amelaaniwa yeye atakae ibariki amebarikiwa..nachagua baraka ,hata kma hupendi ndio chosen generation...
Ulivyojibu ni zaidi ya zezete, kapuku wewe ujinga ni kujifanya unajua wakati hujui, chutama upewe uhalisi wa mambo acha upunguani wewe, nimeshakupa homework ya kufanya, ifanye ndio urudi hapa, unajiaibisha dogo.
Endelea kukesha ukiwaombea waarabu wawe masikini mkuuFuata mdundo wa ala za muziki!! acha kupaparika.
Sadam imebaki story, siyo history.
Na waarabu watakuja kulima vibarua vya mihogo soon.
Uvumbuzi wa kitechnolojia unalazimisha kupunguza dependence ya mafuta.
Kwa taarifa yako ifikapo 2035 hakuna kiwanda cha motokaa ulaya kitaruhusiwa kutengeneza motokaa inayotumia mafuta.
Lazima watoke mashimoni dizaini ya Sadam huseni.
Ni Mungu wa Bible na imeandikwa hivyo. kwahyo embu jiheshimu afu acha kuongea kama mjinga! Kauli mbovu sio ujanja aisee....luckily uko mbali i would punch you on your throat moronhako kamungu kalikoichagua Israeli kabaguzi hatari.... Mungu ninayemjua mimi sio mbaguzi
Ni Mungu wa Bible na imeandikwa hivyo. kwahyo embu jiheshimu afu acha kuongea kama mjinga! Kauli mbovu sio ujanja aisee....luckily uko mbali i would punch you on your throat moron
Tatizo hujui kwamba hujui! Ilibidi uulize.acha hasira mkuu, nyie si huwa mnasema mungu ana upendo wote? sasa iweje awe mbaguzi? iweje awachague waisraeli peke yao?
mimi Mungu ninayemuabudu hana ubaguz wa hivyo.
Hako kamungu kenu kabaguz bhana
Insane in the membrane!!Fuata mdundo wa ala za muziki!! acha kupaparika.
Sadam imebaki story, siyo history.
Na waarabu watakuja kulima vibarua vya mihogo soon.
Uvumbuzi wa kitechnolojia unalazimisha kupunguza dependence ya mafuta.
Kwa taarifa yako ifikapo 2035 hakuna kiwanda cha motokaa ulaya kitaruhusiwa kutengeneza motokaa inayotumia mafuta.
Lazima watoke mashimoni dizaini ya Sadam huseni.
m
nafiki anataka kusema nchi za kiislam tu ndio waliwabagua waisrael wakati nchi kibao hawataki hata kuwasikia uganda,tz,ujeruman,hata USA wenyewe ni viongozi tu ndio wanawabeba ila raia hawawataki hata kidogo,wao wakishafika nchi za watu wanatakaga mamlaka za juu na muhimu za nchi husika zishikwe na wao
Wengine wakifanya hivyo watakula nyasiSafi sana inabidi na wengine hasa hao walizuiwa kuingia USA na wao kuwafukuza wamarekani wote na kuvunja uhusiano wa kidipolomasia na USA.
Ona huyu sasaKuwatetea wana wa Israel ni sawa na kumtetea sheitwannn
Sasa ulitaka nani aandamane kwa ajili yao, waandamane wenyewe kupinga iko kitu, nahisi hata wanao andamana sasa hivi niwahusika,Zifuatazo ni nchi 16 ambazo zimepiga marufuku Raia wa Israel kuingia kwenye nchi hizo tangu miaka ya 1990 .
Algeria
Bangladesh
Brunei
Iran
Iraq
Kuwait
Lebanon
Libya
Malaysia
Oman
Pakistan.
Saudi Arabia
Sudan
Syria
United Arab Emirates
Yemen.
Nchi hizo zimezuia hata mtu yeyote aliyetembelea Israel asiruhusiwe kuingia kwao.
Dunia ipo kimya wala hakuna anayeandamana kuwatetea Waisrael, Leo Trump ametangaza zuio la muda mfupi (siku 90) kwa raia wa nchi saba wasiingie Marekani dunia nzima inatokwa povu.
ubavu huo hana miaka yake yote ya utawala.....!!Mi naona vizuri sana tena Trump apige bun kwa nchi za kiafrika kwenda marekani ndo tutie akili viongozi wetu wajipange kuinua uchumi na kutoa fursa ndani ya nchi,kwanini tug'ag'ane kukimbilia Marekani?
Mungu wenu wa ajabu ,yaani anachagua mashoga na wauaji kuwa ndio chosen generation halafu hapo hapo mnatuambia wale wa sodoma na gomora walichomwa kwa kosa sawa ,itakuwa Mungu wenu kigeugeu.Israel atakae ilaani amelaaniwa yeye atakae ibariki amebarikiwa..nachagua baraka ,hata kma hupendi ndio chosen generation...
Endelea kukesha ukiwaombea waarabu wawe masikini mkuu
Wacha tuangalie Mungu yupi hasiye na upendo na mbaguzi hasa! Tusome hii At-tawbah 9:123. "Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu."acha hasira mkuu, nyie si huwa mnasema mungu ana upendo wote? sasa iweje awe mbaguzi? iweje awachague waisraeli peke yao?
mimi Mungu ninayemuabudu hana ubaguz wa hivyo.
Hako kamungu kenu kabaguz bhana
Kwa vile fulani kibaka basi na mimi nikiwa kibaka haina shida.
Au una maana nyingine mleta mada